Walifikiri kumuua Polepole ndio itakuwa ndio solution badala yake upinzani umezidi kuongezeka ukiwa na akili ndogo always utakuwa hivyoPolepole alikosa nini au Ally mzee kibao
Walifikiri kumuua Polepole ndio itakuwa ndio solution badala yake upinzani umezidi kuongezeka ukiwa na akili ndogo always utakuwa hivyoPolepole alikosa nini au Ally mzee kibao
Kwasababu tupo wengi hatumtakiKwanini unatumia wingi??sema wewe humtakiii...Mimi nampenda samia
Kibaraka !!!! Sawa mkuu. Sidhani kama ni lazima kumwaga damu ili utawale, sio sifa, sio heshima, ni laana, na tangu 1961 hatujashuhudia genocide kama ya mwaka jana na hatuombei ijirudie. MUNGU aepushie mbali.Kama hujui kaa kimya, sema kama ulikuwa bado mtoto hukujua kilichokuwa kinaendelea. Hukuwepo wakati maiti kwenye sandarusi zikiokotwa ufukweni? Kifupi, epuka kuwa kibaraka na kuwadi wa wasiotutakia mema, utakiona. Sisi tunajua Afrika hakuna demokrasia na hakuna anaekerwa na ukosefu wa haki na demokrasia kwenye familia na jamii. Ndiyo maana kuna makabila watoto wa kike wananyimwa haki ya kurithi ardhi za wazazi wao, watoto wanakeketwa, wanawake wanachapwa na wanaume zao, shuleni unatandikwa viboko, nk. Ukiona mtu yuko tayari kufa kutetea demokrasia nchini ni muongo ni kibaraka au anatafuta hela; ukimpa ananyamaza dwiiii.
Shida yenu mnawadanganya wabwia unga na wavuta misuba ambao hata kura hawapigagi.Kulikuwa na uchaguzi?
Au maigizo?
Ni huruma tu za Rais kwa watoto ambao walidanganywa na wahuni waichome nchi yao wakauliwa. Watubambao waliwaficha mbali watoto wao na kuwadanganya watoto wa maskini kwa kuwaaminisha kuwa jeshi liko upande wao wasiogope. Waliwapa sehemu hatari za kuchoma hata zile zinazolindwa kwa mitutu ya bunduki.Swali sababu ya hayo maridhiano ni nini na chanzo cha maridhiano hayo ni yapi?
Tangu 1961 haikutokea watu waliochoma nchi yao kama hivi. Wangekuwepo wangeuliwa pia.Kibaraka !!!! Sawa mkuu. Sidhani kama ni lazima kumwaga damu ili utawale, sio sifa, sio heshima, ni laana, na tangu 1961 hatujashuhudia genocide kama ya mwaka jana na hatuombei ijirudie. MUNGU aepushie mbali.
Waliokufa bila hatia bado wamepewa majina machafu, magaidi, vibaraka na matusi yote.
Mnawatukana mpaka maiti, mliowakuta wamelala mkavunja nyumba mkauwa, duuuh mnatisha.
Hongereni. Ila MUNGU hapendi.
Mbona wewe hukutekwa? Wewe hukutekwa kwakuwa sio Kibaraka wala gaidi ba wala hukwenda kuchoma ATM na TRA, vinginevyo ungeuliwa pia.Hiyo huyo mtu
Aliyeteka maelfu ya Watanganyika
Aliyepoteza watu
Aliyekuwa maelfu ya watu
Aliyehujumu uchaguzi
Aliyebambakia watu kesi
Aliyeuza Bandari
Aliyeuza Ngorongoro
Aliyejiapisha kihuni
Ufisadi wa kutosha
Anayepuuza ripoti ya CAG
Utamwelewa kweli
Aache kuandika katiba halafu ifike 2030 uone kama tume ya uchaguzi itasimamia uchaguzi, yeyote atakayethubutu kusimama uchaguzi ajiandae kuslzikwa bila katiba mpyaWalikukataa hata kabla hujawa Rais. Hawakutaka uapishwe kuwa Rais baada ya kifo cha Rais Magufuli, hawakutaka ugombee nafasi ya urais, hawakutata uchaguzi ufanyike. hata baada ya uchaguzi hawakutaka uapishwe na hata baada ya kuapishwa hawataki uongoze nchi na nchi isitawalike.
Maridhiano nao hayana maana yoyote kwako na kwao, ni heri ufanye kile unachokiweza kuwahudumia wananchi. Kama ningekuwa mimi hata Katiba nisingeiandika kama wengine wakiwemo Mwl Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na JPM walivyoacha kuiandika. Kilichowafanya wasiiandike upya usikipuuze hata kidogo.
Sio kwamba unatuongoza vibaya bali kwasababu zao wanazozificha nyuma ya demokrasia hawataki wewe uwe Rais wa nchi hii, ingawa sio wengi hivyo lakini wapo na wana mahusiano makubwa na wakoloni wetu, walikuja wote na wakaondoka wakawaacha, wapo na tunao.
