R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Nov 21, 2023 Thread starter #21 The Khoisan said: Mkuu unajisimbua tu. Haya yanayoendelea yana baraka zote za Maza ..... !! Click to expand... kweli kabisa kabisa
The Khoisan said: Mkuu unajisimbua tu. Haya yanayoendelea yana baraka zote za Maza ..... !! Click to expand... kweli kabisa kabisa
J Jorojik JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 6,512 Reaction score 7,912 Nov 21, 2023 #22 Crocodiletooth said: Mambo ya siasa za Kenya hazituhusu watanzania, sisi tuna taratibu zetu za kimaamuzi na kisheria, kutulinganisha na Kenya ni ujinga kabisa, yaani tuwaige wao wakati sisi tuna akili zetu kamili. Click to expand... Wewe una akili gani kwa mfano?
Crocodiletooth said: Mambo ya siasa za Kenya hazituhusu watanzania, sisi tuna taratibu zetu za kimaamuzi na kisheria, kutulinganisha na Kenya ni ujinga kabisa, yaani tuwaige wao wakati sisi tuna akili zetu kamili. Click to expand... Wewe una akili gani kwa mfano?
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 20,189 Reaction score 29,663 Nov 21, 2023 #23 Ameruhusu mwenyewe mpaka tufike 2025, tutaona mengi Sana.