Rais Samia usimuonee mtu aibu, mifumo ya Serikali inachezewa kwa makusudi

Rais Samia usimuonee mtu aibu, mifumo ya Serikali inachezewa kwa makusudi

Acha kupotosha watu hii mifumo tunaitumia kila siku glitch za hapa na pale hazikosekani, ondokana na mawazo ya jiwe aliekua anafikiri kila kitu ni hujuma, chanjo hujama, barakoa hujuma, corona hujuma, ukiwa na hela hujuma.
Usiwe zuzu,

Tuambie ni lini tena lilitokea tatizo kama hili?

Huyo jiwe unamhusisha kila kitu hata mimba uliyonayo utasema yako
 
Kuna mtu anatengeneza mwanya wa kupiga hela!

Ova
Inawezekana tena siku nyingi. Tumeshuhudia nchi ya jirani malipo ya umeme ya kieletroniki yakitokomea "kusikojulikana" nusu tu ndio yalifika kwenye mfuko wa serikali. SSH beware of programmers naona wametangaza vita.
 
Mbona maelezo ya TANESCO yanaeleweka, au mwenzetu ni ile kndi la Sukuma gang ambalo kila tatizo mnaona kuwa limetokea kwa kuwa Jiwe limeanguka? Kutokea kwa hitilafu kwenye mfumo wa mawasiliano ni jambo la kawaida na ndio maana TANESCO wameeleza kuwa wataalam wanashughulikia
Kueleweka ni jambo moja maana hata kichaa unaweza kumwelewa tu anayozungumza...

Lakini ku - make sense kwa kinachozungumzwa ni jambo jingine kabisa...

Mathalani, haingii akilini kabisa kwa mifumo nyeti na muhimu ya malipo kama ya taasisi za TRA, TPA, TANESCO nk nk kutofanya kazi kwa siku zaidi ya tano na kisha wahusika baada ya kelele nyingi ndo wanakuja na utetezi dhaifu na wa kijinga kama huu waliotoa TANESCO...!

Kama mfumo umefeli kwa masaa mawili au matatu na wakajitetea hivi, watu wanaweza kuelewa...

Lakini kamwe siyo kwa namna hii. Mimi nakubaliana na mtazamo wa mleta hoja kuwa HII NI HUJUMA wala si kitu kingine... OVER..
 
Tatizo magufuli alilazimisha kampuni/mashirika yote za serikali kuwatumia TTCL kwenye maswala ya mawasiliano wakati TTCL wenyewe hawajiwezi. Tatizo halijaanza leo kwenye mawasiliano ila kwa kuwa haikuruhusiwa kutoa taarifa enzi zake wengi mtaona ni jambo jipya kwa kuwa tu limewagusa wengi (watumiaji hata wa hali ya chini) Watu wanaolipa kodi TRA wameshazoe hali hii mbona.
TRA tunalipa wengi si kweli
 
Wanajisahaulisha ili yaonekane ni matatizo mapya na hayakupata kuwepo enzi za mwendazake!! Wamesahau mara ngapi system zilikuwa "down" misongamano TRA mpaka wakawa wanafanya kazi mpaka usiku na ni marufuku kupiga picha au kusema kama kuna shida...
Wameshasahau...
 
Mbona maelezo ya TANESCO yanaeleweka, au mwenzetu ni ile kndi la Sukuma gang ambalo kila tatizo mnaona kuwa limetokea kwa kuwa Jiwe limeanguka? Kutokea kwa hitilafu kwenye mfumo wa mawasiliano ni jambo la kawaida na ndio maana TANESCO wameeleza kuwa wataalam wanashughulikia tatizo
Kwahiyo wanafanya hii kazi bila backup... Ni uzembe mkubwa sana kawaida kunapotokea kufail kwa system kama hii lazima wawe na backup ambayo wanaamsha immediately. Sasa ni siku tunaelekea ya nne huduma imezorota kabisa. Poor Tanzania [emoji1241]
 
