Rais Samia, Usiruhusu wakugombanishe na umma

Mkuu unakumbuka tume ya nyalali na zile 40 draconian law
Pia kuna constitutional case kibao zimefunguliwa
ie Mtikila's case on private candidate
Mwalimu Paul John Mhozyaa
Walau Mtikila alikuwa na hoja kutaka kuona aspects ya private candidate itambulike kitu ambacho hakipo kwenye katiba.

Na hata wazanzibar wana hoja kwa muundo wa serikali tatu be it wakifanikiwa muungano ndio bye bye.

Lakini hawa wengine ni fujo tu katiba mpya kila siku wanataka nini hawaeleweki. Watakwambia tume huru sasa hilo ni swala la katiba au muundo wake ubadilike pale wanapodhani kuna shida.
 
Yaani akili ya wanasiasa ilivyo:

Yaani haijalishi,

  • Umepandishwa daraja
  • Umefutiwa VRF
  • Umepata ajira
  • Umefutiwa mashtaka ya uonevu n.k

Wao watakulazimisha umchukie Rais Samia na kuona hakuna kitu cha maana kwasababu wao mahitaji yao ya Tume huru, Bunge Live na Katiba Mpya hawajapewa.

Sasa hivi kila mtu akomae na matatizo yake.

Kama ambavyo hamkumtetea mfanyakazi alipokuwa anasulubika na VRF na madaraja wala hamfurahia yeye kufanikiwa sasa, hivyo hivyo kila mtu apambane kivyake.
 
Tanzania tunakosa vision na misheni
Hatujui tunataka nni
1.substantive na procedural law zote ni shida tuu
 
CCM wameshaona faida ya kuzuia mikutano na kupora uchaguzi. Ni ngumu sana kwenye demokrasia ya awali. Ndiyo kuonja nyama ya mtu huko.

Wahuni wote huwa hivyo, wanakupora kitu kimoja kimoja.
 
Kimsingi jana tulitaraji utengue AMRI YA KIRAIS iliyotolewa na utawala uliopita kuhusu kusitisha shughuli za kisiasa (za wapinzani).

Na Yericko Nyerere
Mkuu Yericko Nyerere , kwanza naunga mkono hoja, tangazo lile la kusitisha shughuli za kisiasa ni kauli tuu ya rais, personal na sio amri ya kirais. Amri ya kirais inaitwa Decree, hutolewa kwa maandishi, ikiambatana na vifungu vya sheria vinavyompa rais mamlaka hiyo!. Tangazo lile halikufuatiwa na a decree na halina kifungu cha mamlaka!.


Tangazo lile halina nguvu yoyote ya kisheria, na sisi Tanzania, tulivyo upinzani dhaifu ambao haujui wajibu wake zaidi ya kupiga tuu kelele.
Kwenye hili la kuzuiwa mikutano, sio tuu nimeandika sana humu, bali nimemuuliza mhusika,
Na kuwauliza Wapinzani infront of their faces!.

P.
 
Tanzania tunakosa vision na misheni
Hatujui tunataka nni
1.substantive na procedural law zote ni shida tuu
Provided the laws in question zao lake ni katiba then challenge the aspects which permits such laws.

Issue ya hawa jamaa sio existing laws kama ni ivyo zipo nyingi sana which are not favourable to an ordinary Tanzanian especially when it comes to equality.

Wao wanachotaka ni kuona mchakato wa katiba tu; iweje katiba yenyewe they don’t the answers to that.

Uamini waulize.
 
Si nyinyi nyote mlitoa misifa eti mnamkomoa yule shuja wa dunia nzima ambae kwa sasa yuko mbinguni
 
Nakushukuru sana mkuu Pascal Mayalla kwakutukumbusha...

Nikukumbushe kwamba Sisi kama Chadema tulipinga hili kwa nguvu zote kwa matamko, kwa vitendo na kwakufungua kesi mahakamani. Kote huko chini ya utawala ule dharimu tulikwama, tuliishia jela na kuumizwa.

Mwenyekiti wetu Mh Freeman Mbowe na viongozi washarika walifungua kesi Mahakama Kuuu kupinga zuio hili na sheria ya vyama vya siasa toleo la 2019. Lakini mahakama zote kama ujuavyo ziliweka makazi Chato, hakuna kilichobadilika zaidi ya amri ile kutiwa mkazo na vyombo vya dola.
 
Kumsifu Rais kwa mazuri anayoatenda hakutufungi tusimkosoe pale tunapoona anakosea.

Toka huko gizani ndugu....
 
Chinembe
 
Wanasiasa wanadai haki zao,

Wakulima, wafugaji na wafanyakazi hawana mtetezi.
 
Nakushukuru sana mkuu Pascal Mayalla kwakutukumbusha...

Nikukumbushe kwamba Sisi kama Chadema tulipinga hili kwa nguvu zote kwa matamko, kwa vitendo na kwakufungua kesi mahakamani.
Mkuu Yericko Nyerere , ni vyema ukiwa mkweli toka ndani ya nafsi yako, kwenye suala hili, ni Chadema mlipiga sana kelele kupinga, ila mlipiga kelele tuu, hamkuwahi kwenda mahakamani hata mara moja!.

Kwanza nilimshauri tegemeo lenu kisheria, nini cha kufanya...

Hii ilinifanya niwaone nyie Chadema ni chama cha ajabu sana!, na nilizungumza hivi.

P
 
Kabisa mkuu!
 
Maadui wakubwa wa nchi hii siyo SSH au JPM! Ni Katiba mbovu ya mwaka 1977 na chama cha Mapinduzi (ccm).
Mbona alipokufa mkashangilia sana na sasa hivi mnasma mko huru?
 
Kumsifu Rais kwa mazuri anayoatenda hakutufungi tusimkosoe pale tunapoona anakosea.

Toka huko gizani ndugu....
Mmejiingiza kwenye mtego bila kujua sasa hamjui muelekee wapi, maneno mnayojitungia mkiwa kwenye mihemko "anaupiga mwingi" sasa yanaanza kuwatokea puani, siasa siku zote inamtaka mtu "anayemeza mate" kabla hajaongea, waambie na wenzio mjifunze kwa Mbowe.
 
Rais hayuko juu ya sheria, kauli yake nsichukulia kama maoni binafsi ila akiitekeleza atakuwa anavunja sheria aliyoapa kuilinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…