Rais Samia vunja Serikali ya Magufuli, unda ya kwako kabla hujachelewa

Mnataka kuleta u ntarahamwe hapa...mnataka kuwa banyamulenge...hyo nafas kamwe hamwez pata..maana nachokiona sasa ni chadem na kikund chake kutaka kuwa waasi na kuingia msituni...jaribun muone
 
Acha bange wewe.
 
Samia mwenyewe ni serikali ya Magufuli.
Unataka ajivunje??

Jinga kabisa haya mabavicha
Ni lazima cha zamani kife ili kipya kiweze kushamiri. Haikwepeki, akitaka kusonga mbele lazima aivunje.
 
Mheshimiwa sana rais wetu Mama Samia Suluhu Hasan, naomba nikushauri kwa heshima na taadhima.

Acha kuweka viraka kwenye serikali ya awamu ya tano na kuifanya iwe ya awamu ya sita. Badala yake ivunje serikali ya awamu ya Magufuli na uunde ya kwako.

Kwani si umeshashika hatamu kwenye chama, au bado? Maana hicho ndicho kikwazo pekee kilichokuwepo na sasa hakipo tena.

Bila kusahau badilisha wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wote, weka watu wako. Hii iende pamoja na viongozi wengine waandamizi ndani ya vyombo hivyo.

Drafti wanaloanza kulicheza CCM Magufuli halina afya kwako wala chama kuelekea 2025.
Ninakubaliana na wazo lako. Huku kahama doto Biteko ameanza kuwanyanganya wachimbaji Wadogo maeneo Yao ya uchimbaji wa dhahabu akisingizia Maza kamtuna kufanya hivyo.
 
Mnamlazimisha wakati alishatamka kuwa ni mapema Ila nimewahamisha tu.Mbeleni tutaona nani aendelee kukata upepo ili tufike.Mwigulu anatengeneza upepo umkate bosi wake
 
Anatamani sana kufanya hyo ila hawezi kwani na yeye alikuwa ni Serikali ya Magufuli (RIP) Kupewa kazi ya kusimamia nyumba au wapangaji wenzako na wenye nyumba hakukufanyi ww kuwa mwenye nyumba .
Baada ya kupewa uenyekiti wa chama ameshakuwa mwenye nyumba. Anayo nafasi ya kuanza upya.
 
Ana siku nyingi hajatokea hadharani kufokea wale wademkaji.

Alifanya kosa kubwa sana kutovunja baraza la mawaziri.

Alishauriwa na wapinzani kwa nia njema kabisa.

Unajua mtu ambaye hanufaiki chochote akikushauri ujue ushauri una jambo la kutafakari.
Angevunja baraza mapema kabla halijaota Pembe.
Kwa sasa amechelewa mana wamekuja kivingine na wameshajipanga kimkakati kabisa.

Hata makamu wa Rais naona kama vile ingekua bora angemweka Dr. Wilbroad Slaa. Waziri mkuu angeweza akamrudisha ila ni baada ya kumweka pembeni ili awe mnyonge kwanza.
Kwa sasa wameshajiona kuwa bila wao nchi haiendi utafiliri wao ndio walimtoa Mkoloni.

Mama kwanza ajitokeze aweke msimamo wake ule wa kwanza na asiyeukubali anamweka pembeni na akileleta chokochoko ndani ya chama anamfilisi tu mana makada wote wameliibia taifa hili. Hakuna baunsa mbele ya njaa.

Kwenye Covid asikubali kuwa lazima hasa kwa vyombo vya dola. Ataharibu mana wengi ni waumini wa misimamo mikali ya imani watamgeuka.

Watu watachanjwa wenyewe watakapoona kuwa waliochanjwa hawafi kwa korona.Lakini kwa sasa ni mapema kulazimisha chanjo kwa kundi lote
 
Baada ya Serikali ya Magufuli kuvunjwa, hata Samia hatakuwemo kwenye Serikali mpya kwa sababu namba moja alikuwa Magu na namba mbili alikuwa Samia.
Hayo yamepita, sasa ni zama mpya na awamu mpya. Namba moja ni Samia na anayo nafasi ya kuanza upya, aitumie.
 
Ana siku nyingi hajatokea hadharani kufokea wale wademkaji.

