Rais Samia, unapotulalamikia sisi kuwa kinachokusanywa kama kodi kinaibiwa, je unataka sisi tufanyaje ? Wewe si ndio Rais

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Kuna mambo yanasikitisha kwenye Taifa la TZ Na bila katiba mpya hatutotoboa.

Katiba ya mchongo imekupa power ya kufanya chochote yet unasimama mbele za watu na kutuambia kinachokusanywa kinaingia kwenye mifuko ya watu , wengine hawalipi kodi ; wewe kama Rais unalalamika, je wananchi wakusaidiaje ?

Tukusaidie majukumu yako?

Mshahara wa mil 100 na ushee kwa mwezi na perdiem ya 10 M with benefits unazokula, malipo yote hayo ni kwa ajili ya kutupa info au kuchukua action penye madhaifu?

I expected rais uje na action words , Nimefanya moja mbili tatu baada ya kubaini asilimia kubwa ya kinachokusanywa kinaingia mifukoni kwa watu . Badala yake Rais nae anageuka kuwa Millard Ayo , just info with no action.

Juzi nilimsikia Majaliwa nae akitoa info kuhusu maafisa waliopiga hela , just info with no action . Jamaa wanakula national keki kweli kweli but kazi yao kubwa wanayofanya haina tofauti na Millard ayo.

Utaona action zao pale watu wanapotaka kuandamana , Ila kulinda mali za nchi aaah !

2025 watanzania msizingue, MOST of CCM akiwemo yeye hawalipi kodi lakini wanawabana nyie mlipe. CCM wakitaka kutoa mizigo yao bandarini ni wanapiga simu tu tena hata watoto wa viongozi wa juu ikiwemo wanae ndio kabisa hawalipi kodi.

Pesa zote za kodi zinazolipwa na raia mnaenda nunua mashangingi, safari za nje za Rais zinakula billions of money , watu wanalipa kodi but ukiangalia miradi ya barabara hapo hapo Dar mjini tangu 2020 haijawahi kukamilika.vikilomita vichache tu vinachukua miaka 4 na hakuna anaefuatilia utekelezaji, kuna ufisadi mkubwa sana sana kwenye ujenzi wa hizo barabara za mwendokasi zinazojengwa mji mzima na zisizokamilika mwaka wa 4 sasa.

TAKUKURU ni kama pambio kwenye nchi , muafrica wa Africa hajawahi kuwa mtu makini. For as long as matumbo yao na familia zao wanakula benefit zote and thinking they are better than others, kwao inatosha.

Black people have no legecy, kazi yao kubwa ni kuiba fedha, kuoa wanawake wengi, na kufanya shopping za nje . That is all they have. Shame

#Katibampya # mandatory #CCM Out #UkomboziwaTaifa #2025#Samia hana uwezo wa Usimamizi wa mali za nchi, # Maamuzi ni 2025. # Taifa limeyumba na kupoteza dira
 
Nadhani kauli yake hiyo, inatuma ujumbe kwa wahusika wa kudhibiti wizi huo wa Kodi wafanye kazi. Nadhani ndilo lengo la ujumbe wake huo. Ulitaka afute mtu kazi hadharani wakati Yeye alishasema si Rais wa namna hiyo? Haki yake mpeni, Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan.
 
Watu kama nyie ndio mnafanya generation zenu ziendelee kuwa masikini
Pole sana
 
Kama nikikuuliza, ni vipengele gani vya katiba ya Sasa vinaruhusu wizi wa Kodi kiasi inatulazimu kutunga katiba mpya, utakuwa na majibu?

Usijisahaulishe, Kenya Wana katiba mpya!!!
Swali lako linaonesha una ignorance kubwa na katiba. Research Mbali mbali zinaonesha less than 15% ya population ndio wana awareness na katiba mpya. Nina mashaka wewe upo kwenye 85%
 
Watu kama nyie ndio mnafanya generation zenu ziendelee kuwa masikini
Pole sana
Hii ni ishara mbaya sana kuwa hoja uliyotuletea haiwezi kubeba Wala kushikilia maji!!! Au inaweza lakini huna uwezo wa kuonyesha namna inavyoshikilia Maji.

