Pre GE2025 Rais Samia: Waacheni wajifunze, muda wao wa kuendesha dola bado

Pre GE2025 Rais Samia: Waacheni wajifunze, muda wao wa kuendesha dola bado

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naunga mkono hoja
Yaani eti kina Mbowe na Lisu na Vyama vyai vya msimu ndio Wachaguliwe na Watanzania kuwa Rais? 😁😁😁😁

Chadema endeleeni kupata shule kutoka ccm labda 2200 huko ndio mtakuwa mumekua
Yaani cdm wajifunze kwenye hicho chama kilichofubaa?! Labda wajifunze kuiba kura kwa mbeleko ya vyombo vya dola.
 
Akina nani hao ambao hawana uwezo wa kuongoza dola?
Hapa TZ hakuna kazi nyepesi kama kuwa rais mana wananchi wenyewe n vichwa maji.
Sasa nchi unaweza kabidhi Mbiwe form six division zero? Au ukakabidhi Tundu Lisu msomi ambaye yuko chini ya form six division zero akitaka hata uenyekiti Chadema hatoboi

Mimi CCM waendelee kujifunza

Chama pekee cha siasa Tanzania kinachoongoza kwa kuwa na wasomi wenye elimu ndogo uongozi wa juu ni Chadema tu vyama vingine vyote vya siasa elimu zao ziko juu viongozi wote wa juu

Mwenyekiti na katibu mkuu kitaifa Chadema Mbowe na katibu mkuu Mnyika ni secondary failures hawana hata diploma

Viongozi wa kanda wa Chadema asilimia kubwa ni form four failure wapiga miyowe tu mivyeti yao zero ya elimu

Nchi haiwezi kabidhiwa kwao kisa tu wanapiga miyowe vyeti vya elimu zero
 
Acha wajitie madole wenyewe mwaka huu hatutanii litakufa jitu kumbukeni yaliyowakuta MASHA NA DIALO 2010 PALE ILEMELA NA NYAMAGANA bila shaka hamjasahau. Na kama mmesahau tutawakumbusha.
 
Tanzania inaweza kutawaliwa hata na Nabii Tito haihitaji uzowefu.
 
Bullshit!

Lugha za kikoloni hizo.

Nyerere alikuwa na ukomavu gani alipo chukua nchi toka kwa wakoloni?

Samia ni mweupe sana aisee.

Imagine Samia ana debate na Lissu…..

It would be a massacre!
That is murder Puting airweight (kizmkaz daughter) and heavyweight (Lissu) in the same ring? It is murder!
 
CCM hawana jema na la maana lolote kufundisha hata kwa panya.

Labda wafundishe uovu kama ufisadi, wizi, uongo, uasherati, uzinzi,ushirikina na uuaji.
Naunga mkono hoja
Yaani eti kina Mbowe na Lisu na Vyama vyai vya msimu ndio Wachaguliwe na Watanzania kuwa Rais? 😁😁😁😁

Chadema endeleeni kupata shule kutoka ccm labda 2200 huko ndio mtakuwa mumekua
 
Rais yuko sahihi. Kama think tanks ya CHADEMA ni Mdude na Martin Maranja ina maana bado sana.
Basi wapeni nafasi ya kujifunza kuongoza nchi, kwa kuchagua wabunge,madiwani na wenyeviti wa mitaa ili wakomae. Mki waibia kura a' la Nape hamuwasaidii kukomaa kutawala kwa kauli Yako Rais
 
Uchaguzi utasimamiwa na Wizara ya Tamisemi ambapo inasemekana Waziri wake anaaminiwa sana na Mwenyekiti wake. Naibu Katibu Mkuu alisimamia uchaguzi wa 2020 na wasimamizi ni wateule wa Mwenyekiti wa Chama Tawala. Kuna kushindwa kweli hapo?

Amandla...
 
Picha ya miaka 10 iliyopita.
Screenshot_20240710-190542.png

Na hii?
 
Japo Ukweli huu Wafuasi wa Chadema huwa hawaukubali lakini ndio hali halisi

Kama swala la COVID-19 limewashinda, swala la Mchungaji Msigwa limewashinda ndio wataweza kuongoza DOLA hawa?

Wapinzani wa Tanzania ni afadhali ya Gen Z wanajua wanachofanya

Mlale Unono 🐼
Na wewe ni maiti kama alivyosema Kenyatta, THINK, THINK DEEP, MAKE PHILOSOPHICAL ANALYSIS OF ISSUES. KAMA CCM INAJUA KUONGOZA, MNAKATAA TUME HURU, KATIBA MPYA KWANINI? WE NI MAITI! hakuna anyeipenda CCM, ni kwa vile kuna kugwa vyeo , tumbo street! Chadema haina fedha/vyeo vya kugawa lakini ina wafuasi walioandikishwa rohoni mwao!
 
Rais Samia akizungumza na wananchi wa kata ya Laela ,Wilaya ya Sumbawanga Vijijini Rukwa mesema leo tarehe 17 Julai 2024 ikiwa siku ya mwisho ya kukamlisha kwa ziara yake ya siku tatu "Wengine waacheni waendelee kujifunza bado wachanga, muda wao wakuendesha Dola bado Kabisa"


"Lazima tuwe na Serikali makini inayowekwa na chama makini, niwaombe sana, mwaka huu mwisho wa mwaka mwezi wa 10 wa 11 kule tunakwenda kuwa na uchaguzi wa Serikali za Mitaa, tunakwenda kuchagua viongozi wa mitaa na viongozi wa vitongoji.

Niwaombe sana ndugu zangu, nendeni mkachague chama cha Mapinduzi, nendeni mkatuchague Chama cha Mapinduzi kwa sababu ndicho chama kilichoweka Serikali makini inayomimina maendeleo kwa watanzania, inayomimina maendeleo kwa watu, wa majimbo ya Tanzania.

Unapozungumza maji, elimu, afya umeme, kilimo na mambo mengine ni chama cha Mapinduzi, naomba sana chagueni chama cha Mapinduzi, tupite vizuri ili maendeleo yaje na mengine na mengine na mengine zaidi.

Wengine waacheni bado waendelee kujifunza, bado ni wachanga ni watoto wetu wa chama cha Mapinduzi, kwa hiyo waachieni waendelee kujifunza muda wao wa kuendesha dola ni bado kabisa kabisa kabisa, kwa hiyo niwaombe sana niwaombe sana ndugu zangu kachagueni chama cha cha Mapinduzi."


Pia soma:
SAMIA UNAENDESHA DOLA IPI NA UMEIUZA YOTE? UNADHANI UNA MTU NYUMA YAKO, WANAKUDAGANYA KWA VILE UNAGAWA VYEO, NA SI KUWA WANAKUPENDA.
 
Back
Top Bottom