Rais Samia usimuonee mtu aibu, mifumo ya Serikali inachezewa kwa makusudi

Rais Samia usimuonee mtu aibu, mifumo ya Serikali inachezewa kwa makusudi

Hata utawala ulitopita wapigaji walikuwepo
Upigaji kwetu ni hulka

Ova
Ukiwa mbabe unapigwa. Ndio ucheke na hawa waja? Seriously, ilianza mafuta bila mark for few days. Ikaja TRA. I hope Bandarini was a misleading information. Maara Tanesco. Manual operations lead to an exposure of revenue losses
 
Bandarin matatizo yameanza baada baada ya ku panga system yake ivyo kama anahujumiwa basi ni watu wake mana wale mlio waita mafisad Bandarin mmesha watoa pia hata TRA ni watu wake msitafute mchawi semen tu kua serikal mbovu hatuna viongozi bado mishahara Kuanza kuchezewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo magufuli alilazimisha kampuni/mashirika yote za serikali kuwatumia TTCL kwenye maswala ya mawasiliano wakati TTCL wenyewe hawajiwezi. Tatizo halijaanza leo kwenye mawasiliano ila kwa kuwa haikuruhusiwa kutoa taarifa enzi zake wengi mtaona ni jambo jipya kwa kuwa tu limewagusa wengi (watumiaji hata wa hali ya chini) Watu wanaolipa kodi TRA wameshazoe hali hii mbona.
Kwani ili la Tannesko na mengine ni umesikia kwenye chombo Gan itafika muda mtakubal tu watu wapo giza uko
 
JPM alifanikiwa kutimiza kazi zote kwa style yake, sasa mwambie huyo SSH na yeye atimize kazi kwa style yake, kama ni mipasho itafanya kazi kama kwenye kanga sawa, tunasubiri tuone hizo kazi tu...

Mambo yamewashinda wanaanza kutafuta pa kufia sasa mxieew , wanafikiri magufuli alikua anademka na kucheka na watu hovyo , miezi miwili tu nchi imeshawashinda, tukifikisha Mwaka Sijui hali itakuaje
 
JPM alifanikiwa kutimiza kazi zote kwa style yake, sasa mwambie huyo SSH na yeye atimize kazi kwa style yake, kama ni mipasho itafanya kazi kama kwenye kanga sawa, tunasubiri tuone hizo kazi tu...
Mpaka kuua watu nakuwabambikia kesi
 
Hii mifumo ya kielectronic ufaa Sana kwa wenzetu wenye package kama motisha na sio kwenye hizi nchi zenye mshahara wa mwezi ni SAwa na posho ya mbunge ya siku system zinataka uaminifu maana ni rahisi sana kuchezewa
Ni kweli. System ni rahisi kuchezewa Na ufumbuzi ni kupata watu waaminifu kweli kweli
 
Nilitaka kuonyesha kuwa hii mifumo huwa sometimes inapata changamoto..kuwa nyeti sio guarantee kuwa haitopata dosari...lakini pia sikatai kuwa inawezekana kuna wajanja wanataka kupiga hela za maintainance kwa kuchokonoa systems.
Itakuwa kama sikuzile za jk jamaa aliitwa toka Brazil kuja kufunga NATI kwenye mitambo ya Dowans ndipo umeme ukawaka nchi nzima
 
Tatizo magufuli alilazimisha kampuni/mashirika yote za serikali kuwatumia TTCL kwenye maswala ya mawasiliano wakati TTCL wenyewe hawajiwezi. Tatizo halijaanza leo kwenye mawasiliano ila kwa kuwa haikuruhusiwa kutoa taarifa enzi zake wengi mtaona ni jambo jipya kwa kuwa tu limewagusa wengi (watumiaji hata wa hali ya chini) Watu wanaolipa kodi TRA wameshazoe hali hii mbona.
Wewe ni mpumbavu sana!

Kwamba hata enzi za magufuli luku ilikuwa inasumbua hivi ila tulikuwa hatutangaziwi?
 
Usitetee uovu wewe,nchi huongozwa na sheria za nchi na siyo sheria au matakwa binafsi ya kiongozi,Magufuri kwa asilimia kubwa ameacha ugonjwa ambao kuutibu itachukua muda mrefu,labda mama Samia ajiongeze kwa kuteua Waziri mkuu mwingine ambaye falsafa zitaendana lakini akimwachia huyu mwenye falsafa ya kimagufuli,utawala wake utayumba tu apende asipende.
Kwa akili yako kubwa unafikiri hii haina sheria au mifumo ya kiuongozi?

Kwa mfano kwenye suala la luku kwa akili zako unafikiri ni kwasababu ya ubovu ya sheria ipi?
 
Back
Top Bottom