Rais Samia usilalamike, unachokisikia ndio kinasemwa nchi nzima, kubali tu yaishe!

Wanafiki watupu. Ukiawaangalia juu juu utadhani watu kweli
 
Pale sasa kuna wabunge?
 
Hata masanja mkandamizaji kwenye hii nchi akigombea CCM anaweza kushinda........hamna jipya uchaguzi ukifika,TISS,polisi,wanajeshi,walimu wote wanaisaidia CCM ibaki madarakani maana ndio ulaji wao ulipo
Mbadilishe mtu hapo juu,
Mmtoe T Lisu na mbowe wasigombee nafasi za juu
Na mlete mtu mwenye akili ya kutulia
Kisha.muombe radhi wananchi kwa makosa yote yaliyosababishwa na wao.
 
5 imebeba yote hayo juu, ni kwasababu hiyo hayo ya tozo, mfumuko wa bei nk yametokea. Yataendelea mengi mengine kutoka hapo.
 
Mwafaka wa kitaifa na nani, hao wanaomhujumu au watu gani?
 
Kasafishe kabuli chato! Samia ndo Rais wa JMT hadi 2030 penda usipende
 
Bila shaka wewe ni msukuma.
Hamna pa kutokea hata mseme nini.
Mlitamba sana kipindi cha utawala wa msukuma mwenzenu uliotukuka kwa ubaguzi wa kikabila na ukanda.Tulieni dawa iwaingie.Wasiomkubali mama ni ninyi peke yenu,sisi wengine tunamkubali sana.Usiwataje chadema maana hao ni mavuvuzela tumeawazoea.Hakuna chochote kinachowaridhisha hao.
 
.
Zulumati wa NSSF the great labda kwenu na kaukoo kenu....
 
Ole lela lela sana nyanda...humulaga eehhomba...na manombo yapyaga
 
Sukuma gang in action
 
Fikicha macho uondoe tongotongo wewe kibwengwo
 
Ushauri wangu Ni kufuta baraza la mawaziri na aanze na wakwake 2022,pia makundi yote yaliyotengana naye akae na wadau wa kisiasa wote na awasikilize na kutekeleza mapungufu yaliyopo.pia azingatie takes la wananchi juu ya katiba mpya iliyojadiliwa na wananchi,chadema Ni wawakilishi wa wananchi kwakuwa wao Ni taasisi.
 
Kumbe tunahitaji katiba ili kuwa room wapinzani?[emoji848][emoji848]
 
Kwa katiba hii tuliyonayo bado ntakuwa wa mwisho ati wana CCM kumtisha Mwenyekiti wa CCM taifa na ambaye ni amiri jeshi mkuu wa majeshi yote kwamba Urais wake 2025 unajadiliwa kama anatosha.

Narudia tena kwa Katiba hii huwezi mtisha Rais wa Tanzania.
 
Atiletee katiba mpya, hatahitaji kuhangaika na sukumagang, Wala anaowaita wapinzani/mahasimu wa kijani.
 
Amerithi Serikali yenye maadui wengi sana ambao mwendazake aliwatengeneza.

Cha msingi mwaka mpya huu kwa kuanza aachane kabisa na uhasama wa kisiasa, afute kesi zote za kisiasa ili kutafuta mwanga mpya wa kisiasa kwake.

Ndani ya CCM kuna kundi kubwa la mwendazake nalo si la kubeza ; nje ya CCM nako si salama kabisa watu wanataka katiba mpya...na huwenda uchaguzi wa 2025 ukazolota kabisa tangu vyama vya siasa vianze.

Ana changamoto nyingi mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…