SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Sabaya ameshapata mume huko jela mnamtakia nini huku uraiani? Mwacheni afaidi ndoa yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina. Mungu ni mwema 'atamlipa' kila binadamu kwa kadri ya matendo yake.Maovu ya Sabaya yapo waziwazi ya kukata watu masikio,vidole na kupora mali.
Nakuhakikishia hata pale Sabaya akitoka hatakaa muda mrefu Mungu atatenda jambo kama la 17.03.2021
Utaona
KWA sisiem hii iliyojaa wanafiki hutegemei kutetea mwenzao wenyewe wanashangilia kila anachofanya Hangaya waoHatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.
Siyo kazi ya Rais au kiongozi yoyote wa ccm kufurahisha tu viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani huku akiacha wanachama wa chama chake wakiteseka.
Kesi ya Sabaya ni ya kisiasa pia imejaa uongo mwingi ndiyo maana alipokata rufaa Mahakama ikatengua hukumu ya miaka 30 lakini Rais Samia yuko kimya.
Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake.
Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa, sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.
Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki CHADEMA ambao hawana jema kwa nchi yetu.
CHADEMA kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.
Ndiyo tuwasikilize? Hapana.
#Justice for SABAYA
#Free SABAYA