- Thread starter
- #21
kweli kabisa kabisaMkuu unajisimbua tu. Haya yanayoendelea yana baraka zote za Maza ..... !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli kabisa kabisaMkuu unajisimbua tu. Haya yanayoendelea yana baraka zote za Maza ..... !!
Wewe una akili gani kwa mfano?Mambo ya siasa za Kenya hazituhusu watanzania, sisi tuna taratibu zetu za kimaamuzi na kisheria, kutulinganisha na Kenya ni ujinga kabisa, yaani tuwaige wao wakati sisi tuna akili zetu kamili.