Rais Samia usikubali kunasa kwenye mtego wa TFF

Na usisahau aliwapa na ndege mbili kwenda kwenye mechi yao na Mamelod.

Hadi mashabiki walienda.

That moment hatukuona matamko kama haya ya kumuhasa raisi aache kujihusisha na mpira.
 
Na usisahau aliwapa na ndege mbili kwenda kwenye mechi yao na Mamelod.

Hadi mashabiki walienda.

That moment hatukuona matamko kama haya ya kumuhasa raisi aache kujihusisha na mpira.
Tulia mbumbumbu
 
Kwa huyo Wakili wenu wa mchongo au mwingne???
 
Kwenye ligi namba moja zamalek anagoma kucheza na ahly kila mara Kwa sababu mbalimbali mara ya mwisho walitaka refa atoke Spain na maisha yanaenda ,hakuna jambo dogo Kwa club ya Simba ,hakuna kanuni inayoweza kuiadhibu Simba SC.usitegemee Simba aingize team uwanjani kisa yanga analipa faini ya m5 ujinga huo mtafanya Kwa club nyingine sio Simba ,Simba sio genge la wahuni .
 
Kabla ya kumshauri rais ungeanza na kuwalaumu viongozi wako kuwa machawa.
Rais kuwa mgeni rasmi wa mechi ambayo nyinyi hamuitambui hakuwalazimishi nyinyi kuleta timu labda uchawa tu wa viongozi wenu ndio uwafanye mlete timu

Nyuma mwiko simamieni mnachokiamini acheni kulia lia mitandaoni na mmeshasema hamchezi sasa uoga wa nn?
 
Kaka hii mechi watu wakitaka ichezwe wala hawana shida na rais wa nchi. Simu itapigwa pale Chalinze kwa rais mstaafu, yule Mzee ndo atatoa amri kwa rais wako wa timu apeleke timu uwanjan.
Mufanye maamuzi ya kisengerema kwa kumtegemea Msoga aokoe jahazi, kwani yeye Uto haimuumi?
Natabiri ikitokea kupigiwa Simu atawaambia "mlishindwa nini kumpigia Kitelefoni Cha Ruangwa kuwatahadharisha hatari ya kugomea mchezo?
Au Albert Bashite amvutie Uzi mmiliki wa timu bwana Moo unadhani uongozi wa Madunduka ungekaidi?
Mmeshalikoroga linyweni hivyo hivyo." Anamalizia kwa "Ukiambiwa changanya na zako he he he he."
 
Dah wewe ni kilaza aswaaa
 
Kwani Feisal aliondokaje hapo uto. Hapo ndio utajua hujui lazima mechi ipigwe
 
Yanga hatuchezi tena na wahuni, Yanga ni brand kubwa msiichezee , mechi ikipangwa tena makolo mtapeleka uwanjani timu yenu mkacheze wenyewe
 
Huyu jamaa naye anaona amemshauri Rais,kwani Rais hajaona zile clip mkiwazuiya wachezaji wa Simba kufanya mazoezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…