Ni kweli. System ni rahisi kuchezewa Na ufumbuzi ni kupata watu waaminifu kweli kweli
Mbele ya njaa uaminifu unatokea wapi.
Waingereza walipozileta hizi system walishauri watumishi wapewe package Ili kupunguza au kuondoa tamaa.Lkn roho ya mswahili waijua
 
Wanaomhujumu Mama ni wengi chamani na serikalini ila wanaongozwa na watu wawili.
1. Kiranja Mkuu
2. Yule Kiongozi wa Mhimili mwingine.
ACHA UCHONGANISHI,UNATAKA KUGONGANISHA MAMLAKA WEWE...!
*ULE MTAMBO WA KUSIKILIZA SIMU ZA WATU BADO UPO?
MTAMBO ULE ULIMSAIDIA IDD AMIN KUJUA MAADUI ZAKE....!
 
Mama anatakiwa afanye kama Meko..meko alifukuza watu wa JK wote.
yeye muach ewatammaliza kabisa hawa kenge hawana dogo wana roho mbaya kama meko
Mkuu acheni kupotosha umma, andikeni mambo yanayo eleweka, mbona mnaandika ujinga mnawadanganya watanzania. Acheni kudanganya andikeni point zinazoeleweka.
 
Mama Samia Mimi ni mfuasi wako ambae sitakua tayari kuona Kuna watu kwa makusudi wanapima kina Cha maji. Mama Samia hawa watu wanaku-beep kila Mara ili kuona Kama upo strong au weak, waonyeshe wewe ni nani.

Waambie wewe ni amiri jeshi mkuu na Mtu makini sana, Wala usiwaonee aibu kwa kuwa unawajua tayari. Na kawaida yao wataanza kukuchafua kwa kila aina ya maneno Ila usijali ndio kazi ya kiongozi hiyo. Kiongozi huwezi kumridhisha kila mtu, Hawa watu wanauchezea mfumo wa GePG kwa makusudi kabisa.

TRA na Sasa TANESCO lugha yao imebadilika na kuwa "system ipo down" , watu wameshindwa kununua umeme majibu ya TANESCO eti wavumilie. System kama ya TANESCO inaharibikaje kirahisi hivi? Hapo inatafutwa namna ili kurudi mfumo wa zamani Kama ilivyotokea kwa TPA eti mfumo wa electronic clearing system upo chini hivyo kutumika wa zamani.

Ni wazi hii ni hujuma na makusudi kwa kuwa haiwezekani mifumo ya taasisi nyeti Kama TRA, TPA na TANESCO yote iwe hivi kwa kipindi Cha mwezi mmoja tu. Mama Samia shusha rungu na wasikuzoee kabisa maana hawahawa wanaokukwamisha ndio watakuwa wa kwanza kusema "umeshindwa kuongoza huwezi uraisi".

Wote mnaoanza kum-beep mama Samia siku zenu zinahesabika, Tanzania sio shamba la Bibi.
Asicheke na KIMA wala kumwangalia mtu usoni. Apige chini wale wote wanaomkwaza. Hili tatizo sio jambo dogo maana linaikosesha serikali mapato na kudhoofisha shirika. Binafsi nimenunua umeme kwa MPesa mida ya saa tisa usiku halafu saa hii bado kuna wengine inasumbua. Hakuna cha system kuzidiwa ni blah blah za kuhalalisha kinachoendelea.
She has to be tough and I mean extreemely tougher kwa wanaotaka kukwamisha mambo au kuhujumu.
 
Mama Samia Mimi ni mfuasi wako ambae sitakua tayari kuona Kuna watu kwa makusudi wanapima kina Cha maji. Mama Samia hawa watu wanaku-beep kila Mara ili kuona Kama upo strong au weak, waonyeshe wewe ni nani.

