PreGE2025 Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa hili naungana na Samia wao wabaki kwao kama Wana maoni watoe Twitter (X) sio kuja huku kuleta tafrani
 
Kwa wale wamependa football, tuseme wafanye press lango la mpinzani goli litapitakana tu.
 
💪
 
Serikalini kuna mambo mengi, wenyewe wanakimbazana South Africa kwa matibabu kimya-kimya kila siku kwa jinsi wanavyowindana.

Kama hizo sio stress za kutosha, wakenya nao wanataka kuwa sehemu ya equation ya matatizo ya uongozi wake ‘spare a thought’.

Ila Kenya inavuka mipaka ya diplomacy, ni sawa vyombo vya habari vya Kenya kuja Tanzania na kuripoti,

Lakini majaji wastaafu wa Kenya hiyo ni no-no-no for diplomatic relations. Kwa upande wa wanaharakati wa Kenya kuja na kujifanya watetezi tena kuongea na media; huo ni uchokozi kwa serikali yeyote duniani.
 
Kazi kwako Prof. Palamagamba Kabudi kazi kwako.

TOKA MAKTABA :

Uteuzi wa Profesa Palamagamba Kabudi, ni hatua nzito ya serikali kujipanga kushinda vita ya habari yaani propaganda katika 'kiLugha' chetu yaani kiSwahili na katika ki-English upambane na dunia


Vyombo kama TBC, TBC radio, Habari Leo Daily News, Idara ya Maelezo vimekuwa vikisinzia kuitetea serikali ya awamu ya 6 kiasi ya kuwa vyombo vya mitandao ya kijamii vimeibuka washindi katika kuunda sura (ku shape ) ya yanayoendelea nchi huku vyombo vya umma vikikosa wasikilizaji, wasomaji na wachangiaji (comments) iwe katika lugha ya KiSwahili au Kiingereza

Hivyo hatua ya uteuzi wa leo ni kujaribu kurudisha mizania kuegemea upande wa serikali na chama tawala au angalau kuweka mzania sawa balanced kutoka hali ya sasa ambapo vyombo vya habari vya umma vya kieletroniki, radio, televisheni vimeshindwa vita hii ya habari information war

Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni apigwa chini Wizara ya Mambo ya ndani, Kabudi apelekwa Wizara ya Habari na Michezo, Janabi kuwa mshauri wa Rais

Profesa Palamagamba Kabudi sasa kuendeleza propaganda :
Vita ya habari au information war ni zana muhimu kutetea uhalali wa maamuzi, matukio na mafanikio

USIPITWE TAZAMA KIPINDI AGENDA 2020 | MADA : FAIDA NA ATHARI ZA PROPAGANDA KWA TAIFA
  • White propaganda kutafuta heshima kupitia taarifa za kweli
  • Black propaganda chanzo hakitambuliki na pia taarifa siyo za kweli
  • Grey propaganda ipo katikati baina ya ukweli na uwongo

View: https://m.youtube.com/watch?v=OwLNl_fv_CY
Source : Star TV Habari

 


Asante sana Mh. Rais wetu, hakika hapa umenena haswa, Mkuu wa nchi kasema, wengine sisi ni kutekeleza tu. Amani yetu Utulivu wetu kamwe usije chezewa na binadamu yeyote, toka nchi yoyote, hilo lisije tokea milele na milele, asante sana Mh. Rais wetu, Mungu akulinde daima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…