Rais Samia usiruhusu haya ya Mwabukusi na kesi ya kubumba ya uwakili, sifa mbaya yote inabebwa na wewe na si Jaji Feleshi wala Jaji Ntemi

Rais Samia usiruhusu haya ya Mwabukusi na kesi ya kubumba ya uwakili, sifa mbaya yote inabebwa na wewe na si Jaji Feleshi wala Jaji Ntemi

Ni uonevu mtupu unaoendelea kwenye kesi ya Mwabukusi ya uwakili wake.
Wanakujengea sifa ya utawala mbaya kwenye legacy ya urais wako.
Tafakari matendo ya wateule wako!
Mama Abdul ameshaamua liwalo na liwe yeye macho yake ni 2025 nchi irudi kwenye chama kimoja ataanzia pale alipoishia yule mwovu wa chato
 
Ni uonevu mtupu unaoendelea kwenye kesi ya Mwabukusi ya uwakili wake.
Wanakujengea sifa ya utawala mbaya kwenye legacy ya urais wako.
Tafakari matendo ya wateule wako!
Hivi Mwabukusi ashawaomba kina Mbowe msamaha kweli kutokana na maneno yake ya shombo kwao?

Au bado anaamini kuwa wapinzani ni miongoni mwa watu wabaya zaidi hata ya wana CCM?
 
Attachments

  • Screenshot_20231121-065159.png
    Screenshot_20231121-065159.png
    70.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20231121-065215.png
    Screenshot_20231121-065215.png
    52.6 KB · Views: 4
Mwanasiasa akitetea haki ujue ina mipaka, hiyo haki yako haitakiwi kuzidi na kumgusa yeye, ikitokea ikamgusa, haisi haki tena, ni kumkosea heshima hapo ujiandae kwa adhabu.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Tatizo alikuwa anakosoa kwa matusi na yeye alizidi mipaka jamani
 
Ni uonevu mtupu unaoendelea kwenye kesi ya Mwabukusi ya uwakili wake.
Wanakujengea sifa ya utawala mbaya kwenye legacy ya urais wako.
Tafakari matendo ya wateule wako!
Acheni kujifanya wajinga haya matukio ameyaruhusu acheni kuzunguka kama mnamtongoza binti fulani hivi.
 
Ni uonevu mtupu unaoendelea kwenye kesi ya Mwabukusi ya uwakili wake.
Wanakujengea sifa ya utawala mbaya kwenye legacy ya urais wako.
Tafakari matendo ya wateule wako!
Rangi mbili haijawahi kuwa rangi moja.

Anapambania ugali 2025. Kuuza nchi huku Katiba ikikulinda ina raha yake😀
 
Ni uonevu mtupu unaoendelea kwenye kesi ya Mwabukusi ya uwakili wake.
Wanakujengea sifa ya utawala mbaya kwenye legacy ya urais wako.
Tafakari matendo ya wateule wako!
Wacha ajitetee. Si amepewa natural justice? After all aliishasema Jana shida na uwakili. Atafanya kazi ya kulima. Sasa kulialia kwanini humu?
 
Mngejua lengo sio mwabukusi msingechekelea upumbavu wanaofanyiwa manasheria na mawakili nchini

Ondoeni jicho kwa mwabukusi
 
It's obvious au wewe ni mgeni wa nchi hii?
I AM A SENIOR CITIZEN OF THIS COUNTRY, RESIDENT HERE ALL THE TIME EXCEPT ON CERTAIN INSTANCES OF IN/OUT OF THE COUNTRY FOR SHORT PERIODS!

all in all I do agree with you that POURT is behind all this
 
Ni uonevu mtupu unaoendelea kwenye kesi ya Mwabukusi ya uwakili wake.
Wanakujengea sifa ya utawala mbaya kwenye legacy ya urais wako.
Tafakari matendo ya wateule wako!
Mkuu unajisimbua tu. Haya yanayoendelea yana baraka zote za Maza ..... !!
 
Huu upuuzi wa kuminya haki ndiyo unachochea kuibuka vikundi vya kigaidi kama Hamas. Watawala wameshajimilikisha haki za raia,polisi,mahakama ,TISS na NEC ni mali yao. Itafika wakati kwa vile njia za kupata haki zimehodhiwa na wa watawala watu watakata tamaa na kuamua kujichukulia sheria mikononi mwao. Ogopa sana mtu aliyekata tamaa,anaweza kufanya lolote kwa vile anajiona hana cha kupoteza tena. CCM jiangalieni hii nchi mtakuja kuitia kiberiti kwa uchu wenu wa kutaka kutawala milele
 
Kwa mujibu wa Wakili Alphonce Lusako ambaye ni miongoni mwa wanajopo hilo la kumtetea Wakili Mwabukusi kilichowasukuma wao kuamua kumtetea wakili huyo ni kutaka kupambana na njama za kukandamiza mawakili wanaoikosoa serikali.
Naam
 
Back
Top Bottom