Rais Samia usiishie kufuta kesi za kisiasa za wana-CHADEMA tu

Sabaya ameshapata mume huko jela mnamtakia nini huku uraiani? Mwacheni afaidi ndoa yake
 
Hilo lidada linalojiita liwakili la sabaya ukute ni lidangaji tu linataka kula michango.
 
Maovu ya Sabaya yapo waziwazi ya kukata watu masikio,vidole na kupora mali.

Nakuhakikishia hata pale Sabaya akitoka hatakaa muda mrefu Mungu atatenda jambo kama la 17.03.2021

Utaona
Amina. Mungu ni mwema 'atamlipa' kila binadamu kwa kadri ya matendo yake.
 
KWA sisiem hii iliyojaa wanafiki hutegemei kutetea mwenzao wenyewe wanashangilia kila anachofanya Hangaya wao
 
KWA sisiem hii iliyojaa wanafiki hutegemei kutetea mwenzao wenyewe wanashangilia kila anachofanya Hangaya wao
Na Mwaipaya amefutiwa ingawa ametoka na mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…