Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Hili wengi wanajitoa nalo ufahamu... sisi ni dona kantriKama hela zilikuwa nyingi kwa nini jiwe alikuwa anakopa kwa mabeberu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili wengi wanajitoa nalo ufahamu... sisi ni dona kantriKama hela zilikuwa nyingi kwa nini jiwe alikuwa anakopa kwa mabeberu?
Kwa hiyo ulitaka watumishi waendelee kuteseka??? Pumbavu sana kama mwendazakeHela ilikuwepo nyingi tuu,kile kiherehere cha kujifanya analipa madaraja,sijui malimbikizo,nk huku akienda mbali zaidi na kutoa misamaha ya kodi kiholela limemkwamisha huyu mama...matumizi ya serkali kwa mwezi ni makubwa sana huku makusanyo ni kidogo.....huyu ni mdhaifu na amekwisha kukwama....Banda mwingine kwenye foleni.
Uliisoma vizuri???[emoji23][emoji23]Lakini, mbona report ya BOT imetoka clean?
Wadhani hiyo imepikwa au?
Uliisoma vizuri???[emoji23][emoji23]
Bado kabisa mkuu,ili ziendelee inabidii nini? Na ila wote wanasubiria? Ndio sijapapata vizuri.Pamoja na shughuli zile alokuwa nazo pia alikuwa akishughulikia safari za nje.
Sasa baada ya kuja JPM (rip) akaendelea nae lakini akaambiwa hakuna safari zisizo na tija.
Zile safari zilikuwa na 10% hivyo ili ziendelee inabidi ...........
Kuna watu wanaelewa kila kinachoendelea ila wote wasubiria ............
Umenifahamu hapo?
Kuna watu wamelindwaRais Samia mtazame Masoud Kipanya, unaonekana una jambo linakusumbua na huna namna matokeo yake unapokea kila ushauri wa wasaidizi wako.
Matokeo yake mnatoa Slogan nyingi na ahadi zisizotimilika. Hili litakurudi sababu itabidi uongope kila mara.
Kuna kosa kubwa umefanya na unaendelea kufanya. Waeleze Watanzania ukweli juu ya ulicho kikuta hazina.
Vinginevyo mzigo wote unakuangukia wewe na unaonekana umefilisi nchi katika kipindi kifupi.
Sema ukweli umekuta nchi haina kitu wananchi watakuelewa.
Nyerere alisema ukweli na kutuambia tufunge Mkanda. "Ukweli utakuweka huru"
View attachment 1858946
Baeleze baba, kile kichwa kilijua kukusanya mapato kutumia mali asili zilizopo nchini.Serikali inaendeshwa kwa cash budget, inakusanya makusanyo ya February yanatumika mwezi March.
Mpaka Magufuli anaondoka hakuna mkandarasi kila mkandarasi alikuwa analipwa on time kutokana na kipande cha kazi alichokamilisha.
Na kil mtumishi alikuwa analipwa on time.
MSD ilikuwa na dawa za kutosha na kila kitu kilikuwa shwari.
Matatizo yoyote kuanzia mwezi April ni ya serikali mpya.
Katika historia ya miaka 35 ya Tanzania kuanzia kwa mzee Mwinyi mpaka kwa JPM.Baeleze baba, kile kichwa kilijua kukusanya mapato kutumia mali asili zilizopo nchini.
Itafika mahali tutaelewa umuhimu wa kutumia vizuri mtu mwema ndani ya maisha yetu haijalishi ni familia, jamii, ukoo n.k
Akiondoka anaondoka.
Mkubali mtu kwa uwezo wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais Samia mtazame Masoud Kipanya, unaonekana una jambo linakusumbua na huna namna matokeo yake unapokea kila ushauri wa wasaidizi wako.
Matokeo yake mnatoa Slogan nyingi na ahadi zisizotimilika. Hili litakurudi sababu itabidi uongope kila mara.
Kuna kosa kubwa umefanya na unaendelea kufanya. Waeleze Watanzania ukweli juu ya ulicho kikuta hazina.
Vinginevyo mzigo wote unakuangukia wewe na unaonekana umefilisi nchi katika kipindi kifupi.
Sema ukweli umekuta nchi haina kitu wananchi watakuelewa.
Nyerere alisema ukweli na kutuambia tufunge Mkanda. "Ukweli utakuweka huru"
View attachment 1858946
Amekuta hazina ya kutosha miezi 5 bila kufanya kazi. Ameshasema mama. Hakuna haja ya kumfundishaRais Samia mtazame Masoud Kipanya, unaonekana una jambo linakusumbua na huna namna matokeo yake unapokea kila ushauri wa wasaidizi wako.
Matokeo yake mnatoa Slogan nyingi na ahadi zisizotimilika. Hili litakurudi sababu itabidi uongope kila mara.
Kuna kosa kubwa umefanya na unaendelea kufanya. Waeleze Watanzania ukweli juu ya ulicho kikuta hazina.
Vinginevyo mzigo wote unakuangukia wewe na unaonekana umefilisi nchi katika kipindi kifupi.
Sema ukweli umekuta nchi haina kitu wananchi watakuelewa.
Nyerere alisema ukweli na kutuambia tufunge Mkanda. "Ukweli utakuweka huru"
View attachment 1858946
Sijuhi Magu alikuwa anatumia mbinu gani aisee! Hazina kuwa na hakiba ya miezi 6 kwa nchi zetu za Kiafrika siyo masihara!Kila kitu kilikwishalipiwa kwa mwaka huu mwezi Januari.
Kila mradi mkubwa nchini ulikwishalipiwa fedha taslimu kuanzia bwawa la Nyerere hadi Chalinze highway.
Ndege zote 11 kutoka Canada fedha zake zilikwishalipwa tayari zinasubiriwa kuwa delivered Tanzania.
Raisi Samia anapaswa kutafuta fedha na aturudishie ule utaratibu wa kutangaza mapato na gawio la kila mwezi.
Haya ya kutangaza tozo kwenye miamala kwa wananchi maskini ni ukatili.
Twasubiria mwezi januari 2022 pale fedha za elimu bure, mishahara ya December 2021 na ununuzi wa madawa na mengine.
Awamu ya Tano kila taarifa ya serikali ilikuwa na kasoro.Kila kitu kimelipiwa? hakuna mtu alikuwa muongo kama magufuli, ndio maana alitunga sheria ya takwimu ili adanganye atakavyo. Ndani ya utawala wake deni la taifa limekua kwa 20t.
Wadokozi wanatumia safari kuchota fedha hazina. Kilichomgalimu JPM ni kuzuia ulaji wa watu kwa kutumia njia hii.Kipanya mwongo, juzi hapa tumeona wafanyakazi wa azina wakigawanya maburungutu ya mifedha,na kujilipa miposho ya hajabu mpaka waziri mkuu kashutuka,Samia mwenye tarifa za kila kitu Nchi hii mpaka leo yupo kimyia,hata kutoa tamko amna,kila siku nikupangiwa safari tu.Tumerudi enzi za Kikwete alikuwa akipangiwa safari huku watu wanaomola, lazima azina ibaki tupu tu.
Ninong'oneze rafiki yangu ilikuaje mpaka akaondoka? 🤔Ndo maana kifo cha Teddy Mapunda kilihuzunisha na kufikirisha wengi.