Rais Samia, Usiruhusu wakugombanishe na umma

Kwani wewe upo upande gani mkuu.?
 
Mama mmoja alifyeka shamba vizuri akamwita baba aje kulima, baba alikimbia kwa pupa huku jembe likiwa limesimamishwa hewani, kufika shambani kumbe mpini mbovu. Mama alimwuli mume baba kulikoni mbona hulimi? Baba akajibu mama sielewi huu mbini naona kama umevunjika, mama akasonya. Haraka haraka haina baraka.
MWAMBA TUVUSHE.
 
Katiba mpya inaweza kuwepo na watu wakaendelea kuivunja kama kawaida na isiwe kitu.Hii ya sasa tu inakiukwa kila uchao.
 
Kwanini ni wao tu, lakini siyo pamoja na wewe ?!.

Swala la katiba mpya likiachwa kwa vyama vya upinzani tu. Linakosa maana. Hili ni la wote
 
WEWE HAYAKUHUSU?
 
Katiba mpya ni gharama siyo sawa na kuandika vitabu vyako uchwara vya kijasusi. Huwezi kuacha kutekeleza miradi ya kimkakati au kupelekea watu maji na umeme ukakimbilia kuandika Katiba Mpya kwa ajili ya kuwaridhisha watu fulani kwa maslahi yao ya kisiasa.

Kikwete alivyokubali mchakato wa Katiba mpya tuliona madhara yake, fedha zilitumika nyingi lakini pia baadhi ya watu hawakukubaliana na maoni ya wengi wakataka ya kwao ya wachache ndo yazingatiwe. Mwisho wa siku taifa likasimama, tukaingia kwenye mgogoro.

Uzuri Mhe. Rais anajua huu mchakato ulivyo kwasabbu alishiriki kikamilifu. Kwahiyo, anajua kinachokwenda kutokea ni KUPOTEZA MUDA NA RASILIMALI huku mambo mengi ya msingi yakisimama.

After all, mchakato wa Katiba mpya ulishakamilika na Katiba inayopendekezwa tayari ipo, kilichobaki ni kupigiwa kura tu. Sasa sijui kinachodaiwa hapa ni nini?

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Yeriko hebu naomba unijibu kwa utulivu kwa nini Kuna umuhimu wa katiba mpya?? Au ulazima wa katiba mpya ni upi??
 
Pascal wakati jpm anatoa tangazo hlo nafkr alikuwa singida... Je hyo document official iliandikwa?? Au kina kelele wamezumu nakugundua maji yanaishia magotini???
 
Kuna a lot of maturity kwa Yericko these days.. a lot.
 
1)-Katiba mnataka nyie wanasiasa Mnahis labda ndo mtakuwa viongoz lkn sisi Wananchi Tunataka Maendeleo Na huduma za kijamii zpatikane...

2)-Mchakato wa Katiba enz za JK mliuharibu Nyie Ukawa mlipotoka Bungen..
Hakuna muda wa kupoteza pesa Zetu Wananchi..

3)-Kama Katiba Rais ataawaachia Wataalam washauri iweje Cyo Nyie Wanasiasa Njaa Mnaotaka Posho za Bunge la Katiba
 
Usilojua.

Unaweza kuwa unamhimiza kifungu hicho kifutwe, kiondolewe kabisa kama ndicho kinacholeta chokochoko na kelele nyingi.

Si Bunge lipo, na linajulikana ni Bunge la nani au siyo?

Mkuu, naunga sana mkono mada yako, naweka tu tahadhari ya yanayowezekana kufanywa na CCM. Hiki chama sasa hivi hakisimamii maslahi ya nchi tena.
 
Sheria inasema mikutano ya kujitangaza na kusajili wanachama.

Sio mikutano ya kufanya campaign za siasa.
Hii mistari miwili, ina tofauti kati yake?

Chama kitajitangaza vipi bila kufanya siasa?

Chama kufanya 'campaign' in wananchi wakiunge mkono na kujisajili kwenye chama hicho, ina tofauti na Chama "kujitangaza" kwa wananchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…