Rais Samia usipoangalia mambo mengi ktk Serikali yako kwa jicho la tatu njia itakuwa na miiba mingi sana...

Kazi bado ningumu 😭
 
Mh Rais wala usiwe mkali kubali matokeo ya 4F zako. Tena kwa ustadi mkubwa ukaivuta ile ofisi ya siri iwe ina report direct kwako yaani nadhani huu uzi waweza kuwa kumbukumbu....

Ulipo watoa Mashekh kwa imani uliziamini basi utulie tu hii kitu haina dini wala kabila utarudi kufanya maombi kwa Hayati Magufuli. Moto ni mkali kiasi utatamani ofisi iwe handaki taifa la wana kusadikika ni moto sana Mungu azilaze roho za Mababa wa Taifa la Tz.

Ushauri usikitamani kiti maana miaka mitano ukiongeza ndio utasema dunia shuka mja nishuke. Kiufupi ukifanya chura kiziwi utajikuta mwenyewe kwenye zulia la wana kusadikika na mitano tena yao yakinafiki...
Tafakari....
 
Kwamba masheikh....πŸ€”
 
Hii thread ni ya 2023 ikiona vya 2024. Ngoja niingie chuma cha kusali
 
Hiyo inaitwa kugonga kwenye msumari "hammering on the nail"mimi pia ni kipaji cha kujua kitacho tokea kesho naanza na hili ili muniamini kama kuna jambo linakusumbua jilaze kitandani ulifikirilia hilo jambo unapata jibu ndani ya dk 10
 

Zaburi 109​

Lalamiko la mtu taabuni
(Kwa Mwimbishaji. Wimbo wa Daudi)
1Usinyamaze, ee Mungu ninayekusifu!
2Watu waovu na wadanganyifu wanishambulia,
wanasema uongo dhidi yangu.
3Wanasema maovu juu yangu,
na kunishambulia bila kisa.
4Ingawa niliwapenda, walinishtaki,
hata hivyo niliwaombea dua.
5Wananilipa uovu kwa wema wangu,
na chuki kwa mapendo yangu.
6Umweke hakimu mbaya dhidi ya adui yangu;
na mshtaki wake ampeleke mahakamani.
7Anapohukumiwa apatikane na hatia;
lalamiko lake lihesabiwe kuwa kosa jingine.
8 Siku za maisha yake ziwe chache,
mtu mwingine na achukue kazi yake!
9Watoto wake wawe yatima,
na mke wake awe mjane!
10Watoto wake watangetange na kuombaomba;
wafukuzwe katika magofu ya nyumba zao!
11Anayemdai kitu amnyanganye mali yake yote;
na wageni wanyakue mapato ya jasho lake!
12Pasiwe na mtu wa kumwonea huruma,
au Kuwatunza watoto wake yatima!
13Wazawa wake wote wafe;
jina lake lisahauliwe katika kizazi kijacho!
14Mwenyezi-Mungu aukumbuke uovu wa wazee wake,
dhambi za mama yake zisifutwe kamwe!
15Mwenyezi-Mungu azikumbuke dhambi zao daima;
lakini wao wenyewe wasahauliwe duniani.
 
I see tomorrow
 
Sijui nani alimshauri Raisi kumteua Mkwe wake kusimamia uchaguzi serikali za mitaa. Unajiuliza kama vetting inafanyika,na inazingatiwa. Ningekuwa Raisi, halafu watu wa vetting wakanishauri niteuwe mkwe wangu, ningewafuta kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…