Rais Samia unda Kikosi Maalum cha Ujasusi ili kukupa Ukweli wa hiki ninachokisikia na kinachosikika

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kuwa Siku hizi ili upate Uteuzi Serikalini au katika Taasisi au Mashirika za / ya Serikali mpaka Ubalozini na kupata Ziara za kwenda nje unatakiwa Kuandaa kati ya Shilingi Milioni Mbili hadi Milioni Saba na wakati mwingine hata Milioni 10 na Milioni za Kitanzania.

Na Mheshimiwa Rais Samia mwanao na Raia Mwema Mimi MINOCYCLINE nilipochoka zaidi ni pale nilipoambiwa kuwa Waratibu Wakuu wa huu Upuuzi na Uhuni ni baadhi ya Watu wako UNAOWAAMINI WA TANZANIA ( UWT ) ambao nao kwakuwa baadhi yao ni Mabosi na Wanakumudu ni kwamba wakishapokea hizo Fedha wanazichikichia kisha Kukufuata na Kukuletea Majina ya Wanaokufaa Kiutendaji na Wewe kwakuwa huna Hiyana na hutaki Mambo mengi huwa Unateua kwani uko very busy na Kutuhangaikia na Kutupigania Watanzania na hizi Njaa na Shida zetu zisizoisha na huenda zisiishe hadi tunaingia Kaburini.

Mheshimiwa Rais Samia kilichonifanya niamini hiki ( hili ) ni kwamba 85% ya walionitaarifu juu ya huu Uhuni na Upuuzi ni Watu ambao wanatoka huko huko na katika maeneo, Taasisi na Mashirika hayo hayo.

Mheshimiwa Rais Samia nakuomba lipokee hili Kiumakini kabisa na lifanyie Kazi kwani lipo na sasa linaanza Kuzoeleka na hata Kuota Mizizi hapa Kwetu nchini Tanzania.

Nikutakie tu Majukumu Mema Rais.
 
Genta
 
Hilo Jambo liko wazi kwa werevu,mfano mzuri ni mchechu,juzi alirudishwa shirika la nyumba baada ya magu kumtumbua,hajakaa sawa Jana kapelekwa kuwa msajili mkuu wa hazina,hii nchi bana dah,ila yote kheri tu [emoji120]
Connection
 
Uzi maalumu wa kumtoa mteuzi lawamani kwa teuzi za watu wa hovyo kushika nafasi.

Hapo shida ni kwamba, taratibu zimeachwa, katiba haiheshimiwi inavyotakiwa na pia kila mtu anafinyanga tonge kwa urefu wa mkono au kambabyake.

Dawa ya kukomesha teuzi za michongo ni kutoipa kura CCM hapo 2024/2025
 
Nchi inaendeshwa kwà connection

1.UNAMJUA? ( ndio boss)

2.UNAUHAKIKA ANAIWEZA HII KAZI? ( Ndio Mkuu )

3.HAYA , NENDA KAMWAMBIE NIMEMTEUA KUWA WAZIRI WA HABARI ( Sawa Mheshimiwa )

Kisha jitu linatoka mbio...vrooommm hillooooo mpaka kwà Nape...oya sa sikia jombaa ..kitu kishatick tayari....yaani ni laana arifu...sasa sikia ,..una AF3 hapo tumalizie mchongo mzima kesho nikupeleke mkono kwà mkono kwà Maza?
 
Hilo Jambo liko wazi kwa werevu,mfano mzuri ni mchechu,juzi alirudishwa shirika la nyumba baada ya magu kumtumbua,hajakaa sawa Jana kapelekwa kuwa msajili mkuu wa hazina,hii nchi bana dah,ila yote kheri tu [emoji120]
Hivi unataka kuniambia Rais Samia hamjui Nehemiah mchechu?kuasi kwamba mpaka apelekewe jina wewe vp bwana na kwamba Kama magufuli alimtumbua kwamba mtu huyu gafai kuwa kiongozi?
 
Uzi maalumu wa kumtoa mteuzi lawamani kwa teuzi za watu wa hovyo kushika nafasi.

Hapo shida ni kwamba, taratibu zimeachwa, katiba haiheshimiwi inavyotakiwa na pia kila mtu anafinyanga tonge kwa urefu wa mkono au kambabyake.

Dawa ya kukomesha teuzi za michongo ni kutoipa kura CCM hapo 2024/2025
Kuna Watu mna Akili sana hapa JamiiForums.
 
