Rais Samia, Waeleze Watanzania ukweli juu ya ulichokikuta Hazina

Hili la hazina kuwa empty lilimkuta Mwinyi. Mzee wa watu alipambana kimya kimya kuiweka nchi kwenye mstari.Huku Nyerere akiitisha vikao na waandishi wa habari kumpiga vijembe. Eti anashauriwa na mkewe!

Akabadilisha uchumi mpaka nchi ilipotengamaa. Alikuja kusema alichokuta hazina kwenye hotuba yake ya kuaga bungeni! Nafikiria Mama pia yupo kwenye same situation.
Jamani hakukuta kitu pia hata kama hasemi. Kama kungekuwa na kitu wastaafu, wakandarasi wa ndani, suppliers, wanafunzi,walimu, wafanyakazi wangelipwa madeni Yao, kupandishwa vyeo na nyongeza za mishahara. Mifuko ya hifadhi ya taifa isingeporwa hela zao, beuros zisingeporwa, wafanyabiashara wasingeingiliwa accounts zao na kuporwa pesa zao, muhimbili isingeambiwa atoe gawio pia.

Namshauri Mama tena na tena aachane na baadhi ya miradi mikubwa kwa kuanzia na ujenzi wa Dodoma, vinginevyo 2025 itamkuta akiwa amesimama.

Asione haya kuzirejesha Dar es Salaam baadhi ya wizara, nyingine azipeleke Mwanza, Arusha, Morogoro, Tanga ili kuwasongezea karibu wananchi huruma badala ya kwenda kuzirundika zote Dodoma tena kama ilivyokuwa Dar es salaam.
 
FACT
 
Back
Top Bottom