Rais Samia vunja Serikali ya Magufuli, unda ya kwako kabla hujachelewa

Rais Samia vunja Serikali ya Magufuli, unda ya kwako kabla hujachelewa

Hivi ni watanzania wangapi wanaoutaka Urais? Kwako wewe ni kwamba wote wanaomshauri Rais au kumkosoa, wanautaka Urais?
Ndio hapo sasa, wakati mwingine ushauri unatolewa kwa nia njema kabisa. Bila kuwa na serikali yake ajue kuwa ataishia kuwa rais wa mpito, na 2025 wenyewe wanchukua chao.
 
Maafui wakubwa wa Samia, ni watu wa ndani ya chama chake. Hao ndio ambao walikuwa hawataki aaoidhwe kuwa Rais. Wapo ambao mpaka leo hawaridhiki kwa Samia kuwa Rais.

Wananchi wa kawaida wana shida gani na Rais kuwa Samia au mwingine yeyote kama anazingatia haki zao za msingi kama vile kuchagua viongozi wanaowataka, siyo kama ilivyo sasa; uhuri wao wa kukosoa na kushauri bila ya kushambuliwa na wasiojulikana, kufanya biashara zao bila ya hofu ya kuporwa pesa na kufilisiwa, kupata ajira bila kubaguliwa, n.k?
 
Mheshimiwa sana rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan, naomba nikushauri kwa heshima na taadhima.

Acha kuweka viraka kwenye serikali ya awamu ya tano na kuifanya iwe ya awamu ya sita. Badala yake ivunje serikali ya awamu ya Magufuli na uunde ya kwako.

Kwani si umeshashika hatamu kwenye chama, au bado? Maana hicho ndicho kikwazo pekee kilichokuwepo na sasa hakipo tena.

Bila kusahau badilisha wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wote, weka watu wako. Hii iende pamoja na viongozi wengine waandamizi ndani ya vyombo hivyo.

Drafti wanaloanza kulicheza CCM Magufuli halina afya kwako wala chama kuelekea 2025.
Mwacheni mama kwanza akapime urefu wa mabega ili asije kukosea wakati wa kuyachonga vizuri.
 
Mheshimiwa sana rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan, naomba nikushauri kwa heshima na taadhima.

Acha kuweka viraka kwenye serikali ya awamu ya tano na kuifanya iwe ya awamu ya sita. Badala yake ivunje serikali ya awamu ya Magufuli na uunde ya kwako.

Kwani si umeshashika hatamu kwenye chama, au bado? Maana hicho ndicho kikwazo pekee kilichokuwepo na sasa hakipo tena.

Bila kusahau badilisha wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wote, weka watu wako. Hii iende pamoja na viongozi wengine waandamizi ndani ya vyombo hivyo.

Drafti wanaloanza kulicheza CCM Magufuli halina afya kwako wala chama kuelekea 2025.
Wakati mwingine sijui huwa mna nini vichwani? Kwa wivu wenu mtasema hata watendaji wa vijiji wabadilishwe maana ni wa Magufuli. Hujui Lukuvi alikuwa waziri wakati wa Mwinyi, Mkapa hata kikwete?
 
Wakati mwingine sijui huwa mna nini vichwani? Kwa wivu wenu mtasema hata watendaji wa vijiji wabadilishwe maana ni wa Magufuli. Hujui Lukuvi alikuwa waziri wakati wa Mwinyi, Mkapa hata kikwete?
Natambua hilo, kuna tofauti kati ya kurithi serikali na kuunda serikali. Kwa sasa Rasi anayo serikali ya kurithi.
 
Nyie sio wanaccm.mnashauri mambo ya wanaccm kwa manufaa au ustawi wa upande gani.

Eti wanataka kumfifisha ifikapo 2025,
kwahiyo mnauchungu na samia kuliko wanaccm wenzake!

Nyie si mlisema 2025 hamuweki mgombea
 
Hata samia akipangua safu nzima lazima aweke replacement kutoka kwny orodha ileile ambayo mnailalamikia.

Muhongo, mwijage, ole sendeka, mavunde, mwanafa etc

Nafasi zake za kuteua nje ya bunge zimebaki 2 tu.

Lakn hata hawa si waliapa upya mbele yake
 
Back
Top Bottom