Alifanya kosa kubwa sana kutovunja baraza la mawaziri.

Alishauriwa na wapinzani kwa nia njema kabisa.

Unajua mtu ambaye hanufaiki chochote akikushauri ujue ushauri una jambo la kutafakari.
Angevunja baraza mapema kabla halijaota Pembe.
Kwa sasa amechelewa mana wamekuja kivingine na wameshajipanga kimkakati kabisa.

Hata makamu wa Rais naona kama vile ingekua bora angemweka Dr. Wilbroad Slaa. Waziri mkuu angeweza akamrudisha ila ni baada ya kumweka pembeni ili awe mnyonge kwanza.
Kwa sasa wameshajiona kuwa bila wao nchi haiendi utafiliri wao ndio walimtoa Mkoloni.

Mama kwanza ajitokeze aweke msimamo wake ule wa kwanza na asiyeukubali anamweka pembeni na akileleta chokochoko ndani ya chama anamfilisi tu mana makada wote wameliibia taifa hili. Hakuna baunsa mbele ya njaa.

Kwenye Covid asikubali kuwa lazima hasa kwa vyombo vya dola. Ataharibu mana wengi ni waumini wa misimamo mikali ya imani watamgeuka.

Watu watachanjwa wenyewe watakapoona kuwa waliochanjwa hawafi kwa korona.Lakini kwa sasa ni mapema kulazimisha chanjo kwa kundi lote

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Umenena vema kabisa, kwa VP alikosea sana, lakini wakati ule alikua bado hana mamlaka kwenye chama. Sasa anayo, ayatumie kwa manufaa ya nchi. Kinyume chake tutakuwa na rais kivuli.
 
Mheshimiwa sana rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan, naomba nikushauri kwa heshima na taadhima.

Acha kuweka viraka kwenye serikali ya awamu ya tano na kuifanya iwe ya awamu ya sita. Badala yake ivunje serikali ya awamu ya Magufuli na uunde ya kwako.

Kwani si umeshashika hatamu kwenye chama, au bado? Maana hicho ndicho kikwazo pekee kilichokuwepo na sasa hakipo tena.

Bila kusahau badilisha wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wote, weka watu wako. Hii iende pamoja na viongozi wengine waandamizi ndani ya vyombo hivyo.

Drafti wanaloanza kulicheza CCM Magufuli halina afya kwako wala chama kuelekea 2025.
Ata yeye alikuwa serikali ya JPM kama vip mwambie aiitishe process za chama kumtafuta mgombea wa urais uone kama atapita ili awe mgombea.
 
Ninakubaliana na wazo lako. Huku kahama doto Biteko ameanza kuwanyanganya wachimbaji Wadogo maeneo Yao ya uchimbaji wa dhahabu akisingizia Maza kamtuna kufanya hivyo.
Ni vurugu tupu, na anavyozidi kuchelewa ndivyo atakavyokuwa na wakati mgumu zaidi.
 
Ata yeye alikuwa serikali ya JPM kama vip mwambie aiitishe process za chama kumtafuta mgombea wa urais uone kama atapita ili awe mgombea.
Bila kujali kaingiaje lakini yeye ndiye namba moja wa chama na serikali. Aunde serikali yake, ya Magufuli yameshapita.
 
Bila kusahau badilisha wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wote, weka watu wako. Hii iende pamoja na viongozi wengine waandamizi ndani ya vyombo hivyo.
Mama yangu SSH, pokea ushauri bila kuchelea, waliokuzunguka bado wamepania kukuangusha mchana kweupe! Wanataka 2025 uwe umepoteza kabisa heshima yako ili 'waweze kukuweka kando'!

Usikubali kila ushauri wao, tozo zimeanza kukuangusha plus majibu ya hawa wateule yako (mwiguli na huyu spika). Issue ya Mbowe nayo inakutia doa sana lengo likiwa ni kukuporomosha Kimataifa! Mbowe na ugaidi wapi na wapi? magaidi wapo ndani ya ccm Mama SSH jua hilo.
 
Kila anavyozidi kuchelewa ndivyo nao wanajipanga na kujisimika vizuri zaidi. Kwao SSH ni rais wa mpito. 2025 wanataka mtu wao.
 
Back
Top Bottom