Rais Samia vunja Serikali ya Magufuli, unda ya kwako kabla hujachelewa

Ndio akili yako ndogo inavyokutuma?
 
Acheni ngebe, hii ni awamu ya tano tuliyoipigia kura, kama anataka mbwembwe asubiri ilani ijayo 25-30 wananchi tuipime na kufanya maamuzi! Ole wake aende kinyume na ilani ya ccm yenye kurasa zaidi ya mia 3
 

Haujatulia.
 
Dereva mpya gari bovu,konda mwigulu unategemea nn
 
Huu utaratibu wa Makamu kuwa raisi baada ya raisi kufa haufai kabisa ni rahisi kupata watu wasio na sifa ya kuongoza.
Iwekwe Makamu atashika kwa mda wa miezi sita kisha nchi irejee kwenye uchaguzi mkuu Ili wananchi wachague mtu sahihi.Ila kama akifa raisi mwaka mmoja ndipo uchaguzi mkuu Makamu aendelee hadi uchaguzi.
 
wewe mdanganye tu,
 
Kioo cha mtu ni watu thus viongozi wa wenzetu wao wanafanikiwa sababu wanawasikiliza watu wanasema nn juu yao thus wakafanikiwa.
Aliambiwa aweke watu wake aliowakuta watamkwamisha leo anatoa maagizo wanamwangalia tu check ishu ya tozo mwigulu kadinda.Nchi ipo autopilot
 
Nyie chadema mnapenda kumpangia kaz hy maza, as if yey si mwana ccm ama miongon mwa serkal ya ccm, mnachokifnya ni kumuingilia mambo yake ndiomaana akiwacharukia mnaanza kulia lia, nyie chama chenu kimewashinda mnaanza kudil na yasiyo wahusu, achen ujinga
 
Toxin za mwendazake zitamsumbua Sana Angepiga chini zote kuanzia vyombo vya ulinzi, mawaziri,madc,ma rc nk.Mtaani wamejaa wasomi wengi wazuri na weledi wanaoweza msaidia.
 
Xx
 
Mwache awafuge, wanajiona kama vile yeye ni Kaimu tu, Watanzania hawatamuelewa na atapata taabu sana
 
U Unatumia akili kweli au ni makalio?
Hapa tanzania kuna serikali ya magufuri kweli au umelogwa?.
Nachojua kuna serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania hapa, sasa hiyo ya magufuli ilitokaje nyumbani kwake ije kua ni ya nchi?

Na hiyo ya samia ataitoa kwake ndo ije kuongoza nchi?
 
Mama sikiliza maneno hayo. Hata mimi naunga mkono kabisa maana ishara zinajionyesha dhahiri. Polepole aliteuliwa na magufuli ubunge ili aje ampe uwaziri katika wizara nyeti sana bashiru alipewa ukatibu mkuu kiongozi wadhifa mzito mno kuliko uwezo wake, palamagamba kutoka kusikojulikana hadi wizara ya mambo ya nje alikotoboa siri kuwa wamemuua azori gwanda. Ulipoingia wewe ukawapiga chini mapema kweupe pole pole amebaki mbunge wa viti maalum hawa hawana raha na wewe hata kidogo watakuchekea kinafiki ukadhani ni watu wema si kweli hata ndugai na huyu bwege mwingine mwigulu na wengine wengi wanakutengenezea kushindwa kuiongoza nchi ili mambo yakuendee hovyo kama ambavyo yameanza kwenda ila wewe unaendelea kucheka na kima shauri yako. Wapige chini wote anza upya Tanzania huiwezi kwa kujidai kichwa ngumu utaambulia kujiaibisha na kuacha kasumba mbaya na kujichafulia jina lako bure kwanza wameshaanza kukunanga tayari kuwa hukuwa chaguo la chama chako kwenye ngazi ya uraisi ni katiba imekuweka hapo ulipo umeona kazi hiyo? Endelea kujaza chuki miongoni mwa wananchi kwa kufuata ushauri wa hao mangoima akina mpango na nchemba waliokushauri hadi deni la taifa limekuwa kubwa mmeamua kuwatwisha wananchi kulilipa usidhani watu hawafahamu. Haya ni maoni yangu tu lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…