Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na usisahau aliwapa na ndege mbili kwenda kwenye mechi yao na Mamelod.Alivyo wakaribisha futari pale ikulu baada ya kuvishwa shanga shingoni (medali) ya CAFCC, mbna hukusema asijihusishe na mambo ya football?
Kila kitu kitakua sawa km kilivyo pangwa, hakuna wa kuzuia.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Kwa huyo Wakili wenu wa mchongo au mwingne???Hawa watu ukienda kisheria unawashinda, eti makomandoo wa yanga, hawa makomandoo wa yanga wanatambulika kisheria ? Makomandoo wa yanga ndio walinzi na washika funguo za uwanja ? Mbona SIELEWI? Aliewazuia Simba ni nani sababu Yanga hawez kumzuia Simba kuingia uwanjani...
Kwenye ligi namba moja zamalek anagoma kucheza na ahly kila mara Kwa sababu mbalimbali mara ya mwisho walitaka refa atoke Spain na maisha yanaenda ,hakuna jambo dogo Kwa club ya Simba ,hakuna kanuni inayoweza kuiadhibu Simba SC.usitegemee Simba aingize team uwanjani kisa yanga analipa faini ya m5 ujinga huo mtafanya Kwa club nyingine sio Simba ,Simba sio genge la wahuni .Rais Samia wewe ni Rais wetu site.
Mara ya kwanza ulitukwaza wanayanga ulivomaliza suala la Feitoto katika kutoa maagizo.
Na ukijua maagizo yako kama Rais hakuna raia wa nchi hii anaweza kuyapinga, Kwa heshima yako wanayanga tulikubali kulimaliza suala hili mezani japo tulishinda kwenye sheria
TFF na bodi ya ligi baada ya kuharibu na kushindwa kusimamia kanuni, Sasa kimbilio ni wewe Rais Samia kukutumia kubariki uvunjifu wa kanuni ati usuluhishe na mambo yaishie kwenye meza
TFF wamepanga kukualika kuwa mgeni rasmi wa mechi itakayopangwa upya, huku wakijua wakikutumia ww viongozi wa Yanga watakosa nguvu ya kukataa na kutetea haki ya Yanga,
Yanga hatutaki hili litokee
Rais Samia tunakuomba acha masuala ya football yaendeshwe Kwa kanuni sio kukutumia Rais kiongozi wa siasa kuingilia football
Simba aadhibiwe Kwa kanuni zilizo wazi, sio kutumia Rais wa serikali kuikandamiza Yanga
Rais akijiingiza kwenye hili suala sio sawa na oktoba atatugawa wapiga kura wake
Ni heri asionyeshe upande wowote, kanuni zisimame
Vyombo vya usuluhushi wa michezo vitumike na timu zipate haki huko CAS
Mufanye maamuzi ya kisengerema kwa kumtegemea Msoga aokoe jahazi, kwani yeye Uto haimuumi?Kaka hii mechi watu wakitaka ichezwe wala hawana shida na rais wa nchi. Simu itapigwa pale Chalinze kwa rais mstaafu, yule Mzee ndo atatoa amri kwa rais wako wa timu apeleke timu uwanjan.
Dah wewe ni kilaza aswaaaRais Samia wewe ni Rais wetu sote.
Mara ya kwanza ulitukwaza wanayanga ulivomaliza suala la Feitoto katika kutoa maagizo.
Na ukijua maagizo yako kama Rais hakuna raia wa nchi hii anaweza kuyapinga, Kwa heshima yako wanayanga tulikubali kulimaliza suala hili mezani japo tulishinda kwenye sheria
TFF na bodi ya ligi baada ya kuharibu na kushindwa kusimamia kanuni, Sasa kimbilio ni wewe Rais Samia kukutumia kubariki uvunjifu wa kanuni ati usuluhishe na mambo yaishie kwenye meza
TFF wamepanga kukualika kuwa mgeni rasmi wa mechi itakayopangwa upya, huku wakijua wakikutumia ww viongozi wa Yanga watakosa nguvu ya kukataa na kutetea haki ya Yanga,
Yanga hatutaki hili litokee
Rais Samia tunakuomba acha masuala ya football yaendeshwe Kwa kanuni sio kukutumia Rais kiongozi wa siasa kuingilia football
Simba aadhibiwe Kwa kanuni zilizo wazi, sio kutumia Rais wa serikali kuikandamiza Yanga
Rais akijiingiza kwenye hili suala sio sawa na oktoba atatugawa wapiga kura wake
Ni heri asionyeshe upande wowote, kanuni zisimame
Vyombo vya usuluhushi wa michezo vitumike na timu zipate haki huko CAS
Unasemaje mke wanguSawa mrembo
Yanga hatuchezi tena na wahuni, Yanga ni brand kubwa msiichezee , mechi ikipangwa tena makolo mtapeleka uwanjani timu yenu mkacheze wenyeweAlivyo wakaribisha futari pale ikulu baada ya kuvishwa shanga shingoni (medali) ya CAFCC, mbna hukusema asijihusishe na mambo ya football?
Kila kitu kitakua sawa km kilivyo pangwa, hakuna wa kuzuia.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app