PreGE2025 Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini

PreGE2025 Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Aisee hii ni hatari sana; hotuba hii ilipaswa isikike ikisemwa labda na Bashe, sio yeye na inathibitisha pasipokuwa na shaka kwamba watekaji, watesaji na wapotezaji wana baraka zote za zulia jekundu!!. Tanzania tayari wamejitengenezea majirani maadui watatu wa uhakika......Lilongwe-Kusini, Nairobi-Kasikazini mashariki na Kigali-Kasikazini magharibi

The purpose of the Trident Horns' strategic placement is to upset the region's geopolitics.

Please stay out of this pointless dispute unless you want to risk the EAC bloc breaking up.

Tanzania imezungukwa na nchi zifuatazo
1. Kenya........Kasikazini mashariki
2. Uganda.......Kasikazini magharibi
3. Rwanda......Kasikazini magharibi
4. Burundi.....Kasikazini magharibi
5. Democratic Republic of Congo.....Magharibi
6. Zambia.......Kusini magharibi
7. Malawi.......Kusini magharibi
8. Msumbiji........Kusini
9. Comoro........Mashariki
9. Seychelles (Kisiwa ndani ya bahari ya Hindi) Mashariki
9. Zanzibar.....Mashariki
 
Swali mbona kawai kujibu Hawa

Kwanini hoja zetu hazijibu?

Tanzania ni kisiwa? Je anashindwa Nini kujibu hoja za no reform no Election?

Samia mchawi ni wewe usimtafute kenya!

Wewe ndiye mchawi na serikali yako endelea kushupaza shingo you will be suprise!!!
Aandikiwe speech next time
 
Ila huyu mama leo ndo nimejua yupo Empty kichwani, yaani hajui kupangalia speech mbele ya halaiki, anaongea kama anataka kupingana na mabeberu lkn akiona nchi alizozunguka na amepewa misaada anafunga mdomo.
Yaani wakati anaongea anasema sijui ""nitaka kusemaje ""
Hapa Rais tumepigwa naungana na akina
Bashiru, Diwani Athumani na Kassim kutaka kumnyima nchi aseee...her head is full nothing.
Hajui aongee nini na kwa wakati gani ?
Hajui aongee nini na kwa nini ?
Hajui aongee nini na wapi ?
Hajui aongee nini na kwa lipi ?
Hajui aongee nini na nani ?
Aandikiwe speech next time. Publick speaking si kwa kila mtu
 
Ila huyu mama leo ndo nimejua yupo Empty kichwani, yaani hajui kupangalia speech mbele ya halaiki, anaongea kama anataka kupingana na mabeberu lkn akiona nchi alizozunguka na amepewa misaada anafunga mdomo.
Yaani wakati anaongea anasema sijui ""nitaka kusemaje ""
Hapa Rais tumepigwa naungana na akina
Bashiru, Diwani Athumani na Kassim kutaka kumnyima nchi aseee...her head is full nothing.
Hajui aongee nini na kwa wakati gani ?
Hajui aongee nini na kwa nini ?
Hajui aongee nini na wapi ?
Hajui aongee nini na kwa lipi ?
Hajui aongee nini na nani ?
Venance! Venance! Venance! Nimekuita mara tatu Afande hakika ulitukosea sana! Kwa nini hukuchukua nchi aisee bora tujue moja tu kwamba tunatawaliwa kijeshi? Hizi takataka zingine hazifai!
 
Back
Top Bottom