BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Bi chura yupo madarakani kwa jasho na damu za watoto wetu
Hawezi kukubalika hata na vichaa!
Hawezi kukubalika hata na vichaa!
Ulitaka tufe Watanganyika wote?Wewe mbona uko hai, uliponaje kama walikuwa wanapita mtaa kwa mtaa kuua watu?. Acheni undezi
Tanzania nchi salama sana kati ya nchi za Afrika, ni kimbilio la wakimbizi kutoka nchi nyingine. Ni nchi inayovutia hata wachezaji wa kigeni Afrika na nje ya Afrika. Ni nchi ambayo hata wachezaji hawataki kuondoka hata baada ya kuachwa kwenye timu zao au kustaafu kucheza. Ila tz ni nchi hatari sana kwa vibaraka na makuwadi wa mabeberu.Ulitaka tufe Watanganyika wote?
Ila Wazanzibar mna roho mbaya
Toka usingizini we mburula tuko mwaka 2026 sio mwaka 1967Tanzania nchi salama sana kati ya nchi za Afrika, ni kimbilio la wakimbizi kutoka nchi nyingine. Ni nchi inayovutia hata wachezaji wa kigeni Afrika na nje ya Afrika. Ni nchi ambayo hata wachezaji hawataki kuondoka hata baada ya kuachwa kwenye timu zao au kustaafu kucheza. Ila tz ni nchi hatari sana kwa vibaraka na makuwadi wa mabeberu.
Asikwambie mtu tz ni moja kati ya mataifa yenye ulinzi mkali na hodari barani Afrika. Kama unataka uishi kwa shida cheza na amani na utulivu tuliouzoea. Hata kwa bahati mbaya nchi hii haiwezi kupewa mtu anaeungwa mkono na EU au Jumuiya ya madola au nchi ngeni yoyote. Usifikiri tz haijawahi kujaribiwa ili nasisi tupigane kama wengine.
Kama mazazi wako hakuambii acha kuichokoza serikali basi atakuwa anafanya kosa kubwa sana kwako na kwake. Mwl Nyerere alipoona Mrema Lyatonga alikuwa akikaribia kushinda uchaguzi alilazimika kupanda jukwaani kumpinga.
Kaa hapohapo usitoke. Mchoro mzima unafahamika nani ni nani na nani alikuwa nani.Toka usingizini we mburula tuko mwaka 2026 sio mwaka 1967
Yaani unaongea kama mtoto wa chekechea
Mwaka 1967 nilikuwepo na 2026 nipo pia, nayajua yote. Mtashindana lakini hamtashinda. Mwanaume kugombana na mwanamke unaonekana failure na mpumbavu.Toka usingizini we mburula tuko mwaka 2026 sio mwaka 1967
Yaani unaongea kama mtoto wa chekechea
Hivi hata wewe unaweza kumtuma mwanao aende akachome moto jengo la ofisi ya serikali ya mtaa na kituo cha polisi? Ni mjinga pekee anaweza kufanya hivyo. Na kama polisi walikuwa wanaua watu hovyo mitaani basi hata wewe ungeshauliwa. Idadi ya wanaopotea ni ama wametekwa na wenye wake zao, waliodhulumiwa mali zao au waliotekwa na chadema na kuisingizia serikali. Vinginevyo ni kama utajihusisha na ukibaraka na ukuwadi wa mabeberu.Ulitaka tufe Watanganyika wote?
Ila Wazanzibar mna roho mbaya
Nyeti za wakina mama zinafanana zote, yaani ukitaja nyeti ya mama wa mwingine umeitaja na ya mama yako pia hapohapo wakati huohuo, na inawezekana ya mama yako ikawa chafu kuliko ya mama mwingine. matusi sio mazuri hata kidogo.Mnapendaga kuona mama zenu nyeti zao zikitajwa hovyo hovyo ?
Kaka unawakumbuka wanaCCM kindakindaki waliojiita G55?, unajua namna hoja yao ilivyozimwa? unajua ilizimwa na nani? unajua walikuwa wanataka nini?.Toka usingizini we mburula tuko mwaka 2026 sio mwaka 1967
Yaani unaongea kama mtoto wa chekechea
Huna akili shetani weweKaka unawakumbuka wanaCCM kindakindaki waliojiita G55?, unajua namna hoja yao ilivyozimwa? unajua ilizimwa na nani? unajua walikuwa wanataka nini?.
