Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Kabisa! Na mama anaupiga mwingi sana!Nina amani ya kutosha kusikia kuwa dhalimu huko motoni anatamani aje aombe msamaha kwa kuua watanzania waliokuwa hawamsujudii.
Uchumi juu, kodi chini, democrasia kila kona, sheria zinatekelezwa pembe zote za nchi, bidhaa bei chini, hela kila kona unaziikota tu. Hakika dhalimu alikuchelewesha sana.