Pre GE2025 Rais Samia: Waacheni wajifunze, muda wao wa kuendesha dola bado

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sawa kama kuuza bandari na mbuga za wanyama ndo kukomaa kisiasa basi naehamia burundi
Dah, hata mimi nimeikuta bandari yetu imehamia Dubai, nimeikuta huko na Ngorongoro Crater.


Nimeambiwa na KIA inapelekwa Muscat, Oman. Eti kweli?
 
Angetoa kabisa na umri(elekezi) kamili na murua wa kuwa wamekomaa na kushika kama si kuongoza dola.
NB;Awaeleze yeye(na CCM wenzie) alipata uongozi serikalini akiwa na umri gani
Mkuu, Δ·inywa cha mtu hulazimika kutamka mazuri tu wakati moyo ukipingana na yatamkwayo na kinywa

CCM ni waongo wote mpaka wanachama wao
 
kuongozwa na akina bibi nasi tumechoka. Amesahau kauli yake ya kwanza alipoapishwa pale dodoma?...kweli masikini akipata..........hulia mbwata πŸ˜› πŸ˜› . Alivyo hajiamini...kila mwaka anasherehekea kutimiza miaka kadhaa ya urithi wa kiti kile
 
Visasi na vinyongo vilitawala kipindi kile.
Wanachelewesha vp, na Kila siku mnaimba Samia ametoa mabilion ya maendeleo?

Uchawa ukizidi akili zinahama tumboni,

kwa hiyo mlimsajili Msigwa aje kechelewesha maendeleo,
 
Eti "shujaa"🀣🀣🀣🀣
Nchi ina vituko hiiπŸ™†
 
Wanachelewesha vp, na Kila siku mnaimba Samia ametoa mabilion ya maendeleo?

Uchawa ukizidi akili zinahama tumboni,

kwa hiyo mlimsajili Msigwa aje kechelewesha maendeleo,
Mambo ya usajili wa Msigwa yametoka wapi?

Nimesema utawala ule ulikuwa wa visasi, vinyongo na kukomoana.
 

View: https://www.instagram.com/reel/C9iDs6EKQLg/?igsh=MWVrOWM5aHdybXNzbg==
 
Wewe na huyo magufuli wako wote wapumbavu tu ndiyo maana lilikufa kibudu
 
Ili muendelee kuuza rasilimali zetu kwa waarabu
 
Majizi ya kura yaliyokubuhu
 
Iv CCM wanavyoongoza Nchi mbna hata mie na mkewang tukipewa mbona tunawazid pmoja na kwamba hatuna Itikadi za Chama chochote?? Nishindwe kweli kuongeza kodi tu kwenye bidhaa mhimu, na Kisha kubinafisisha bandari??
 
Akina nani hao ambao hawana uwezo wa kuongoza dola?
Hapa TZ hakuna kazi nyepesi kama kuwa rais mana wananchi wenyewe n vichwa maji.
Teh teh teh πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ upo sahihi kabisa chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…