TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Ha hahahaha!!! Mbona kama unaada mbinu za kunitimua kwenye uzi wako Aisee na umeishanitoa kwenye usomi!!!Nina mashaka kama wewe sio Lucas Mwashambwa a form four failure with division 4 unayetumia different ID
Yaani Mimi naweza kumpiku Lucas...kweli??!!
====
Mkuu ninachokifanya ni kujaribu kuwezesha wanataka masuala ya fikra tunduizi washiriki (critical thinking) kwenye uzi huu. Bila hivyo, kwa mawazo yangu, uzi wako hautanoga.
Kwa hiyo, Mkuu naomba uniache nivinjari kwenye uzi wako huu.
Natanguliza Shukrani za dhati kwa kuridhia niendelee kukaa hapa .Ha haaa!