PreGE2025 Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini

PreGE2025 Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Lazima tz tujue hawa wakenya ni hatari kwa taifa kwanini tz na sio Uganda kwani kiza besije siyo kizuizi muda kumbuka hata wakati wa bomba la mafuta waliandamana kulizuia je mbona hawajaenda Rwanda wapinzani wako gerezani huko ruzira wangine wameuwa huko Africa kusini kwahili vyombo ya dola vyote hasa wale vivuli fanya kazi yenu
 
Kesi si iko mahakamani? Sasa mbwembwe zanini?
Kesi iko mahakamani kila siku uchunguzi unaendelea na walisema ushahidi uko mitandaoni. Ni ushahidi gani tena unatafutwa hadi kesi isianze? Ni hivi, NRNE ndio inahujumiwa kwa hizo mbinu za kizamani.
 
Huyu mama ni kilaza kabisa.....wanaharakati wa haki za binadamu duniani kote wanafatilia nini kinachoendelea tanzania....na ukihukaji wa haki za binadamu unaofanywa na utawala wake...matatizo anayasababisha yeye halafu anamuona kila mtu ni adui
 
Kichaa kakabidhiwa rungu dadeki, hiyo kauli ni kuwakabidhi rungu policcm.
 
Swali mbona kawai kujibu Hawa

Kwanini hoja zetu hazijibu?

Tanzania ni kisiwa? Je anashindwa Nini kujibu hoja za no reform no Election?

Samia mchawi ni wewe usimtafute kenya!

Wewe ndiye mchawi na serikali yako endelea kushupaza shingo you will be suprise!!!
 
Lile limzoga cha chato lilikuwa gaidi kweli kweli sasa hivi lipo wapi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani Chief Justice wa Kenya unamuita Mwanaharakati??
 
kibao.jpg
mdude.jpg
soka-e1724250077267-1024x968.jpg
 
huyu alitakiwa kuwa muhudumu wa ndege kweli
 
Back
Top Bottom