Mabua ayavune mara ngapi? Nimuagiza mtu mjini MWanza aninunulie umeme kakosa tangu asubuhi...ni watu wangapi vijijini wenye uwezo wa kwenda TANESCO makao makuu ya Mkoa au Wilaya....Rais asiposhupaa atavuna mabua
Maelezo ya wapi wambie hao wenzio wasione wote wapumbavuMbona maelezo ya TANESCO yanaeleweka, au mwenzetu ni ile kndi la Sukuma gang ambalo kila tatizo mnaona kuwa limetokea kwa kuwa Jiwe limeanguka? Kutokea kwa hitilafu kwenye mfumo wa mawasiliano ni jambo la kawaida na ndio maana TANESCO wameeleza kuwa wataalam wanashughulikia tatizo
Wewe una kipele?Hii tabia ya kuanza kumpangia rais wa JMT inatoka wapi? Mbona jiwe mlikuwa hamthubutu?
Kamanda Sirro tafuta usukume ndani watu hawa bado hawajajua hii nchi ina rais. Hawachoki kudai rais ni dhaifu.
Hakushindwa na mfumo, ila alishindwa kwenye kura, wananchi walitumia haki yao katika uchaguzi.Hiyo mifumo inasimamiwa na watu,hata marekani wenye mifumo imara hupata watu wasio imara na ndio maana walimuondoa Trump.
Inatafutwa pesa ya 2025 mkuu, wajomba wako kazini, hii ni sabotage ya wazi kabisaKina mjomba wamesharudi....
tulishaona haya
Unajuaje kama sio yeye mwenyewe ndio kasababisha hivyo ili watu wanaouza majenereta wajae mifukoni pia na yeye mwenyewe apige 10% ya kurekebishia hilo tatizo jua kwamba akili ni mali sio wote maboya.
Mama Samia Mimi ni mfuasi wako ambae sitakua tayari kuona Kuna watu kwa makusudi wanapima kina Cha maji. Mama Samia hawa watu wanaku-beep kila Mara ili kuona Kama upo strong au weak, waonyeshe wewe ni nani.
Waambie wewe ni amiri jeshi mkuu na Mtu makini sana, Wala usiwaonee aibu kwa kuwa unawajua tayari. Na kawaida yao wataanza kukuchafua kwa kila aina ya maneno Ila usijali ndio kazi ya kiongozi hiyo. Kiongozi huwezi kumridhisha kila mtu, Hawa watu wanauchezea mfumo wa GePG kwa makusudi kabisa.
TRA na Sasa TANESCO lugha yao imebadilika na kuwa "system ipo down" , watu wameshindwa kununua umeme majibu ya TANESCO eti wavumilie. System kama ya TANESCO inaharibikaje kirahisi hivi? Hapo inatafutwa namna ili kurudi mfumo wa zamani Kama ilivyotokea kwa TPA eti mfumo wa electronic clearing system upo chini hivyo kutumika wa zamani.
Ni wazi hii ni hujuma na makusudi kwa kuwa haiwezekani mifumo ya taasisi nyeti Kama TRA, TPA na TANESCO yote iwe hivi kwa kipindi Cha mwezi mmoja tu. Mama Samia shusha rungu na wasikuzoee kabisa maana hawahawa wanaokukwamisha ndio watakuwa wa kwanza kusema "umeshindwa kuongoza huwezi uraisi".
Wote mnaoanza kum-beep mama Samia siku zenu zinahesabika, Tanzania sio shamba la Bibi.
Hao hawanatofauti ata kidogo ni kama mapacha.Bado daladala kuanza kugoma, kafanana na JK kila kitu kasoro jinsia tu.
Usitufanye as if tulikuwa hatuishi tanzania bhn, hizi mambo hazikuwa at this extend. Ukiwa soft nchi hii inakushindaTatizo magufuli alilazimisha kampuni/mashirika yote za serikali kuwatumia TTCL kwenye maswala ya mawasiliano wakati TTCL wenyewe hawajiwezi. Tatizo halijaanza leo kwenye mawasiliano ila kwa kuwa haikuruhusiwa kutoa taarifa enzi zake wengi mtaona ni jambo jipya kwa kuwa tu limewagusa wengi (watumiaji hata wa hali ya chini) Watu wanaolipa kodi TRA wameshazoe hali hii mbona.
