Rais Samia usimuonee mtu aibu, mifumo ya Serikali inachezewa kwa makusudi

Tukisema CCM ni genge mnabisha mnakua wakali balaa
CCM mwendazake imeanza kufikiri inaweza kumkwambisha mwenyekiti wao wa chama siyo!! Tutampa support zetu zote - aliyotufanyia mwendazake hanatosha - hakuwa na hata chembe moja ya ubinadamu bwana yule!!

Mama kanyaga twende - jumba bado lina mi-mende kibao na mi-papasi,, usafi uendelee.!! Katiba inakuruhusu nyoa nywele wote kimbelembele
 
KWA MSIO MJUA RAIS SAMIA NI MKALI KULIKO HATA MAGUFULI ISPOKUWA YEYE APPLICATION YAKE SILENCE AND SCORE,ALSO ITS TOO EARL TO JUDGE.PIA KUMBUKENI HATA MWENDA ZAKE PALE AWALI NDANI YA MIEZI MITATU KATIKA KUIMASTA HIYO NAFASI ALIKUWA ANAFYAGIA MARA KUFANYA USAFI AND SO SO SO.
 

Magufuli alivyoingia tu madarakani alikua moto hadi mauti inamfika, hakuwahi kuyazoea madaraka, hajawahi ku relax , Tatizo Mama ameanza ku relax mapema mno Ndio maana watu wameanza kulega lega
 

Magu hakuwah kupunguza makali yake hadi umauti unamfika, alikua mtu wa kazi na alikua msharp sana
 
Kuna mtu anatengeneza mwanya wa kupiga hela!

Ova
Au kuna mtu anatengenezewa zengwe atimuliwe? Kwanini PM aongeze adhabu kwa wanaoshukiwa kufanya uzembe pale TANESCO! Anajaribu kumuokoa kwa kuzipa pengo alilofanya Mhe. Kalemani?
 
Inawezekana tena siku nyingi. Tumeshuhudia nchi ya jirani malipo ya umeme ya kieletroniki yakitokomea "kusikojulikana" nusu tu ndio yalifika kwenye mfuko wa serikali. SSH beware of programmers naona wametangaza vita.
Nchi gani mkuu
 
Wale wateuliwa wa Mwendazake wanataka nchi isitawalike?
 
Magu hakuwah kupunguza makali yake hadi umauti unamfika, alikua mtu wa kazi na alikua msharp sana
**Acha kudanganya,alitumia karibu miezi sita,(Katika kazi yoyote kwanza lazima uisome kwa kina baadae ndio uanzishe reactions) yaelekea hujawahi kuajiriwa wewe!
 
Nchi gani mkuu
Detectives are investigating claims that some Kenya Power employees infiltrated the company’s billing system to embezzle Sh1 billion.

On the spotlight is the pre-paid token generation and the post-paid bill, which the tech-savvy employees are said to have manipulated to divert the State Corporation’s revenue into their own pockets.

The employees are said to have connived to generate extra tokens or create loopholes that facilitated the sale of genuine tokens in the black market.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…