Rais Samia usiishie kufuta kesi za kisiasa za wana-CHADEMA tu

Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.

Siyo kazi ya Rais au kiongozi yoyote wa ccm kufurahisha tu viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani huku akiacha wanachama wa chama chake wakiteseka.

Kesi ya Sabaya ni ya kisiasa pia imejaa uongo mwingi ndiyo maana alipokata rufaa Mahakama ikatengua hukumu ya miaka 30 lakini Rais Samia yuko kimya.

Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake.

Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa, sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.

Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki CHADEMA ambao hawana jema kwa nchi yetu.

CHADEMA kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.

Ndiyo tuwasikilize? Hapana.

#Justice for SABAYA
#Free SABAYA
Wewe humjui wala hujui ukweli juu ya Jambazi Sabaya, kesi zake ni za jinai na hata hiyo rufaa yake ilipita kwa technicalities tuu
Tizama kwenye mitandao ya jamii utamuona huyu mtu akinaswa na CCTV akifanya jinai na si mara moja.
Kwa taarifa yako stay tuned kesi nyingine nyingi zinakuja dhidi yake
 
Kuwa objective. Ni Mtanzania gani, aliye mwema na anayependa haki, anayeweza kumeonea huruma Sabaya?

Kwanza ni uwongo kudai kuwa baada ya rufaa mahakama ilimwona Sabaya hana hatia. Hakimu alieleza kuwa hakuna ushahidi kuwa alitumia silaha kuwapora watu hela, lakini hakusema kuwa Sabaya hakuwapora watu pesa.

Hata jambazi lililo ovu kiasi gani, litakuwa na wenye kushirikiana naye. Wala si ajabu kuona mtu mwovu kama Sabaya, wakawepo wenye kumlilia. Mlitenda uovu, sasa ni wakati wake wa kulipia uovu wake. Nawe kama uliwahi kuwa mshirika wake katika uovu wake, utambue kuna wakati utawajibika kwa uovu wako.
 
Gaidi mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu
Kama unao ushahidi, kafufue hiyo kesi.

Ujinga ni mzigo. Alieyetengeneza mashtaka anasema hana ushahidi, na hivyo hana haja ya kuendelea na kesi, mjinga mtaani anasema kwa vile hakimu alisema ana kesi ya kujibu, kesi iendelee. Kapeleke wewe ushahidi, kama unao.

Kutamka kuwa mtu ana kesi ya kujibu haijawahi kumaanisha kuwa mshtakiwa ana hatia.
 
Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.

Siyo kazi ya Rais au kiongozi yoyote wa ccm kufurahisha tu viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani huku akiacha wanachama wa chama chake wakiteseka.

Kesi ya Sabaya ni ya kisiasa pia imejaa uongo mwingi ndiyo maana alipokata rufaa Mahakama ikatengua hukumu ya miaka 30 lakini Rais Samia yuko kimya.

Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake.

Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa, sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.

Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki CHADEMA ambao hawana jema kwa nchi yetu.

CHADEMA kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.

Ndiyo tuwasikilize? Hapana.

#Justice for SABAYA
#Free SABAYA
Wewe ndiyo MUSIBA?!
Maana siyo kwa pumba hizi na povu juu..

Kwa hiyo kila wanaopinga utekaji, wizi, unyang'anyi, uonevu, mauaji na maovu mengine ni Chadema tu?!!!!

Mbona sisi wana ccm wazalendo tunaunga mkono hatua za kisheria dhidi ya wahalifu wote akiwemo Sabaya?

Chief HANGAYA kanyaga twende..
 
Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.

Siyo kazi ya Rais au kiongozi yoyote wa ccm kufurahisha tu viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani huku akiacha wanachama wa chama chake wakiteseka.

Kesi ya Sabaya ni ya kisiasa pia imejaa uongo mwingi ndiyo maana alipokata rufaa Mahakama ikatengua hukumu ya miaka 30 lakini Rais Samia yuko kimya.

Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake.

Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa, sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.

Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki CHADEMA ambao hawana jema kwa nchi yetu.

CHADEMA kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.

Ndiyo tuwasikilize? Hapana.

#Justice for SABAYA
#Free SABAYA
Wakata masikio wenzao unaanzaje kuwaita wazalendo..?
 
Maovu ya Sabaya yapo waziwazi ya kukata watu masikio,vidole na kupora mali.

