Rais Samia usiende Simba Day utaumbuka

Rais Samia usiende Simba Day utaumbuka

jeshi la polisi nawaomba wadhibiti mamluki wa chadema kwa kuwashusha bega kabla hawajakomaa
 
Itapendeza zaidi
Ni siku ambayo dunia itajua Tumefika mwisho.
Tupo tunajiandaa kwenda kutuma ujumbe kwa sisiem dipiworld na viunga vyake
Tunataka Bandari zetu
It will be loud n clear

Tukiongozwa na kawimbo ketu
AMKENI yes indeed TUAMKE KUMEKUCHA
 
Nimesikia kuwa Rais Samia atakuwa mgeni Rasmi kwenye kilele cha siku ya Simba Day.

Namshauri asiende, anaweza kuaibika kwa kuwa kuna kakikundi ka watu nimesikia wanasema wamepanga kumuimbia wimbo wa kumkera; "Tunataka bandari zetu'.

Mtakuja kuniambia.

Pia soma:
Kwenye hili la Simba Day tuache na Rais wetu. Samia Moyoni ni Simba. Uyanga umekuja na DPW
 
Akili za kiutopolo bnaa[emoji16][emoji16][emoji23]
 
Nimesikia kuwa Rais Samia atakuwa mgeni Rasmi kwenye kilele cha siku ya Simba Day.

Namshauri asiende, anaweza kuaibika kwa kuwa kuna kakikundi ka watu nimesikia wanasema wamepanga kumuimbia wimbo wa kumkera; "Tunataka bandari zetu'.

Mtakuja kuniambia.

Pia soma:
Nchi hii michezo imefungamanishwa na siasa,Hivi Tz kuna tatizo gani vichwani mwa watu? Timu kubwa ambazo zingekuwa mfano bora kwa nyingine nazo zinajipendekeza kwa watawala,siasa siasa siasa,mbona vitu hivi havipo kbs nchi nyingine?
 
Kumbuka yale mamillioni ya kununulia magoli aliyotoa haijawahi kutokea ,mama anapenda michezo na hana ubaguzi na anahamasisha vizuri timu zetu zote zifanye vizuri zaidi.
 
Kuna tahira limoja humu linajiita OKW BOBAN SUNZU lilikuja na tuhuma kwa yanga "eti" inatumika na ccm. Haya njoo hapa utoe na tuhuma kwa timu yako kuwa nayo inatumika.
 
Back
Top Bottom