Rais Samia, Waeleze Watanzania ukweli juu ya ulichokikuta Hazina

Rais Samia, Waeleze Watanzania ukweli juu ya ulichokikuta Hazina

J I hakufilisi nchi manake kwanza aliomdoka ghafla sio kwa mpango
 
Mama Samia mtazame Masoud Kipanya, unaonekana una jambo linakusumbua na huna namna matokeo yake unapokea kila ushauri wa wasaidizi wako. Matokeo yake mnatoa Slogan nyingi na ahadi zisizotimilika. Hili litakurudi sababu itabidi uongope kila mara.

Kuna kosa kubwa umefanya na unaendelea kufanya. Waeleze Watanzania ukweli juu ya ulicho kikuta hazina. Vinginevyo mzigo wote unakuangukia wewe na unaonekana umefilisi nchi katika kipindi kifupi. Sema ukweli umekuta nchi haina kitu wananchi watakuelewa.

Nyerere alisema ukweli na kutuambia tufunge Mkanda. "Ukweli utakuweka huru"

View attachment 1858946
Eeeeeh, bado kidogo tutaongea lugha moja tu, "Mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya" najua wengi mnaogopa kusema kuwa mnamkumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu tayari mlisha mponda na kuikebehi mpaka maiti yake, nawaambieni kabisa mtakiri kwa modimo yenu wenyewe na kutubu,
Nakumbushia kuwa Bei ya Diesel aliiacha 1700 Sasa hivi 2400,Achilia mbali Tozo za miamala, tutaekewana tu,
Mafisadi wakubwa waliye kimbia nchi wote wamerudi, unadhani why wamerudi, kazi iendelee
 
Maelezo ya hii Serikali iliyojaa waongo? Una akili sawa sawa wewe!? [emoji15][emoji15][emoji15] Tuondolee upuuzi wako hapa!!! Fiscal year 2016/2017 kapora 1.5 trillions hazina akagomea uchunguzi huru. Fiscal year 2017/2018 akapora tena 1.2 trillions akagomea tena uchunguzi huru yote haya ndani ya ripoti za CAGs Assad na Kichere. Ripoti zao zimejaa wizi, ufisadi na ubadhirifu wa kutisha lakini hakuna anayewajibishwa na kwenye hili bunge pumbavu hata kujadiliwa hazijadiliwi halafu unakuja kuandika ujinga wako humu!?
Kwa sasa Mambo yanaenda vizuri siyo
 
wee kweli ni tabulalasa, hivi hujui hata ni nini husababisha bei za petroli na diesel kupanda?
au unafikiri ni Tanzania tu
We akili yako iko matakoni ww, hata kuwaza kidogo tu hutaki unakalia ushabikibkwa ki mduku tuu,unashindwa hata kujua kuwa kupandisha Kodi katika petrol ama fuel kwa ujumla na kushisha ktk pombe na sigara ni ujuha, Hilo nalo limekishinda? Na pia uliza east Africa yote Bei za mafuta then uje hapa utueleze ni nchi gani mafuta yapo juu kuliko zingine?Rwanda hawana bandari lakini diesel haizidi 2200 kwa Lita moja,the same hata Burundi,
Haya njoo na kwauoande wa Tozo za miamala?nako linganisha na nchi zingine,tatizo lako una kula na kulala kwa Shemeji Sasa huwezi jua gharama za maisha.
 
Kuna tetesi mwendazake alihamishia hazina kitovuni Chato
 
Back
Top Bottom