Rais Samia, Waeleze Watanzania ukweli juu ya ulichokikuta Hazina

Kuna tetesi mwendazake alihamishia hazina kitovuni Chato
[/QUOTE]
halafu akazichimbia shimoni au ?
 
Rais Samia mtazame Masoud Kipanya, unaonekana una jambo linakusumbua na huna namna matokeo yake unapokea kila ushauri wa wasaidizi wako.

Matokeo yake mnatoa Slogan nyingi na ahadi zisizotimilika. Hili litakurudi sababu itabidi uongope kila mara.

Kuna kosa kubwa umefanya na unaendelea kufanya. Waeleze Watanzania ukweli juu ya ulicho kikuta hazina.

Vinginevyo mzigo wote unakuangukia wewe na unaonekana umefilisi nchi katika kipindi kifupi.

Sema ukweli umekuta nchi haina kitu wananchi watakuelewa.

Nyerere alisema ukweli na kutuambia tufunge Mkanda. "Ukweli utakuweka huru"

View attachment 1858946
Mwendazake alikuta kibubu hakina kitu na hata shangazi nae anajua, ilibidi aanze mikakati mipya, nae shangazi kama amekuta kibuyu kitupu wakati nae alikuwa mtunza kibuyu basi inashangaza, naona hizi ni ngonjera tu ,wacha aendlee kuupiga mwingi. Nilichokiona ni kuwa hivi sasa kuna matumizi mengi sana yasiyo na tija kwa viongozi wetu, misafara ni mingi mno, viongozi wanasafiri sana na misururu ya magari na viongozi waandamizi, semina zimerudi tena,uwizi umerudi sana,haishangazi pale hazina wakati watu wako kwenye May day wao wakawa wanajichotea, siku hizi maafisa wanakodi magari ya kampuni za kusafirishia watalii wakati magari ya serikali yapo kwa kila mkoa au kila wilaya, huwezi ukawa na pesa ya akiba kama matumizi yanazidi kipato chako.
 
Huyo mama hana jipya, isipokuwa sio dhalimu kama yule ibilisi.
Siyo dhalimu, sasa huoni kama ana jipya ndio maana mlianza kumdemkia toka mwanzo kabisa?

Tembelea page ya bavicha mwenzio Malisa uone jinsi alivyojaza vimakala vya kumpamba mama!
 
Kama kawakumbatia na kuendelea kufanya kazi na majizi unategemea nn.Mtoto wa dada ilifaa awe jela apigwe ndani miaka 6 hivi kusubiria ushahidi kukamilika kwanza
 
Siyo dhalimu, sasa huoni kama ana jipya ndio maana mlianza kumdemkia toka mwanzo kabisa?

Tembelea page ya bavicha mwenzio Malisa uone jinsi alivyojaza vimakala vya kumpamba mama!

Mimi na Malisa wapi na wapi boss, kwahiyo unabeba makala za Malisa ndio unaniletea mimi! Sina popote ninapomshobokea mwanaccm yoyote, ila ni ukweli kuwa huyo mama japo hana jipya, lakini si dhalimu kama lile dubwasha lako.
 
Mbona hatoi taarifa ya tume aliyoiunda kuchunguza mibilioni iliyotoka muda mfupi kabla ya mwendazake kututoka
 
Mimi na Malisa wapi na wapi boss, kwahiyo unabeba makala za Malisa ndio unaniletea mimi! Sina popote ninapomshobokea mwanaccm yoyote, ila ni ukweli kuwa huyo mama japo hana jipya, lakini si dhalimu kama lile dubwasha lako.
Malisa ni ccm?

Ndio siyo dhalimu kama lile dubwasha lako ndio maana sasa hivi sheria za nchi zinatekelezwa kila kona, wapinzani mko huru kila kona, mnapumua baada ya aliekuwa anawabana kufariki!

Mama siyo dhalimu kabisa hata 2025 mtashinda kirahisi sana baada ya aliekuwa anasababisha msishinde kufariki!