Waambie wewe ni amiri jeshi mkuu na Mtu makini sana, Wala usiwaonee aibu kwa kuwa unawajua tayari. Na kawaida yao wataanza kukuchafua kwa kila aina ya maneno Ila usijali ndio kazi ya kiongozi hiyo. Kiongozi huwezi kumridhisha kila mtu, Hawa watu wanauchezea mfumo wa GePG kwa makusudi kabisa.

TRA na Sasa TANESCO lugha yao imebadilika na kuwa "system ipo down" , watu wameshindwa kununua umeme majibu ya TANESCO eti wavumilie. System kama ya TANESCO inaharibikaje kirahisi hivi? Hapo inatafutwa namna ili kurudi mfumo wa zamani Kama ilivyotokea kwa TPA eti mfumo wa electronic clearing system upo chini hivyo kutumika wa zamani.

Ni wazi hii ni hujuma na makusudi kwa kuwa haiwezekani mifumo ya taasisi nyeti Kama TRA, TPA na TANESCO yote iwe hivi kwa kipindi Cha mwezi mmoja tu. Mama Samia shusha rungu na wasikuzoee kabisa maana hawahawa wanaokukwamisha ndio watakuwa wa kwanza kusema "umeshindwa kuongoza huwezi uraisi".

Wote mnaoanza kum-beep mama Samia siku zenu zinahesabika, Tanzania sio shamba la Bibi.
Ukweli inauma sana maana sasa hivi kila kitu kinachotumia mifumo sasa hivi huduma ni kama zimesimama.Watumishi wakitaka kwenda kutafuta mikopo Benki sasa hivi huduma hakuna kisa Maafisa utumishi wanashindwa kuingiza makato kwasababu ya Mfumo wa mishahara haufanyi kazi wiki zaidi ya mbili sasa.Watu wanamatatizo lakini huduma hakuna,jamani hii siyo haki kabisa
 
Mbona maelezo ya TANESCO yanaeleweka, au mwenzetu ni ile kndi la Sukuma gang ambalo kila tatizo mnaona kuwa limetokea kwa kuwa Jiwe limeanguka? Kutokea kwa hitilafu kwenye mfumo wa mawasiliano ni jambo la kawaida na ndio maana TANESCO wameeleza kuwa wataalam wanashughulikia tatizo
Wewe upo Dunia ya wapi. Wakati wa JPM uliwahi hata siku moja kunajitokeza ujinga kama huu?
Hata leo hii angekuwepo JPM unafikiri kuna mtu angethubutu kuleta ujinga kama huu.
Sifa kubwa ya kiongozi ni kwamba, ukisema jambo ni lazima watu wasikie na wafuate. Kinyume na hapo uongozi wako ni wa mashaka. Kwa sababu,leo utakemea hili kesho linaletwa jingine jipya.
 
Sina umeme toka Jana umeisha...Niko gizani hawa watu wajinga Sanaa..maza anazingua Sanaaa!!daah
Si tulikubaliana kwamba sasa furaha imerudi nchini baada kuondoka Jiwe,sasa mbona bado mnalalamika lalamika?
 
Wewe upo Dunia ya wapi. Wakati wa JPM uliwahi hata siku moja kunajitokeza ujinga kama huu?
Hata leo hii angekuwepo JPM unafikiri kuna mtu angethubutu kuleta ujinga kama huu.
Sifa kubwa ya kiongozi ni kwamba, ukisema jambo ni lazima watu wasikie na wafuate. Kinyume na hapo uongozi wako ni wa mashaka. Kwa sababu,leo utakemea hili kesho linaletwa jingine jipya.

I agree with you , magu alikua na mapungufu yake ila ki ukweli uongozi wake ulikua wa aina yake, watu walikua na adabu na utii, uzembe ulikua hamna kabisa, hakika tumepoteza kiongozi Makini kabisa kuwahi kutokea... Mungu amuongoze Mama samia atleast aige yale mema ya mwendazake, magu alikua ni kiongozi wa aina yake
 
Back
Top Bottom