Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Siungi Mkono hoja. Rais ana imani yake ya dini. Msimlazimishe Rais aasi dini yake kwa sababu ya urais. Siungi Mkono hoja ya mleta mada.
Hana imani yoyote ya dini bali ana imani na madaraka. Kama ni imani ya dini basi Iddy ilikuwa jana.