Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama Abdul ameshaamua liwalo na liwe yeye macho yake ni 2025 nchi irudi kwenye chama kimoja ataanzia pale alipoishia yule mwovu wa chatoNi uonevu mtupu unaoendelea kwenye kesi ya Mwabukusi ya uwakili wake.
Wanakujengea sifa ya utawala mbaya kwenye legacy ya urais wako.
Tafakari matendo ya wateule wako!
Hivi Mwabukusi ashawaomba kina Mbowe msamaha kweli kutokana na maneno yake ya shombo kwao?Ni uonevu mtupu unaoendelea kwenye kesi ya Mwabukusi ya uwakili wake.
Wanakujengea sifa ya utawala mbaya kwenye legacy ya urais wako.
Tafakari matendo ya wateule wako!
TOA MFANO WA TUSITatizo alikuwa anakosoa kwa matusi na yeye alizidi mipaka jamani
Acheni kujifanya wajinga haya matukio ameyaruhusu acheni kuzunguka kama mnamtongoza binti fulani hivi.Ni uonevu mtupu unaoendelea kwenye kesi ya Mwabukusi ya uwakili wake.
Wanakujengea sifa ya utawala mbaya kwenye legacy ya urais wako.
Tafakari matendo ya wateule wako!
Mambo ya siasa za Kenya hazituhusu watanzania, sisi tuna taratibu zetu za kimaamuzi na kisheria, kutulinganisha na Kenya ni ujinga kabisa, yaani tuwaige wao wakati sisi tuna akili zetu kamili.Mawakili kule Kenya wanatucheka sana
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Rangi mbili haijawahi kuwa rangi moja.Ni uonevu mtupu unaoendelea kwenye kesi ya Mwabukusi ya uwakili wake.
Wanakujengea sifa ya utawala mbaya kwenye legacy ya urais wako.
Tafakari matendo ya wateule wako!
Wacha ajitetee. Si amepewa natural justice? After all aliishasema Jana shida na uwakili. Atafanya kazi ya kulima. Sasa kulialia kwanini humu?Ni uonevu mtupu unaoendelea kwenye kesi ya Mwabukusi ya uwakili wake.
Wanakujengea sifa ya utawala mbaya kwenye legacy ya urais wako.
Tafakari matendo ya wateule wako!
MAKE IT CLEAR, NANI AMEYARUHUSU? SAMIA?Acheni kujifanya wajinga haya matukio ameyaruhusu acheni kuzunguka kama mnamtongoza binti fulani hivi.
It's obvious au wewe ni mgeni wa nchi hii?MAKE IT CLEAR, NANI AMEYARUHUSU? SAMIA?
I AM A SENIOR CITIZEN OF THIS COUNTRY, RESIDENT HERE ALL THE TIME EXCEPT ON CERTAIN INSTANCES OF IN/OUT OF THE COUNTRY FOR SHORT PERIODS!It's obvious au wewe ni mgeni wa nchi hii?
Mkuu unajisimbua tu. Haya yanayoendelea yana baraka zote za Maza ..... !!Ni uonevu mtupu unaoendelea kwenye kesi ya Mwabukusi ya uwakili wake.
Wanakujengea sifa ya utawala mbaya kwenye legacy ya urais wako.
Tafakari matendo ya wateule wako!
NaamKwa mujibu wa Wakili Alphonce Lusako ambaye ni miongoni mwa wanajopo hilo la kumtetea Wakili Mwabukusi kilichowasukuma wao kuamua kumtetea wakili huyo ni kutaka kupambana na njama za kukandamiza mawakili wanaoikosoa serikali.