Ukileta hoja hapa unatakiwa uitete kwa juhudi zote Tena ukitumia ushahidi usio tiliwa shaka, Mkuu. Vinginevyo, utaonekana ni wakulishwa maneno nawe unayameza haraka kama yalivyo bila Hata kuyasikilizia kinywani upate Radha yake na kuruhusu mmeng'enyo kufanyika!

Nakutakia Asubuhi ya Jumapili njema kama upo Tanzania kama upo mashariki ya mbali Jioni njema.
 
Huna hoja, kapumzike
 
Kuna mambo yanasikitisha kwenye Taifa la TZ Na bila katiba mpya hatutotoboa.

Katiba ya mchongo imekupa power ya kufanya chochote yet unasimama mbele za watu na kutuambia kinachokusanywa kinaingia kwenye mifuko ya watu , wengine hawalipi kodi ; wewe kama Rais unalalamika, je wananchi wakusaidiaje ?

Tukusaidie majukumu yako?

Mshahara wa mil 100 na ushee kwa mwezi na perdiem ya 10 M with benefits unazokula, malipo yote hayo ni kwa ajili ya kutupa info au kuchukua action penye madhaifu?

I expected rais uje na action words , Nimefanya moja mbili tatu baada ya kubaini asilimia kubwa ya kinachokusanywa kinaingia mifukoni kwa watu . Badala yake Rais nae anageuka kuwa Millard Ayo , just info with no action.

Juzi nilimsikia Majaliwa nae akitoa info kuhusu maafisa waliopiga hela , just info with no action . Jamaa wanakula national keki kweli kweli but kazi yao kubwa wanayofanya haina tofauti na Millard ayo.

Utaona action zao pale watu wanapotaka kuandamana , Ila kulinda mali za nchi aaah !

2025 watanzania msizingue, MOST of CCM akiwemo yeye hawalipi kodi lakini wanawabana nyie mlipe. CCM wakitaka kutoa mizigo yao bandarini ni wanapiga simu tu tena hata watoto wa viongozi wa juu ikiwemo wanae ndio kabisa hawalipi kodi.

Pesa zote za kodi zinazolipwa na raia mnaenda nunua mashangingi, safari za nje za Rais zinakula billions of money , watu wanalipa kodi but ukiangalia miradi ya barabara hapo hapo Dar mjini tangu 2020 haijawahi kukamilika.vikilomita vichache tu vinachukua miaka 4 na hakuna anaefuatilia utekelezaji, kuna ufisadi mkubwa sana sana kwenye ujenzi wa hizo barabara za mwendokasi zinazojengwa mji mzima na zisizokamilika mwaka wa 4 sasa.

TAKUKURU ni kama pambio kwenye nchi , muafrica wa Africa hajawahi kuwa mtu makini. For as long as matumbo yao na familia zao wanakula benefit zote and thinking they are better than others, kwao inatosha.

Black people have no legecy, kazi yao kubwa ni kuiba fedha, kuoa wanawake wengi, na kufanya shopping za nje . That is all they have. Shame

#Katibampya # mandatory #CCM Out #UkomboziwaTaifa #2025#Samia hana uwezo wa Usimamizi wa mali za nchi, # Maamuzi ni 2025. # Taifa limeyumba na kupoteza dira
Hiyo cha mtoto, swali KINAIBIWA NA NANI???!!!!, eti zinaingia mikononi mwa wa chache, hao wachache ni KINA NANI!?????
 
Swali lako linaonesha una ignorance kubwa na katiba. Research Mbali mbali zinaonesha less than 15% ya population ndio wana awareness na katiba mpya. Nina mashaka wewe upo kwenye 85%
Nimeisha kuaga, lakini ngoja ni rudi.

Ha ha haaaa! Jibu swali kwa ushahidi. Leta hivyo vipengele. Tumia Hata AI (akili mnemba/ akiliunde) basi kupata majibu ili kurahisisha mjadala! Watu wengi wanafuatilia uzi wako huu.

Asante.
 
Kuna mambo yanasikitisha kwenye Taifa la TZ Na bila katiba mpya hatutotoboa.

Katiba ya mchongo imekupa power ya kufanya chochote yet unasimama mbele za watu na kutuambia kinachokusanywa kinaingia kwenye mifuko ya watu , wengine hawalipi kodi ; wewe kama Rais unalalamika, je wananchi wakusaidiaje ?

Tukusaidie majukumu yako?

