kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
- Thread starter
- #81
Narudia tena na tena! Rais asipoteze hela zetu kuandika Katiba ambayo najua haitamalizika kuandikwa kabla UKAWA hawajaukwamisha tena mchakato. Labda kama umedhamiria kuuvunja muungano wewe ukiwa ndio Rais.Unaandika kutoka moyoni au unaandika kwa shinikizo? Kila mtu ana Mama yake Acha kujipendekeza kwa Mama wa wenzako. Eti atawale Mimi 😂 aisee yaani hii is ishakuwa nchi ya Kifalme sio kidemokrasia.
Watanzania tumekuwa na akili za kijinga na kichawa chawa halafu hapo ulipo wewe ni Baba, Mume, Kaka huko kwenye familia yako.
Huwezi kukaa kitako kuandika Katiba yenye heri pamoja na watu ambao wako tayari kuichoma nchi iwe majivu, watu wafe na nchi ifungiwe misaada ili tu wao watawale. Chama chako cha CCM unajua kuwa kinataka Muungano wa serikali 2, na unajua kuwa vyama vya upinzani vinataka muungano wa serikali 3, hivyo unafahamu kabisa kuwa mchakato utaenda kukwama tena.
Hata Marekani kama itafanya ulevi wa kuujadili Muungano wao na kusema waandike Katiba mpya Marekani haitakuwa hii waliyonayo sasa.