Rais Samia usiishie kufuta kesi za kisiasa za wana-CHADEMA tu

Ila sishangai mchwa anapovamia Mali za watu huzitafuna Tena Kwa fujo bila hata kutaka kujua za nani,na kwake ni sawa.
Gaidi mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu
 
Gaidi mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu
Kwa mujibu wa wanamichongo wote a.k.a wenye akili ngumu,ila wenye akili zao wanaona,wanaiita na kulaani kesi michongo zote na zinazofanana nazo ila SII kama za huyo unayemtetea🤔
 
Wazalendo mnakula tabu ee! Mtapata tabu sana! Hapo hata miaka miwili ya ujane haijatimia!
 
Hii singo ya kupata uteuzi kwa kuisema ama kuishambulia chadema ilizikwa na mizimu yote kule chakto. Badilini gia vingivyo mtaona akiozea jela hivi hivi.
 
Ili kumtetea Sabaya unapaswa kuwa mwehu
 
Sir buyer

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…