Nakuhakikishia hata pale Sabaya akitoka hatakaa muda mrefu Mungu atatenda jambo kama la 17.03.2021

Utaona
Umeona kichwani ameshaota kauvimbe hapo kichwani, Mungu hapendi dhulma na uonevu
 
Hao diplomats ndiyo wanamtumie kuuza madawa ya kulevya
Ndugu,
WAONAJE ukitumia vielelezo na ushahidi uliyo nao ukaenda ukaenda kumfungulia upya Mbowe kesi za ugaidi na hayo madawa ya kulevya, badala ya kuwa unapayuka tu humu. Pia, kama kweli wampenda, wampigania Lengai Ole Sabaya, basi itakuwa busara uende ukatafute namna ya kuongeza nguvu ya kumuokoa kisheria. Yowe zako ni za kishetani, zimejaa mikelele ya upotoshaji kuliko ukweli. Jitafakari
 
Hii ndio Taarifa mpya ambayo imetufikia hivi Punde kutoka Mahakama ya Kisutu 3/6/2022 , Kwamba Robert Kisena wa UDART pamoja na wenzake wameachiwa huru na Mahakama na kufutiwa mashitaka yote 15 , likiwemo la kuisababishia serikali hasara ya sh bilioni 2 .

DPP ameiambia Mahakama kwamba hana nia ya kuendelea na Mashitaka dhidi ya Ndugu Kisena na wenzake.

My take . Alafu Sabaya anayetuhumiwa kuiba simu ya tecno hawataki kumwachia
 
Pia, kama kweli wampenda, wampigania Lengai Ole Sabaya, basi itakuwa busara uende ukatafute namna ya kuongeza nguvu ya kumuokoa kisheria. Yowe zako ni za kishetani, zimejaa mikelele ya upotoshaji kuliko ukweli. Jitafakari
 
Hii ndio Taarifa mpya ambayo imetufikia hivi Punde kutoka Mahakama ya Kisutu 3/6/2022 , Kwamba Robert Kisena wa UDART pamoja na wenzake wameachiwa huru na Mahakama na kufutiwa mashitaka yote 15 , likiwemo la kuisababishia serikali hasara ya sh bilioni 2 .

DPP ameiambia Mahakama kwamba hana nia ya kuendelea na Mashitaka dhidi ya Ndugu Kisena na wenzake.

My take . Alafu Sabaya anayetuhumiwa kuiba simu ya tecno hawataki kumwachia
Mumeo Sabaya ataozea jela,siyo wa leo au kesho kurudi uraiani,wewe tafuta mume mwingine tu hizi kelele zako hazisaidii kitu.
 
Hii ndio Taarifa mpya ambayo imetufikia hivi Punde kutoka Mahakama ya Kisutu 3/6/2022 , Kwamba Robert Kisena wa UDART pamoja na wenzake wameachiwa huru na Mahakama na kufutiwa mashitaka yote 15 , likiwemo la kuisababishia serikali hasara ya sh bilioni 2 .

DPP ameiambia Mahakama kwamba hana nia ya kuendelea na Mashitaka dhidi ya Ndugu Kisena na wenzake.

My take . Alafu Sabaya anayetuhumiwa kuiba simu ya tecno hawataki kumwachia
Usitupigie kelele hapa itikia wito huu
JamiiForums1601347157.jpg
 
Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.

Siyo kazi ya Rais au kiongozi yoyote wa ccm kufurahisha tu viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani huku akiacha wanachama wa chama chake wakiteseka.

Kesi ya Sabaya ni ya kisiasa pia imejaa uongo mwingi ndiyo maana alipokata rufaa Mahakama ikatengua hukumu ya miaka 30 lakini Rais Samia yuko kimya.

Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake.

Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa, sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.

Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki CHADEMA ambao hawana jema kwa nchi yetu.

CHADEMA kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.

Ndiyo tuwasikilize? Hapana.

#Justice for SABAYA
#Free SABAYA
ili usionekane kwamba wewe ni mpumbavu mbele za watu, thibitisha kwa hoja kwamba kesi za SABAYA NI ZA KISIASA.
Thibitisha kwa hoja siyo kurukaruka kama punguani aliyeona jalala jipya
 
Viongozi wa dini mpo wapi jamani tuokoe kijana na mtanzania mwenzetu wachaga wanataka kumpoteza kisa uzalendo wake katika kusimamia rasilimali za nchi hii pia wakili ameomba tuchangie kuwezesha kesi hii hapa naelekea kwa wakala kutoa mchango wangu.
 
Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.

Siyo kazi ya Rais au kiongozi yoyote wa ccm kufurahisha tu viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani huku akiacha wanachama wa chama chake wakiteseka.

Kesi ya Sabaya ni ya kisiasa pia imejaa uongo mwingi ndiyo maana alipokata rufaa Mahakama ikatengua hukumu ya miaka 30 lakini Rais Samia yuko kimya.

Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake.

Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa, sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa.

Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki CHADEMA ambao hawana jema kwa nchi yetu.

CHADEMA kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.

Ndiyo tuwasikilize? Hapana.

#Justice for SABAYA
#Free SABAYA
Sabaya ni mwivi,kaka-jambazi na mbakaji.Let him rot in hell together with his own "ankali" jiwe!Teh!Teh!
 
Back
Top Bottom