Mshahara wa mil 100 na ushee kwa mwezi na perdiem ya 10 M with benefits unazokula, malipo yote hayo ni kwa ajili ya kutupa info au kuchukua action penye madhaifu?

I expected rais uje na action words , Nimefanya moja mbili tatu baada ya kubaini asilimia kubwa ya kinachokusanywa kinaingia mifukoni kwa watu . Badala yake Rais nae anageuka kuwa Millard Ayo , just info with no action.

Juzi nilimsikia Majaliwa nae akitoa info kuhusu maafisa waliopiga hela , just info with no action . Jamaa wanakula national keki kweli kweli but kazi yao kubwa wanayofanya haina tofauti na Millard ayo.

Utaona action zao pale watu wanapotaka kuandamana , Ila kulinda mali za nchi aaah !

2025 watanzania msizingue, MOST of CCM akiwemo yeye hawalipi kodi lakini wanawabana nyie mlipe. CCM wakitaka kutoa mizigo yao bandarini ni wanapiga simu tu tena hata watoto wa viongozi wa juu ikiwemo wanae ndio kabisa hawalipi kodi.

Pesa zote za kodi zinazolipwa na raia mnaenda nunua mashangingi, safari za nje za Rais zinakula billions of money , watu wanalipa kodi but ukiangalia miradi ya barabara hapo hapo Dar mjini tangu 2020 haijawahi kukamilika.vikilomita vichache tu vinachukua miaka 4 na hakuna anaefuatilia utekelezaji, kuna ufisadi mkubwa sana sana kwenye ujenzi wa hizo barabara za mwendokasi zinazojengwa mji mzima na zisizokamilika mwaka wa 4 sasa.

TAKUKURU ni kama pambio kwenye nchi , muafrica wa Africa hajawahi kuwa mtu makini. For as long as matumbo yao na familia zao wanakula benefit zote and thinking they are better than others, kwao inatosha.

Black people have no legecy, kazi yao kubwa ni kuiba fedha, kuoa wanawake wengi, na kufanya shopping za nje . That is all they have. Shame

#Katibampya # mandatory #CCM Out #UkomboziwaTaifa #2025#Samia hana uwezo wa Usimamizi wa mali za nchi, # Maamuzi ni 2025. # Taifa limeyumba na kupoteza dira
Kauli zake nyingi zinadhihirisha udhaifu wake.

She is not fit for that position. Kwenye kuua wanaomkosoa anaweza sana
 
Hiyo cha mtoto, swali KINAIBIWA NA NANI???!!!!, eti zinaingia mikononi mwa wa chache, hao wachache ni KINA NANI!?????
Haya ni Maswali ya msingi!!

Nadhani wahusika wataleta majibu bila kuonea mtu kama Rais wetu anavyotaka.
 
Hiyo cha mtoto, swali KINAIBIWA NA NANI???!!!!, eti zinaingia mikononi mwa wa chache, hao wachache ni KINA NANI!?????
Anaeiba ni wao wenyewe, Raia wa kawaida hawezi kuwa na access za hizo kodi. Ni wao wenye mamlaka ndio wanazipitisha kwao. Sasa anatueleza wakati watu anawajua, yeye si kapelekewa taarifa, ina maana anayo evidence zinaingia kwenye mifuko ya watu gani.
Je na sisi tulalamike ? Raia alalamike, na Rais alalamike

Hii ni nchi au serikali ya Samaki ?
 
She is not fit for that position.
If you have a good will for Tanzania, please support our President with constructive and objective criticism aiming to assist her in leading the country!!! Unfounded replacement of leaders does not help the nation! You have a lot of examples to cite for this matter.

Karibu.
 
Nilijua tu from your first comment kuwa huyu ni Mamluki na Chawa. Nina mashaka kama wewe sio Lucas Mwashambwa a form four failure with division 4 unayetumia different ID
 
Nadhani kauli yake hiyo, inatuma ujumbe kwa wahusika wa kudhibiti wizi huo wa Kodi wafanye kazi. Nadhani ndilo lengo la ujumbe wake huo. Ulitaka afute mtu kazi hadharani wakati Yeye alishasema si Rais wa namna hiyo? Haki yake mpeni, Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan.
Watanzania wanataka kuelezwa utatuzi wa tatizo sio matatizo!

Ccm chama changu kinapaswa kuwa pro active kwenye maswala mtambuka na sio tunavyoona Hali ilivyo!
 
Back
Top Bottom