ilore
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 963
- 1,248
Nitumie hiyo link mkuu aliyosema hivyoMama Samia alisema kuna magodfather humfuata na kulalamika pale watu wao wanapotenguliwa. Tena alisema huja mbiombio kwake. Huenda ni kweli kuna watu huwashika watu mikono