Kama Mwl Nyerere angekuwa hai angeshamzaba kibao Jaji Warioba na kundi lake.
Wao kuchoma moto mali za kina Diamond na wasanii wengine kisa wapo CCM halikuwa kosa lakini wale wahuni kutiwa adabu eti likawa kosa kubwa kisa cha kudai SSH atashtakiwa huko The Hague!.Nyeti za wakina mama zinafanana zote, yaani ukitaja nyeti ya mama wa mwingine umeitaja na ya mama yako pia hapohapo wakati huohuo, na inawezekana ya mama yako ikawa chafu kuliko ya mama mwingine. matusi sio mazuri hata kidogo.
Huwezi kukaa kitako na mtu anaetukana ovyo eti mfanye maridhiano kisha muandike Katiba. Huwezi kumtengenezea njia rahisi ya kufika Ikulu mhuni anaetukana ovyo.
Sudani haikuwa kwenye post. Hata hivyo nilikwenda kuhakikisha ili nisilopoke.Una uhakika sudani haiko Jumuiya ya madola? Una uhakika chadema itakupatia maisha bora kuliko uliyonayo sasa, how?
Kwenye jamii kuna makundi ya watu wenye nia na malengo tofauti, ukitaka kujua wapo wakwamishaji wengi angalia namna DP World alivyotaka kunyimwa kufanya uwekezaji hapo TPA.Anachotaka kufanya ni sawa na simba na nguruwe pori wakae kitako wafanye maridhiano wasidhuliane huko porini. Kama Simba atakubali maridhiano hayo atadhoofika sana kwa njaa, na pengine kufa kabisa wakati nguruwepori wakistawi na kuzaana kwa wingi. Maridhiano na Katiba mpya itaondoa nguvu za CCM na hatimaye kufa kabisa. Aliyemshauri Rais kukubali maridhiano na kuandika Katiba mpya ni adui mkubwa wa CCM, anaichukia CCM na ametumwa na wasioipenda CCM na Muungano. Historia itamhukumu Rais Samia kama Rais wa mwisho wa CCM na aliyevunja Muungano. Waliomzunguuka ama wameshindwa kumshauri vizuri ama wamemdanganya.
Asidhani kuwa Marais waliomtangulia hawakukutana na shinikizo la Katiba, bali walitafakariiiiiiii sana wakaona kuwa kuandika Katiba mpya kutavunja muungano na hasara nyingi kuliko faida. Kikwete alijifanya kichwangumu kutaka kuandika Katiba mpya ili asifiwe lakini akaachana nayo katikati ya mchakato. MAGUFULI akajifunza kutokana na makosa ya Kikwete hadi akasema "siandiki katiba mpya ng'o maana haiko kwenye ilani na wala sijaahidi katiba mpya kwenye kampeni zangu". Baadaya ya kuona hivyo wahuni wakamuingizia Samia Katiba mpya kwenye Ilani na akapiga kampeni za kuandika katiba mpya, hivyo hatakwepa kama alivyokwepa Rais Magufuli. Ndio maana wamarekani hawataki Rais mwanamke hadi leo kwakuwa wanawake wana huruma sana na rahisi kushawishiwa.
Kuna wapuuzi wanatishia kuandamana mwakani siku michuano ya AFCON itakapoanza.Hata aliyemuua John F Kennedy Rais wa Marekani hawamjui hadi leo sembuse sisi ambao ujanja wetu ni mdogo kuliko wao. Upinzani wamepoteza sifa ya kukaa meza moja na CCM na serikali yake. Huwezi kitako na mtu anaedai anataka kuwaletea wananchi maisha bora halafu anachoma hata hicho kidogo walichokidunduliza kwa miaka 65 ya uhuru na kuzunguuka huku na huko ili nchi isipate misaada wala wawekezaji. Hata Nabii Suleiman aliwakataa watu wa aina hiyo.
Bro unapoikatia misaada nchi maskini maana yake unataka kuua watoto wa nchi hiyo wanaotegemea chanjo za misaada kuzuia magonjwa ya kuambukiza. Unataka serikali ikate fedha za mikopo ya wanafunzi ili kufidia pengo litakaloachwa na misaada ya wahisani. Yaani watu wa aina hiyo ni makosa kuwaacha watembee huru mitaani. Wataliangamiza taifa maana watawatisha hatavwatalii wasije kwetu, ni janga kama ukichekea vitendo vyao.