Nadhani focus yako iwe kutumia kila senti yetu kwaajili ya watanzania, Katiba mpya haileti malisho kwa wafugaji wala mbegu kwa wakulima. Kwanza inatumia fedha nyingi sana kuiandika ambazo hatuna. Nafahamu wako watu ndani ya serikali wanakushauri uandike Katiba, changanya na zako. Kama ni rahisi hivyo Kwanini Mh. KIKWETE alishindwa kuiandika ikakamilika?. Sasa hivi lipo kundi kubwa sana la watanzania ambao wakati ule wa Tume ya Warioba walikuwa watoto, hivyo maoni yao hayakuwemo kwenye rasimu ile na sasa ni watu wazima ambao maoni yao pia lazima yajumuishwe kwenye Katiba ya 2030. HIVYO mchakato lazima uanze upya, na sio swala la kuanzia pale tulipoishia kama wanavyotaka wengine.
Usiyumbe na kuyumbishwa na kelele za ndani na nje za huyoo huyoo mchinje, mchinje, stay focused.
Hata huyu Lissu amejikuta tu ametumika baba wa watu. Nae ni mhanga wa wale ambao hawakutaka uwe Rais, Walimdanganya ili wamtumie kwa maslahi yao bahati mbaya amenasa tu hapo. Ndiyo maana wanahangaika mno ili atoke, they feel guilty. Muonee huruma hajui alilotenda. The actual bad people wako nje wanadunda.
Ni maoni yangu tu.
Vibaraka wa Samia 2030 labda mkimbie nchi ntatoweka wote na hamtaonekana tena.Mbona wewe hukutekwa? Wewe hukutekwa kwakuwa sio Kibaraka wala gaidi ba wala hukwenda kuchoma ATM na TRA, vinginevyo ungeuliwa pia.
Jiandaen kuuwawa 2030 isipokuwepo katiba nguruwe nyinyiMbona wewe hukutekwa? Wewe hukutekwa kwakuwa sio Kibaraka wala gaidi ba wala hukwenda kuchoma ATM na TRA, vinginevyo ungeuliwa pia.
Watu wa kufanya hivyo hatunao tz, labda mkodi mungiki kutoka Kenya. hata hiyo chadema ikifika 2030 haitakuwa chadema hii.Aache kuandika katiba halafu ifike 2030 uone kama tume ya uchaguzi itasimamia uchaguzi, yeyote atakayethubutu kusimama uchaguzi ajiandae kuslzikwa bila katiba mpya
Hakutakuwa na lolote. Kama mlishindwa ile Oct29 ndio basi tena itachukua muda mrefu kutokea kitu kama kile. Na kama Rais angekuwa mwanaume kutoka Tanganyika mauaji yangekuwa makubwa zaidi ya haya na viongozi wa chadema wote hali yao ingekuwa mbaya sana.Aache kuandika katiba halafu ifike 2030 uone kama tume ya uchaguzi itasimamia uchaguzi, yeyote atakayethubutu kusimama uchaguzi ajiandae kuslzikwa bila katiba mpya
Hakuna serikali legelege duniani, hakuna serikali yenye mkono mfupi.Walifikiri kumuua Polepole ndio itakuwa ndio solution badala yake upinzani umezidi kuongezeka ukiwa na akili ndogo always utakuwa hivyo
Unaijua milele?Wakuu napendekeza mabadiliko ya katiba yatayo mfanya mama yetu kipenzi atawale milele
Amefanya mengi sana mazuri
Unaandika kutoka moyoni au unaandika kwa shinikizo? Kila mtu ana Mama yake Acha kujipendekeza kwa Mama wa wenzako. Eti atawale Mimi 😂 aisee yaani hii is ishakuwa nchi ya Kifalme sio kidemokrasia.Wakuu napendekeza mabadiliko ya katiba yatayo mfanya mama yetu kipenzi atawale milele
Amefanya mengi sana mazuri
Unafanya na kundi la tatu,wasiompenda Samia na CCM.Mambo yapi hayo kaka? Rais Magufuli alikufa, katiba ikamtaka Makamu wake ndiyo awe Rais. Na makamu wake alikuwa Samia Suluhu, kosa lake ni lipi hadi hapo? Wakora walitaka kuipindisha Katiba ili Makamu asiwe Rais kwa sababu zao. HAKUNA HAJA YA MARIDHIANO HAPO. Maridhiano kuhusu nini? Yaani maridhiano na watu walioshindwa kukupindua, sijawahi kusikia kitu kama hiko duniani.
Ndani ya wasioitaka serikali yapo makundi 3 makubwa ya watu wasiompenda Samia tu watu wasioipenda CCM na watu wasiompenda Samia na CCM pamoja. Hapo unafanya maridhiano na kundi lipi?
Hata Mimi binafsi sielewi hicho mnachoita maridhiano kumbuka hao ni Wanasiasa wanatafuta Dola so ni mwendo wa battle tuu.Walikukataa hata kabla hujawa Rais. Hawakutaka uapishwe kuwa Rais baada ya kifo cha Rais Magufuli, hawakutaka ugombee nafasi ya urais, hawakutata uchaguzi ufanyike. hata baada ya uchaguzi hawakutaka uapishwe na hata baada ya kuapishwa hawataki uongoze nchi na nchi isitawalike.