Rais Samia unda Kikosi Maalum cha Ujasusi ili kukupa Ukweli wa hiki ninachokisikia na kinachosikika

Dawa sio kutoipa CCM kura, dawa ni kumtafuta Magufuli mwingine. Yaani Rais ambaye ni mfuatiliaji. Rais ambaye anajua nini kinachoendelea, sio wa kusubiri kuambiwa tu na washauri wake. Washauri nao ni watu wana mipango yao na tamaa zao. Hawatoagi ushauri sahihi wakati wote.

Mama Samia hii kazi haimfai sana, sema ndo vile tena bahati imemuangukia hawezi kuiachia.
Umesema Ukweli mtupu ambao nina uhakika kuwa Majuha wengi hawatakuelewa na watakuja si tu Kukupinga bali hata Kukushambulia pia.
 
ok, sawa, kivipi kiundwe kikikosi kingine wakati hao uwt wapo? Inamaana hicho kikosi maalumu kitaundwa na malaika watupu?
Hayati aliwezaje kuwa nacho na huyu wa Leo ( aliye Hai ) ashindwe kuwa nacho?
 
Dawa sio kutoipa CCM kura, dawa ni kumtafuta Magufuli mwingine. Yaani Rais ambaye ni mfuatiliaji. Rais ambaye anajua nini kinachoendelea, sio wa kusubiri kuambiwa tu na washauri wake. Washauri nao ni watu wana mipango yao na tamaa zao. Hawatoagi ushauri sahihi wakati wote.

Mama Samia hii kazi haimfai sana, sema ndo vile tena bahati imemuangukia hawezi kuiachia.
Huyu Mama ana upeo mdogo mno.
 
Mama Samia alisema kuna magodfather humfuata na kulalamika pale watu wao wanapotenguliwa. Tena alisema huja mbiombio kwake. Huenda ni kweli kuna watu huwashika watu mikono
Ukiona nakuja na Taarifa hapa jua ni kweli na Nimeshajiridhisha nayo pasi na Shaka.

I'm MINOCYCLINE 'Gifted Intellectually, Knowledgeable Challenger and Well Informed Person' sawa?
 
TISS wanabeba lawama Tanzania nzima sababu ya kubebana
TISS ya sasa ifumuliwe yote kwani imejaa Uozo mwingi na ina Watendaji wengi ( siyo Wote ) wasio na Maadili, wala Rushwa na Watu wa Madili ya hovyo na siyo ya halali.
 
Kuwa Siku hizi ili upate Uteuzi Serikalini au katika Taasisi au Mashirika za / ya Serikali mpaka Ubalozini na kupata Ziara za kwenda nje unatakiwa Kuandaa kati ya Shilingi Milioni Mbili hadi Milioni Saba na wakati mwingine hata Milioni 10 na Milioni za Kitanzania.

Na Mheshimiwa Rais Samia mwanao na Raia Mwema Mimi MINOCYCLINE nilipochoka zaidi ni pale nilipoambiwa kuwa Waratibu Wakuu wa huu Upuuzi na Uhuni ni baadhi ya Watu wako UNAOWAAMINI WA TANZANIA ( UWT ) ambao nao kwakuwa baadhi yao ni Mabosi na Wanakumudu ni kwamba wakishapokea hizo Fedha wanazichikichia kisha Kukufuata na Kukuletea Majina ya Wanaokufaa Kiutendaji na Wewe kwakuwa huna Hiyana na hutaki Mambo mengi huwa Unateua kwani uko very busy na Kutuhangaikia na Kutupigania Watanzania na hizi Njaa na Shida zetu zisizoisha na huenda zisiishe hadi tunaingia Kaburini.

Mheshimiwa Rais Samia kilichonifanya niamini hiki ( hili ) ni kwamba 85% ya walionitaarifu juu ya huu Uhuni na Upuuzi ni Watu ambao wanatoka huko huko na katika maeneo, Taasisi na Mashirika hayo hayo.

Mheshimiwa Rais Samia nakuomba lipokee hili Kiumakini kabisa na lifanyie Kazi kwani lipo na sasa linaanza Kuzoeleka na hata Kuota Mizizi hapa Kwetu nchini Tanzania.

Nikutakie tu Majukumu Mema Rais.
Acha wivu wewe! Unayemtaka achukue hatua ndiye aliyeruhusu watu wale kwa urefu wa kamba zao.
 
Genta = Minocycline haina kificho ukiwa wewe ni wewe tu hata ufanyeje
 
Kuwa Siku hizi ili upate Uteuzi Serikalini au katika Taasisi au Mashirika za / ya Serikali mpaka Ubalozini na kupata Ziara za kwenda nje unatakiwa Kuandaa kati ya Shilingi Milioni Mbili hadi Milioni Saba na wakati mwingine hata Milioni 10 na Milioni za Kitanzania.

Na Mheshimiwa Rais Samia mwanao na Raia Mwema Mimi MINOCYCLINE nilipochoka zaidi ni pale nilipoambiwa kuwa Waratibu Wakuu wa huu Upuuzi na Uhuni ni baadhi ya Watu wako UNAOWAAMINI WA TANZANIA ( UWT ) ambao nao kwakuwa baadhi yao ni Mabosi na Wanakumudu ni kwamba wakishapokea hizo Fedha wanazichikichia kisha Kukufuata na Kukuletea Majina ya Wanaokufaa Kiutendaji na Wewe kwakuwa huna Hiyana na hutaki Mambo mengi huwa Unateua kwani uko very busy na Kutuhangaikia na Kutupigania Watanzania na hizi Njaa na Shida zetu zisizoisha na huenda zisiishe hadi tunaingia Kaburini.

Mheshimiwa Rais Samia kilichonifanya niamini hiki ( hili ) ni kwamba 85% ya walionitaarifu juu ya huu Uhuni na Upuuzi ni Watu ambao wanatoka huko huko na katika maeneo, Taasisi na Mashirika hayo hayo.

Mheshimiwa Rais Samia nakuomba lipokee hili Kiumakini kabisa na lifanyie Kazi kwani lipo na sasa linaanza Kuzoeleka na hata Kuota Mizizi hapa Kwetu nchini Tanzania.

Nikutakie tu Majukumu Mema Rais.
Mr ? Rais ni Tasisi so inawezekana uyasemayo yapo ila siyo Kwa asilimia ambazo unatuaminisha,. Nafasi ya Uraisi haingozwi kama uwazavyo,tusipotoshane
 
Tatizo ni mfumo, ndio maana majina huwa yanajirudia yale yale; ingelikuwa wanaopewa nafasi wanahojiwa kwenye vyombo vya habari na wananchi wanawapigia kura kama bss, ingekuwa vizuri sana, lakini mpaka kufikia huko itahitajika marekebisho ya mfumo.
 
Back
Top Bottom