Rais Samia, usijenge Bandari ya Bagamoyo utaiua nchi kabisa

China baada ya kutawanya rasilimali zake kulisha dunia kwa kipindi kifupi, janga mbele yake kuporomoka, anajipanga kuwa na bases nje ya China ( China within other countries) afaidi Malighafi na export kwa ushindani. Ni mpango wa ajabu na aibu viongozi wetu wabinafsi na wanafiki kutuuza kwa Bei ya bure Zama hizi za mwanga.
Usaliti kutokuwa na Bunge la wananchi Leo hii tunampa kazi isiyo yake CDF, tuipende nchi yetu tuwe na Katiba Bora ,mifumo na taasisi imara. Huu ujinga nyie CCM mmepandikiza mfumo wa MTU mlaaniwe na vizazi vyenu.
 
Hivi wewe hukumsikia hata Museveni anashangaa mizigo michache inapita Dar mpaka Mama kaomba mabomba yapite Dar kaomba, Zambia wanapita Beira, Uganda mizigo mingi Mombasa Rwanda hivyo hivyo ni michache sana inapita Dar sio kama unavyotaka kusema hapa. Hakuna bandari ya hovyo kama Dar urasimu hakuna fair system wako slow ndio sababu ya wengi kuikimbia tumebaki na nyimbo tu inahudumia nchi 6 weka hapa inahudumia kwa kiasi gani? wameshaikimbia watu siku nyingi ni maiti tu inatembea.
 
Sio Tanzania nchi ya ajabu, bali tunaongozwa na watu wa ajabu halafu kuna kitu kimetu affect na hili ni kosa lazima tukiri; zile fikra za mwenyekiti zidumu tunaziendeleza hadi leo wakati nchi tayari imeingia mikonono mwa uzao wa nyoka si bado tunadhani hawa nao ni wakina Nyerere, Karume, Kawawa ,Sokoine n.k
Kama mleta mada anapoongea , kuwa fulani amshauri fulani, kwani yeye fulani haoni jambo la wazi kabisa hilo . Unaposikia nusu ya chama kimegawanyika juu ya jambo hapo tayari umeshapata ushauri katikati ya debate hiyo inayoendelea. Watu wengi wakubwa wameshasema, ukiona anaendelea mbele kujenga maana yake hicho ni kiburi, maslahi ya kundi lake, na kukosa uzalendo, period.
Tusiumeume maneno jambo liko wazi hilo, mitandao yote imerindima juu ya hilo, ya uganda na zambia tumeyasikia , ww ndio uwe juu usione wakati ss tuliochini tunaona na tunapiga kelele, la msingi hapa. MIKATABA IPITIWE KIZALENDO, HATUPINGI JAMBO LENYE TIJA ILIMRADI KUPINGA TU, UTAKUA NAO NI UJINGA PIA.
 
Umemsahau bashite

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Tungekuwa na Katiba Mpya ya wananchi na 'Bunge linalojitambua' kusingekuwa na haja kumhusisha CDF na mambo yasiyomhusu. Mkatae mkubali Katiba Mpya inayotokana na wananchi haiepukiki.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Bandiko bora kabisa la kwa mwaka huu .huo ndo ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tangu Jwtz watumike kusambaza kura feki kipndi cha uchaguzi sina imani nao tena;
 

Cdf mwenyewe wakala wa ccm
 
Upo sahihi kabisa mkuu

Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
 
Mkwere akishakuja ujue upigaji uko palepale
 
Bora huo mradi wa bagamoyo upelekwe tanga au mtwara..ila sio hapoa karibu na dsm..wataua bandari yetu..sema viongozi wa nchi hii sio viongozi wa wananchi ni viongozi wa matumbo yao.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inchi aisee sijui!!! Sometimes unaona bora ujifie tu... Maana inatia hasira sana

Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa nakasana kusoma huu uzi wako, lakini nilipofika sehemu iliyoandikwa "inasemekana kuwa" namni nikakomea hapohapo na kuanza kuandika hii reply.
 
nilichokiona hapo hamtaki mkoa wa pwani kuwa na maendeleo.mmepeleka fedha nyingi sana Dodoma na Chato ili kuziinua sehemu hizo.
 
Bandari ya Bwagamoyo kama mkataba wake ni Win Win wacha ijengwe.
 
CDF anateuliwa na Rais kwa mjibu wa katiba iliyopo

Ulimsikia mwenyewe kwa masikio yako siku Ile ya mazishi kule Chato CDF alitamka mwenyewe kwa mdomo wake kwamba atamtii Rais (Samia)

Kwa kuwa Rais anatokana na ccm hawezi kumteua CDF asiye mfuasi wa ccm

Ili kupata uponyaji wa uhakika nchi hii kwanza ni katiba mpya na Kisha ccm wapumzike pembeni
 
JK hajawahi kuwa na uchungu na nchi yetu,Sasa amemutegea zigo la miiba Hangaya,naye ndo kalibeba kichwani,laana za wana wa Tanzania juu ya kichwa chake.
 
Labda tuanze kuwatumia wachawi kwa maslahi ya taifa.

Tukiona kiongozi fulani anazingua tunaita kamati ya wachawi wanamloga afe basi mchezo kwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…