Makofi kwa mama tafadhali
 
Unaongea utoto gani man?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ebwana kumbe yule mdada alikuwa mwingi wa habari? Ila kazi gani hizo muhimu mkuu?

R.I.P dada Mapunda.
Alikuwa anafahamika sana na wale walokuwa wakipishana angani.

Ila hayati JPM akaamua kumwacha hapohapo lakini akamtaka awe madhubuti.

Nadhani utanifahamu hapo.
 
Anausika vipi na hazina mkuu
Kwa namna moja ama ingine alikuwa akihusika kwani yeye ndie alikuwa kiungo kati ya hazina na zile safari za hapa na pale.

Sasa kuna watu ambao walichukizwa na kauzibe ilokuwapo baada ya hayati JPM kupiga stop zile safari.

Nadhani utanifahamu hapo.

Nakupa dondoo tu zingine jiongeze.
 
Tunahitaji fikra zenye elimu ya kujenga nchi. Ushabiki tuache. Kwani mega mega, humaliza GOGO.
 
Alikuwa anafahamika sana na wale walokuwa wakipishana angani.

Ila hayati JPM akaamua kumwacha hapohapo lakini akamtaka awe madhubuti.

Nadhani utanifahamu hapo.
Mkuu umeniacha njia ya PANDA kila nikifungua mabano naona HOLA
 
Rais Samia mtazame Masoud Kipanya, unaonekana una jambo linakusumbua na huna namna matokeo yake unapokea kila ushauri wa wasaidizi wako.

Matokeo yake mnatoa Slogan nyingi na ahadi zisizotimilika. Hili litakurudi sababu itabidi uongope kila mara.

Kuna kosa kubwa umefanya na unaendelea kufanya. Waeleze Watanzania ukweli juu ya ulicho kikuta hazina.

Vinginevyo mzigo wote unakuangukia wewe na unaonekana umefilisi nchi katika kipindi kifupi.

Sema ukweli umekuta nchi haina kitu wananchi watakuelewa.

Nyerere alisema ukweli na kutuambia tufunge Mkanda. "Ukweli utakuweka huru"

View attachment 1858946
Akisema mtamwamini? Achape kazi tu, mwendazake alisema alikuta akiba kwenye hazina BoT nchi inaweza kuagiza bidhaa kutoka nje kwa miezi 3, hadi anaendazake akiba ilikuwa inatosheleza kuagiza bidhaa kwa miezi 6.

Vv
 
Rais Samia mtazame Masoud Kipanya, unaonekana una jambo linakusumbua na huna namna matokeo yake unapokea kila ushauri wa wasaidizi wako.

Matokeo yake mnatoa Slogan nyingi na ahadi zisizotimilika. Hili litakurudi sababu itabidi uongope kila mara.

Kuna kosa kubwa umefanya na unaendelea kufanya. Waeleze Watanzania ukweli juu ya ulicho kikuta hazina.

Vinginevyo mzigo wote unakuangukia wewe na unaonekana umefilisi nchi katika kipindi kifupi.

Sema ukweli umekuta nchi haina kitu wananchi watakuelewa.

Nyerere alisema ukweli na kutuambia tufunge Mkanda. "Ukweli utakuweka huru"

View attachment 1858946
Asee inawezekana sio kwa jeuri Kali hivi ya nchemba
 
Mkuu umeniacha njia ya PANDA kila nikifungua mabano naona HOLA
Pamoja na shughuli zile alokuwa nazo pia alikuwa akishughulikia safari za nje.

Sasa baada ya kuja JPM (rip) akaendelea nae lakini akaambiwa hakuna safari zisizo na tija.

Zile safari zilikuwa na 10% hivyo ili ziendelee inabidi ...........

Kuna watu wanaelewa kila kinachoendelea ila wote wasubiria ............

Umenifahamu hapo?
 
Back
Top Bottom