Rais Samia usipangue Wakurugenzi wa Halmashauri, ile ni nafasi ya utumishi wa umma

Mimi siyo Hudson Kamoga yule aliyekuwa mtangazaji wa Clouds akateuliwa kuwa DED Hanang. Bali ni Mtanzania ninayetaka Rais asahihishe mambo ambayo Mwendazake alikuwa anafanya kwa msukumo wa hisia binafsi
So unaposema Kamoga hastahili wale walioteuliwa juzi na Samia ni wazuri sana?. Unafiki tu wa kuona kila alichofanya Magufuli ni kibaya na Anachofanya Samia ni kizuri.
 
Naonga mkono hoja ila tunapaswa kwenda mbali zaidi na kutangaza nafasi za ukurugenzi wa halmashauri zote nchini kwani sii nafasi za kisiasa ni nafasi za utendaji zaidi. Let us not politisize everything.
 
Nafikiri Rais atusaidie kuondoa Wakurugenzi makada wa chama ili aanzishe mfumo wa kutangaza nafasi hizi kwa uwazi na kuapishwa na Waziri au yeye mwenyewe. Hizi ni nafasi za kiutendaji zahitaji skills sio porojo za kisiasa.
 
So unaposema Kamoga hastahili wale walioteuliwa juzi na Samia ni wazuri sana?. Unafiki tu wa kuona kila alichofanya Magufuli ni kibaya na Anachofanya Samia ni kizuri.
Vya Magufuli ni vibaya na vya kishetani ndiyo maana amekufa!! Mungu alichukizwa na namna alivyotenda
 

Mh.Rais Samia Suluhu Hassan
Nakusalimu kwa jina la Jamhuribya Muungano wa Tanzania....
Kazi Iendelee
Naomba Chonde chonde Badilisha hata Nusu ya Wakurugenzi...
Watumishi wa Umma wako wengi Mnooo
Huko Wizarani,Taasisi za Serikali!
Usiache watu wa sehemu moja ndio washike Hatamu Ufanisi utapungua na Kufanya Kwa Mazoea...
Badilisha Toa huyu huku Peleka hiyu Kule...Taasisi nyingi za Serikali kuna Vichwa Vizuri tuu!
Usikubali Kukaa na watu sehemu moja Kwa Miaka 5,Wabadilishe ikiwezekana wengine wapumzike....
Taasyza Umma zimejaa Watu weledi na wenye uwezo.
Nakutakia Kazi Njema.
Serikali ni Yetu Sote Watumishi wa Umma[emoji3][emoji3]
Sijui Nifungue na Uzi kabisa[emoji851][emoji851]
 

Cc
raisi Samia suluhu Hassan hii point imetulia[emoji3516][emoji122][emoji1666][emoji1666]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…