Shida anaogea vitendo zero
Mama Samia Mimi ni mfuasi wako ambae sitakua tayari kuona Kuna watu kwa makusudi wanapima kina Cha maji. Mama Samia hawa watu wanaku-beep kila Mara ili kuona Kama upo strong au weak, waonyeshe wewe ni nani.
Waambie wewe ni amiri jeshi mkuu na Mtu makini sana, Wala usiwaonee aibu kwa kuwa unawajua tayari. Na kawaida yao wataanza kukuchafua kwa kila aina ya maneno Ila usijali ndio kazi ya kiongozi hiyo. Kiongozi huwezi kumridhisha kila mtu, Hawa watu wanauchezea mfumo wa GePG kwa makusudi kabisa.
TRA na Sasa TANESCO lugha yao imebadilika na kuwa "system ipo down" , watu wameshindwa kununua umeme majibu ya TANESCO eti wavumilie. System kama ya TANESCO inaharibikaje kirahisi hivi? Hapo inatafutwa namna ili kurudi mfumo wa zamani Kama ilivyotokea kwa TPA eti mfumo wa electronic clearing system upo chini hivyo kutumika wa zamani.
Ni wazi hii ni hujuma na makusudi kwa kuwa haiwezekani mifumo ya taasisi nyeti Kama TRA, TPA na TANESCO yote iwe hivi kwa kipindi Cha mwezi mmoja tu. Mama Samia shusha rungu na wasikuzoee kabisa maana hawahawa wanaokukwamisha ndio watakuwa wa kwanza kusema "umeshindwa kuongoza huwezi uraisi".
Wote mnaoanza kum-beep mama Samia siku zenu zinahesabika, Tanzania sio shamba la Bibi.
TANESCO watu wamezoea kutafuna tafuna snSina umeme toka Jana umeisha...Niko gizani hawa watu wajinga Sanaa..maza anazingua Sanaaa!!daah
Maji nako ni balaa tupuEti Makao Makuu ya TANESCO wilaya/Mkoa wapi wakuu msijisumbue nako huduma hakuna wapo wanacheza game la karata kwenye kompyuta zao, hawana mtandao wa LUKU,
Nchi imesimama! VIVA Rais SSH,
Du Tanzania ya ajabu kweli hivi uwezi kuandika mpaka uwatishie watu ?Andika Rais anahujumiwa ,anahujumiwa kwa namna ipi
Mama Samia Mimi ni mfuasi wako ambae sitakua tayari kuona Kuna watu kwa makusudi wanapima kina Cha maji. Mama Samia hawa watu wanaku-beep kila Mara ili kuona Kama upo strong au weak, waonyeshe wewe ni nani.
Waambie wewe ni amiri jeshi mkuu na Mtu makini sana, Wala usiwaonee aibu kwa kuwa unawajua tayari. Na kawaida yao wataanza kukuchafua kwa kila aina ya maneno Ila usijali ndio kazi ya kiongozi hiyo. Kiongozi huwezi kumridhisha kila mtu, Hawa watu wanauchezea mfumo wa GePG kwa makusudi kabisa.
TRA na Sasa TANESCO lugha yao imebadilika na kuwa "system ipo down" , watu wameshindwa kununua umeme majibu ya TANESCO eti wavumilie. System kama ya TANESCO inaharibikaje kirahisi hivi? Hapo inatafutwa namna ili kurudi mfumo wa zamani Kama ilivyotokea kwa TPA eti mfumo wa electronic clearing system upo chini hivyo kutumika wa zamani.
Ni wazi hii ni hujuma na makusudi kwa kuwa haiwezekani mifumo ya taasisi nyeti Kama TRA, TPA na TANESCO yote iwe hivi kwa kipindi Cha mwezi mmoja tu. Mama Samia shusha rungu na wasikuzoee kabisa maana hawahawa wanaokukwamisha ndio watakuwa wa kwanza kusema "umeshindwa kuongoza huwezi uraisi".
Wote mnaoanza kum-beep mama Samia siku zenu zinahesabika, Tanzania sio shamba la Bibi.
asifiwe jk kwa kujenga mifumo imara.Alaumiwe magufuli kwa kuongoza nchi kama anaongoza familia yake badala ya kutengeneza mifumo imara
mitizamo hii ndio inafanya matatizo hayaishi.Wanaomhujumu Mama ni wengi chamani na serikalini ila wanaongozwa na watu wawili.
1. Kiranja Mkuu
2. Yule Kiongozi wa Mhimili mwingine.