Sio hao tuu na hata wanaomzunguka baadhi,hawamwambii ukweli!Walikukataa hata kabla hujawa Rais. Hawakutaka uapishwe kuwa Rais baada ya kifo cha Rais Magufuli, hawakutaka ugombee nafasi ya urais, hawakuata uchaguzi ufanyike. hata baada ya uchaguzi hawakutaka uapishwe na hata baada ya ana wanahangaika mno ili atoke, they feel guilty. Muonee huruma hajui alilotenda. The actual bad people wako nje wanadunda.
Ni maoni yangu tu.
Jumuiya ya madola ndio nani kwetu? Kama wanaweza siwamalize vita yao ya Ukraine na Urusi? Wamalize vita ya Sudani, DRC na Iran watu wasife?na Common Wealth pia hawamtaki kwa sababu zao?....basi ana Roho ya kukataliwa .Afanyiwe Deliverance
Ni aibu kwa taifa kuwa na mtu mwenye akili duni kama wewe.Walikukataa hata kabla hujawa Rais. Hawakutaka uapishwe kuwa Rais baada ya kifo cha Rais Magufuli, hawakutaka ugombee nafasi ya urais, hawakuata uchaguzi ufanyike. hata baada ya uchaguzi hawakutaka uapishwe na hata baada ya kuapishwa hawataki uongoze nchi na nchi itawalike.
Maridhiano nao haya maana yoyote kwako na kwao, ni heri ufanye kile unachokiweza kuwahudumia wananchi. Kama ningekuwa mimi hata Katiba nisingeiandika kama wengine wakiwemo Mwl Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na JPM walivyoacha kuiandika. Kilichowafanya wasiiandike upya usikipuuze hata kidogo.
Sio kwamba unatuongoza vibaya bali kwasababu zao wanazozificha nyuma ya demokrasia hawataki wewe uwe Rais wa nchi hii, ingawa sio wengi hivyo lakini wapo na wana mahusiano makubwa na wakoloni wetu, walikuja wote na wakaondoka wakawaacha, wapo na tunao.
Nadhani focus yako iwe kutumia kila senti yetu kwaajili ya watanzania, Katiba mpya haileti malisho kwa wafugaji wala mbegu kwa wakulima. Kwanza inatumia fedha nyingi sana kuiandika ambazo hatuna. Nafahamu wako watu ndani ya serikali wanakushauri uandike Katiba, changanya na zako. Kama ni rahisi hivyo Kwanini Mh. KIKWETE alishindwa kuiandika ikakamilika?.
Usiyumbe na kuyumbishwa na kelele za ndani na nje za huyoo huyoo mchinje, mchinje, stay focused.
Hata huyu Lissu amejikuta tu ametumika baba wa watu. Nae ni mhanga, Walimdanganya ili wamtumie kwa maslahi yao bahati mbaya amenasa tu hapo. Ndiyo maana wanahangaika mno ili atoke, they feel guilty. Muonee huruma hajui alilotenda. The actual bad people wako nje wanadunda.
Ni maoni yangu tu.
Na kama ilivyo kawaida kutoka kwako, ni maoni ya kipuuzi.Hata huyu Lissu amejikuta tu ametumika baba wa watu. Nae ni mhanga, Walimdanganya ili wamtumie kwa maslahi yao bahati mbaya amenasa tu hapo. Ndiyo maana wanahangaika mno ili atoke, they feel guilty. Muonee huruma hajui alilotenda. The actual bad people wako nje wanadunda.
Ni maoni yangu tu.
Mko wachache sana, hamsumbui serikali.nakubaliana na wewe kwa 100%, ndiyo, hatumtaki …
Maoni yako ni ya hovyo.Ni maoni yangu tu.
Mambo yapi hayo kaka? Rais Magufuli alikufa, katiba ikamtaka Makamu wake ndiyo awe Rais. Na makamu wake alikuwa Samia Suluhu, kosa lake ni lipi hadi hapo? Wakora walitaka kuipindisha Katiba ili Makamu asiwe Rais kwa sababu zao. HAKUNA HAJA YA MARIDHIANO HAPO. Maridhiano kuhusu nini? Yaani maridhiano na watu walioshindwa kukupindua, sijawahi kusikia kitu kama hiko duniani.Sema mambo mengine kajitakia mwenyewe tu maana angesoma upepo tu
Mko wachache sana, hamsumbui serikali.
RAIS awe ngangali, Afrika hakuna demokrasia hiyo wanayoitaka wao. Hata chama kingine kikiwa madarakani watayafanya hayahaya waendelee kusalia madarakani. Kaza buti sawa na Kagame na Museveni. Borrow a leaf from Kagame and Museveni.