Rais Samia usikubali CDF General Mabeyo astaafu kwani bado anahitajika na sijaona wa kumrithi kwa sasa

hivi ni nani aliyetupatia ujinga wa hivi. Eeeh Mungu tunaomba ukombozi wako
 
CDF Mwamunyange aliongezewa muda ili ipatikane muda wa kutosha kumuandaa General Mabeyo, kwasababu kwa wote waliokuwepo kwenye seniority line up, there was no preferable choice, lakini sasa kwa Mama, preferable choice ipo, aongezwe muda wa nini?.

Mimi naendelea tuu kusisitiza, kwenye ujio wa CDF mpya, hoja za bandiko hili, Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu?. Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine? zizingatiwe!.
P
 
Muacheni kamanda akapumzike, amelitumikia taifa kikamilifu, kiadilifu na kiaminifu kwa zaidi ya miaka 40, sasa ni vizuri akapumzika, amefanya kazi kubwa sana, heshima kwako Jenerali.
 
Acheni uchawi, hkuna wanajeshi wengine wenye sifa. Kësho mtataka pia RAIS aongezewe Muda Sasa. Miaka 65 jeshin amebakiza Nini??. Mwache aende RAIS asisikilize huu ujinga
 
Tahira kweli wewe nchi hii unadhani inajenero mmoja Sasa ujue yeye mwenyewe Hana furaha ,anaweza tengenezewa utaratibu na wezake akakuta ofisini hayupo
 
Ndugu yangu hiki nini unashauri kwa Rais?
 
Ondoa hiyo hoja yako hapo chini haina mashiko
 
Hivi ni uongozi wa CDF gani Jeshi liligeukia kazi ya kutoa matamko ya Kisiasa? Mara kufagia barabara Wapinzani wasiandamane, mara matamko makali kuhusu uchaguzi!! Nadhani ilikuwa 2010.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Acha mawazo mfu kufikiri kua kama hanma watu wa kufanya hiyo kazi asipokuwepo. Huko jeshin hakuna watu zaidi ya mabeyo. Yeye aondoke ofisin. Pale Kuna watu wazuri zaidi yake

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Atakuja mwingine, na jeshi letu litabaki imara,
 
Upumbavu kama huu wa kutukuza mtu badala ya mfumo inabidi sisi wenye akili tuukemee vikali.
Hukumfahamu Mabeyo kabla ya kuwa CDF, vivyo hivyo atakuja mwingine mwenye uwezo….. mambo ya kutaka wazee wafie ofsini ni upuuzi.
 
Acha uzwazwa akifa je,napo atamzuia asizikwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…