warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,213
- 18,471
Kwani yeye Magufuli aliikuta hiyo mifumo imara? mwambieni mama aunde hiyo mifumo imara.
Si ameshaanza kuteua anaoona wanafaa kwenye uongozi wake, Tupo hapa tutaona huo uongozi mpya
Kwani yeye Magufuli aliikuta hiyo mifumo imara? mwambieni mama aunde hiyo mifumo imara.
Usipaniki.Mkuu acheni kupotosha umma, andikeni mambo yanayo eleweka, mbona mnaandika ujinga mnawadanganya watanzania. Acheni kudanganya andikeni point zinazoeleweka.
Mama Samia anapaswa kujua kwamba, mifumo ya TEHAMA imechezewa makusudi ili upigaji uanze kama ilivyokuwa kabla Hayati Magufuli kuingia madarakani. Ilifikia wakati ukinunua umeme wa elfu kumi unapata tokeni ya thamani ya hiyo pesa lakini kinachokwenda Tanesco ni elfu NNE na zingine elfu SITA zinakwenda mifukoni mwa wajanja. Wameharibu mfumo ili wakorokochoe kuuweka ule wa kwao wa upigaji
Mama Samia Mimi ni mfuasi wako ambae sitakua tayari kuona Kuna watu kwa makusudi wanapima kina Cha maji. Mama Samia hawa watu wanaku-beep kila Mara ili kuona Kama upo strong au weak, waonyeshe wewe ni nani.
Waambie wewe ni amiri jeshi mkuu na Mtu makini sana, Wala usiwaonee aibu kwa kuwa unawajua tayari. Na kawaida yao wataanza kukuchafua kwa kila aina ya maneno Ila usijali ndio kazi ya kiongozi hiyo. Kiongozi huwezi kumridhisha kila mtu, Hawa watu wanauchezea mfumo wa GePG kwa makusudi kabisa.
TRA na Sasa TANESCO lugha yao imebadilika na kuwa "system ipo down" , watu wameshindwa kununua umeme majibu ya TANESCO eti wavumilie. System kama ya TANESCO inaharibikaje kirahisi hivi? Hapo inatafutwa namna ili kurudi mfumo wa zamani Kama ilivyotokea kwa TPA eti mfumo wa electronic clearing system upo chini hivyo kutumika wa zamani.
Ni wazi hii ni hujuma na makusudi kwa kuwa haiwezekani mifumo ya taasisi nyeti Kama TRA, TPA na TANESCO yote iwe hivi kwa kipindi Cha mwezi mmoja tu. Mama Samia shusha rungu na wasikuzoee kabisa maana hawahawa wanaokukwamisha ndio watakuwa wa kwanza kusema "umeshindwa kuongoza huwezi uraisi".
Wote mnaoanza kum-beep mama Samia siku zenu zinahesabika, Tanzania sio shamba la Bibi.
Ya trueNilitaka kuonyesha kuwa hii mifumo huwa sometimes inapata changamoto..kuwa nyeti sio guarantee kuwa haitopata dosari...lakini pia sikatai kuwa inawezekana kuna wajanja wanataka kupiga hela za maintainance kwa kuchokonoa systems.
Ww unaeleweka, unataka kitu gani. Pesa ziwe nyingi au chacheWatu hawaeleweki kabisa wakati wa JPM mlisema amebana pesa sasa watu wanataka kuleta mzunguko wa pesa mitaani mnaanza kulalamika tena?! Madhara ya kutaka pesa zirejee mitaani ndiyo hayo sasa.
Umeongea point sana mkuuMbele ya njaa uaminifu unatokea wapi.
Waingereza walipozileta hizi system walishauri watumishi wapewe package Ili kupunguza au kuondoa tamaa.Lkn roho ya mswahili waijua
Tayari Kigamboni zimeanza kugoma.. SSH anahujumiwa kutokea nje ya mawaziri wake??Bado daladala kuanza kugoma, kafanana na JK kila kitu kasoro jinsia tu.
Nani alimchagua Mama? Kwanini awafukuze waliohangaika na Mwendazake kutafuta kura za ushindi??Mama anatakiwa afanye kama Meko..meko alifukuza watu wa JK wote.
yeye muach ewatammaliza kabisa hawa kenge hawana dogo wana roho mbaya kama meko
Hakuna wakulaumiwa pekee. Kila upande una madhaifu yake. Tulaumu kwa makosa mahususi.Alaumiwe Magufuli kwa kuongoza nchi kama anaongoza familia yake badala ya kutengeneza mifumo imara
Ila Tanesco nao hawako 'serious' wanatoa Tangazo baada ya watu kupiga kelele Bungeni 'poor decision making', there are taking customers for granted. Kwenye hili tumejifunza kwamba tuwe na makampuni mengi ya kuzalisha umeme kwaajili ya upinzaniMbona maelezo ya TANESCO yanaeleweka, au mwenzetu ni ile kndi la Sukuma gang ambalo kila tatizo mnaona kuwa limetokea kwa kuwa Jiwe limeanguka? Kutokea kwa hitilafu kwenye mfumo wa mawasiliano ni jambo la kawaida na ndio maana TANESCO wameeleza kuwa wataalam wanashughulikia tatizo
Watu bado wanaogopa kivuli cha mwenda zake, mambo k ama hayo hayakutakiwakuongelewa kipindi hichoIla Tanesco nao hawako 'serious' wanatoa Tangazo baada ya watu kupiga kelele Bungeni 'poor decision making', there are taking customers for granted. Kwenye hili tumejifunza kwamba tuwe na makampuni mengi ya kuzalisha umeme kwaajili ya upinzani
Hana huo ubavu, magu ndo alikua kila kitu bhana, Mama anademka tu na kiremba chake kama kiroba cha bangi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ACHA UCHONGANISHI,UNATAKA KUGONGANISHA MAMLAKA WEWE...!
*ULE MTAMBO WA KUSIKILIZA SIMU ZA WATU BADO UPO?
MTAMBO ULE ULIMSAIDIA IDD AMIN KUJUA MAADUI ZAKE....!
Titarajie mabadiliko makubwa hasa kwenye Baraza la Mawaziri baada ya Bunge la Bajeti kumalizika.Si awabwage tu,watu wawili kitu gani
Kama ww umeona ni ramli chonganishi tujipe muda. Baada ya Bunge la Bajeti kumalizika kila kitu kitakuwa wazi.mitizamo hii ndio inafanya matatizo hayaishi.
badala ya kudeal na tatizo kama lilivyo mnaanza ramli.
JPM alifanikiwa kutimiza kazi zote kwa style yake, sasa mwambie huyo SSH na yeye atimize kazi kwa style yake, kama ni mipasho itafanya kazi kama kwenye kanga sawa, tunasubiri tuone hizo kazi tu...