Rais Samia usiende Simba Day utaumbuka

Rais Samia usiende Simba Day utaumbuka

Nimesikia kuwa Rais Samia atakuwa mgeni Rasmi kwenye kilele cha siku ya Simba Day.

Namshauri asiende, anaweza kuaibika kwa kuwa kuna kakikundi ka watu nimesikia wanasema wamepanga kumuimbia wimbo wa kumkera; "Tunataka bandari zetu'.

Mtakuja kuniambia.

Pia soma:
Hakuna kitu kama hicho Tanzania 🇹🇿 !
Na hata kama , tayari mwenyewe umeshakiri ni kakikundi kadogo !
Maana yake katafunikwa kwa kelele za wana Simba mpaka wataona aibu !!

Katiba mpya bora ndio muarobaini wa matatizo yetu mengi vinginevyo ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu !!
 
Nimesikia kuwa Rais Samia atakuwa mgeni Rasmi kwenye kilele cha siku ya Simba Day.

Namshauri asiende, anaweza kuaibika kwa kuwa kuna kakikundi ka watu nimesikia wanasema wamepanga kumuimbia wimbo wa kumkera; "Tunataka bandari zetu'.

Mtakuja kuniambia.

Pia soma:
Yaani Rais wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu asiende sehemu yoyote anayotaka ndani ya Jamhuri ya Muungano kisa kikundi flani? Uwe serious basi kidogo hata kwa level ya mtoto wa chekechea!🙏🙏🙏
 
Yaani Rais wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu asiende sehemu yoyote anayotaka ndani ya Jamhuri ya Muungano kisa kikundi flani? Uwe serious basi kidogo hata kwa level ya mtoto wa chekechea!🙏🙏🙏
Unawajua 'wahuni' wa mpira? Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili mzee Ali Hassan Mwinyi anawajua vizuri hao watu, kuna wakati waliwahi kumrushia makopo ya mikojo pale uwanja wa zamani wa Taifa, sasa Uwanja wa Uhuru, akiwa na vyeo hivyo hivyo vya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu. Kwao hao 'Wahuni wa mpira' lolote linaweza kutokea. Kipindi hiki upepo sio mzuri.
 
Nimesikia kuwa Rais Samia atakuwa mgeni Rasmi kwenye kilele cha siku ya Simba Day.

Namshauri asiende, anaweza kuaibika kwa kuwa kuna kakikundi ka watu nimesikia wanasema wamepanga kumuimbia wimbo wa kumkera; "Tunataka bandari zetu'.

Mtakuja kuniambia.

Pia soma:
kaulize tena huko ulikosikia, rais siyo mtu mwepesi aje kwenye matukio madogo km hayo. Hata angeenda labda kwaSABABU hujui nguvu ya rais we kima, rais anaingia na dola yote na kwa bashasha zote za wananchi. Nyie mambwa mmefunzwa wapi. Subiri tarehe 08.08.2023 Mbeya ndio utajua nguvu ya rais ni ya aina gani. Wakati rais anahutubia nchi husimama kusikiliza ujumbe wake, na tunamsubiri J4 nane nane kwa hamu kubwa. We endelea na utopolo wako huko ulikolelewa vibaya.
 
Yaani ukitegemea nitakuwepo lazima nilianzishe,Tunataka bandari yetu
 
Akuna mbwa wa kuharibu sherehe ya Simba day.
kama uo ujasiri upo waandamane kwenda Ikulu wakamuimbie dirishani kwake anapolala.
 
Nimesikia kuwa Rais Samia atakuwa mgeni Rasmi kwenye kilele cha siku ya Simba Day.

Namshauri asiende, anaweza kuaibika kwa kuwa kuna kakikundi ka watu nimesikia wanasema wamepanga kumuimbia wimbo wa kumkera; "Tunataka bandari zetu'.

Mtakuja kuniambia.

Pia soma:
Hiyo ni figisu yako tuu na nikuhakikishie mtu au kikundi kitakachi thubutu kufanya ujinga huo hapo wanasimba watanyang'anyana huyo mtu haki! Hatosalia hata ukucha.

Lile si tukio la kisiasa bali ni tukio la michezo. Siasa zina pahala pake na sio kila pahala
 
Nimesikia kuwa Rais Samia atakuwa mgeni Rasmi kwenye kilele cha siku ya Simba Day.

Namshauri asiende, anaweza kuaibika kwa kuwa kuna kakikundi ka watu nimesikia wanasema wamepanga kumuimbia wimbo wa kumkera; "Tunataka bandari zetu'.

Mtakuja kuniambia.

Pia soma:
Hivi hawa wahuni wa Yanga na Simba wanamchukuliaje Rais wetu!!! Mbona hivi vitu ni Petty issues?

Kimsingi mimi binafsi sipendi kabisa kum-undermine kiongozi wetu nchi kwa kiwango hiki.

Mimi ningeshauri asiende kwenye shughuli hizo kwa sasa. Tuna mambo mazito ya Kitaifa yanayotukabili
 
WIVU wa WANA YANGA
Haswaa! Kwanza, itakuwa ni heshima kubwa kwa Wana Simba wote, kama Rais atakuwepo kwenye shughuri hiyo.
Haitatokea kwa mwana Simba yeyote kutaka kuitia dosari sherehe hiyo!
Ni mkakati wa mpinzani wa Mnyama, wa kutaka sherehe isinoge, na kuzua uongo wa darasa la pili!
 
Itakuwa kama wakati uleee, mwaka 2015 enzi za Lowassa, Nape Nauye nadhani alikwenda Uwanja wa Mkapa, watu wakaanza taratibu kuimba 'Mabadiliko' huku wakizungusha mikono, kisha ikaambukiza uwanja mzima. Hikujalisha jukwaa gani.
Unafananisha Nape na Rais, uko timamu mkuu?
 
Back
Top Bottom