Angalau tunajifunza, shuleni unapewa mafunzo na mitihani kwenye maisha unapewa mtihani ndiyo unajifunza, we have unworking government machinery, hapo wanapata chakujifunza hata wachezaji wanajifunza Tena sana tu, mambo mengi kwa Tanzania ili ufanikiwe ni juhudi za mtu mmoja mmoja mifumo imelala mukiendelea kulalamika haisadii tafuteni suruhu kwa vitendo na siyo kulaumu ama kutukana