Rais Samia, Waeleze Watanzania ukweli juu ya ulichokikuta Hazina

Rais Samia, Waeleze Watanzania ukweli juu ya ulichokikuta Hazina

Rais Samia mtazame Masoud Kipanya, unaonekana una jambo linakusumbua na huna namna matokeo yake unapokea kila ushauri wa wasaidizi wako.

Matokeo yake mnatoa Slogan nyingi na ahadi zisizotimilika. Hili litakurudi sababu itabidi uongope kila mara.

Kuna kosa kubwa umefanya na unaendelea kufanya. Waeleze Watanzania ukweli juu ya ulicho kikuta hazina.

Vinginevyo mzigo wote unakuangukia wewe na unaonekana umefilisi nchi katika kipindi kifupi.

Sema ukweli umekuta nchi haina kitu wananchi watakuelewa.

Nyerere alisema ukweli na kutuambia tufunge Mkanda. "Ukweli utakuweka huru"

View attachment 1858946
Kipanya Kipanya Kipanya, mishahara tumeongezea, semeni elekeza sasa zinafanyika, huku tunafungua nchi , bado unategemea kibubu kuwa na kitu,si usubiri siku ya mavuno , sasa hivi ndio kwanza tunapanda.
 
Rais Samia mtazame Masoud Kipanya, unaonekana una jambo linakusumbua na huna namna matokeo yake unapokea kila ushauri wa wasaidizi wako.

Matokeo yake mnatoa Slogan nyingi na ahadi zisizotimilika. Hili litakurudi sababu itabidi uongope kila mara.

Kuna kosa kubwa umefanya na unaendelea kufanya. Waeleze Watanzania ukweli juu ya ulicho kikuta hazina.

Vinginevyo mzigo wote unakuangukia wewe na unaonekana umefilisi nchi katika kipindi kifupi.

Sema ukweli umekuta nchi haina kitu wananchi watakuelewa.

Nyerere alisema ukweli na kutuambia tufunge Mkanda. "Ukweli utakuweka huru"

View attachment 1858946
Huu ndio ukweli ambao hataki kuuweka wazi moja Selikari haina fedha na imefilisika mbili madeni ni mengi na tumefikia kikomo cha kukopa na tuna miradi mingi inayo hitaji fedha na njia pekee ni kuzipata toka ndani kupitia kodi na tozo

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hawana maarifa ya kubuni uzalishaji Ili uchumi upae.Watumie hata approach za wakoloni walizotumia kukuza uchumi kama wameshindwa hata kubuni zao.
 
Kabisa! Na mama anaupiga mwingi sana!

Uchumi juu, kodi chini, democrasia kila kona, sheria zinatekelezwa pembe zote za nchi, bidhaa bei chini, hela kila kona unaziikota tu. Hakika dhalimu alikuchelewesha sana.
Hahah kweli mkuu. Mambo yako safi sana mtaani maana Magufuli alituchelewesha sana tunachoomba mama aendelee kuupiga mwingi maana tulichelewa sana.
 
Ni lini yaliwahi kuwa super zaidi ya yeye kuja kutuongezea udhalimu?
Si ulikuwa unfashamgilia kifo chake kwamba sasa unapumua! Dhalimu wako kaondoka! Mambo ni super! Mama anaupiga mwingi!
 
Mbona alishasema tuna kibubu cha kututunza miezi sita mbele bila shida.
Kipanya alikuwa amelala chumba kimoja na JOBO mjengoni
Hazina imekutwa imekauka ni madeni tupu. Mwendazake alikuwa muongo sana na tapeli la kutupwa
 
Si ulikuwa unfashamgilia kifo chake kwamba sasa unapumua! Dhalimu wako kaondoka! Mambo ni super! Mama anaupiga mwingi!

nashukuru kwelikweli dhalimu yuko motoni, mambo ya uzuri hayana mahusiano na yule dhalimu. Nchi hii ni masikini toka enzi na enzi. Naona unalazimisha ionekane kama dhalimu kuondoka mambo yatakuwa mazuri, mambo sio mazuri, lakini hatuna hofu tena kutekwa na kundi lake la watu wasiojulikana.
 
Na kwa mtazamo tu wa jicho la tatu hao watu waliosepa na hizo fedha watazitumia kurudi tena madarakani na ndo wataimaliza nchi kabisa
 
nashukuru kwelikweli dhalimu yuko motoni, mambo ya uzuri hayana mahusiano na yule dhalimu. Nchi hii ni masikini toka enzi na enzi. Naona unalazimisha ionekane kama dhalimu kuondoka mambo yatakuwa mazuri, mambo sio mazuri, lakini hatuna hofu tena kutekwa na kundi lake la watu wasiojulikana.
Enheeee.. Ndio hapo sasa kundi lake la kuteka halipo tena ndio maana nasema sasa hivi mko huru yani mambo yenu sasa hivi ni super
 
Enheeee.. Ndio hapo sasa kundi lake la kuteka halipo tena ndio maana nasema sasa hivi mko huru yani mambo yenu sasa hivi ni super

Yap mambo ni super bila msaada wowote wa ccm.
 
Wewe kama bado waamini nikisemacho ni uongo basi endelea kuamini hivyo.

Ila tusubiri maelezo yatakuja siku si nyingi.

Lakini nikukumbushe ni kuwa Hayati Magufuli hakuwa mjinga kiasi cha kuacha fedha hazina ili zije kuchezewa.
Upuuzi
 
Back
Top Bottom