Uzi maalumu wa kumtoa mteuzi lawamani kwa teuzi za watu wa hovyo kushika nafasi.

Hapo shida ni kwamba, taratibu zimeachwa, katiba haiheshimiwi inavyotakiwa na pia kila mtu anafinyanga tonge kwa urefu wa mkono au kambabyake.

Dawa ya kukomesha teuzi za michongo ni kutoipa kura CCM hapo 2024/2025
Dawa sio kutoipa CCM kura, dawa ni kumtafuta Magufuli mwingine. Yaani Rais ambaye ni mfuatiliaji. Rais ambaye anajua nini kinachoendelea, sio wa kusubiri kuambiwa tu na washauri wake. Washauri nao ni watu wana mipango yao na tamaa zao. Hawatoagi ushauri sahihi wakati wote.

Mama Samia hii kazi haimfai sana, sema ndo vile tena bahati imemuangukia hawezi kuiachia.
 
Mkuu kama ningelijua hili mapema angalau miez sita nyuma, aisee leo ningekua kweny muofisi flan nakula kodi za wajinga taratibu.
 
ok, sawa, kivipi kiundwe kikikosi kingine wakati hao uwt wapo? Inamaana hicho kikosi maalumu kitaundwa na malaika watupu?
 
Kuna hii.." MUSOLINI NI MD pale MSD, sasa hii KAZI naitaka, fanya mchongo utakula kias kadhaa, hakikisha Madam CIC anamteua UDC..(fanya fitna)alafu Mimi ndo nicover nafas ya UMD. tutakula tender za kufa MTU na Kwenda INDIA kufanya mikatba ya madawa. Kama hiyo haitoshi kuna hii... Kanjubai Hana Vigezo kabisa nchini, sasa wewe MUSA KALIKITONGE tunakufanyia mchongo pale GAS CO unakuwa MD ili kiwanda chetu SASA kipate Sera ya kupunguziwa mzigo na ikibidi tuanze kununua makaa ya mawe SA itasaidia kupitisha Dola zetu kwenda nje bila kutozwa Kodi...tunatakatisha fursa..KANJUBAI NA WENZAKE wanajua kutumia udhaif wetu sana.nitagombea afu nifute Sera ya betting. Sio strategic survival ya biashara , Ingawa nchi za watu kuna msimu wa kutumia njia hiyo kwa system.WALE WANAOJIITQ WABOBEZI WA UCHUMI hapa wanapaelewa Sana.
Screenshot_20230224-085026.jpg
 
Kuwa Siku hizi ili upate Uteuzi Serikalini au katika Taasisi au Mashirika za / ya Serikali mpaka Ubalozini na kupata Ziara za kwenda nje unatakiwa Kuandaa kati ya Shilingi Milioni Mbili hadi Milioni Saba na wakati mwingine hata Milioni 10 na Milioni za Kitanzania.

Na Mheshimiwa Rais Samia mwanao na Raia Mwema Mimi MINOCYCLINE nilipochoka zaidi ni pale nilipoambiwa kuwa Waratibu Wakuu wa huu Upuuzi na Uhuni ni baadhi ya Watu wako UNAOWAAMINI WA TANZANIA ( UWT ) ambao nao kwakuwa baadhi yao ni Mabosi na Wanakumudu ni kwamba wakishapokea hizo Fedha wanazichikichia kisha Kukufuata na Kukuletea Majina ya Wanaokufaa Kiutendaji na Wewe kwakuwa huna Hiyana na hutaki Mambo mengi huwa Unateua kwani uko very busy na Kutuhangaikia na Kutupigania Watanzania na hizi Njaa na Shida zetu zisizoisha na huenda zisiishe hadi tunaingia Kaburini.

Mheshimiwa Rais Samia kilichonifanya niamini hiki ( hili ) ni kwamba 85% ya walionitaarifu juu ya huu Uhuni na Upuuzi ni Watu ambao wanatoka huko huko na katika maeneo, Taasisi na Mashirika hayo hayo.

Mheshimiwa Rais Samia nakuomba lipokee hili Kiumakini kabisa na lifanyie Kazi kwani lipo na sasa linaanza Kuzoeleka na hata Kuota Mizizi hapa Kwetu nchini Tanzania.

Nikutakie tu Majukumu Mema Rais.
Genta bana.
 
Back
Top Bottom