Rais Samia: Waendelee kusema hakuna haki, tunavunja haki, lakini hakuna aliye juu ya sheria

Powerful statement from a very powerful President of the beautiful United Republic of Tanzania.

we love and appreciate you madam President
 
Sheria ya vyama vya siasa ipo juu ya katiba??
Kwenye katiba kuna sheria ya vyama vya siasa? Tatizo mnakua na mihemko sana ..ndiyo maana mwisho wa siku mnaishia kutukana basi. Sheria ya vyama vya siasa imeweka bayana jinsi vyama vya siasa vinabindi kufanya kazi nk kitu ambacho uwezi kukikuta kwenye Katiba yetu ya JMT.Kuweni awatulivu aisee
 
Bishweko kwa kabila letu ni mtu anayefanya ama amefanywa kinyume na maumbile . Au wakati mwingine inatumika kuonesha mtu mwenye disability ya reproductive organs. Samahani kwa hilo. Lakini nahisi you have one of those character
Ujakosea kabisa..
 
Huyu mama muda mwingine bora anyamaze maana akiongea anazidi kuharibu.
 
This is a bi+ch from hell.
 
Acheni uongo,Lissu alisema atavuruga uchaguzi,atahamasisha uhasi na kukinukisha. Mnachagua maneno machache..ongeeni yote. Kwanini alipanga na kushawishi wahuni kuvuruga uchaguzi?
Unaandika kama huna akili kichwani.
Kama hayo unayozungumzia wewe aliyasema Tundu Lissu ni kuvunja sheria, kwa nini asihukumiwe ijulikane wazi kuwa mahakama imeridhika amevunja sheria kama unavyotaka wewe na huyo Samia.

Kwa nini kesi isiachwe iendelee mahakamani hadi ifikie mwisho wake kwa taratibu za kimahakama.
 

Ili ndiyo tatizo,uwezi kuiagiza mahakama ifanye kama unavyotaka au kufuata hisia na mihemko yako.Lete kifungu cha sheria ambacho mahakama imetenda kinyume. Lissu anajua sana sheria na ana akili sana ..kwahiyo atashinda hii kesi.Tuipe mahakama muda na nafasi itende haki. ILA ATUTAKI KUVURUGA UCHAGUZI,TREASON nk.
 
Na hapa wewe unafikiri umetumia akili kuandika haya?

Ni nani "anaiagiza mahakama",unazima akili ili usimjue?

Unavyoandika hapa ni kama umelewa,..."ILA ATUTAKI KUVURUGA UCHAGUZI,TREASONnk", HIki ndio kitu gani?

Hujui aliyeharibu uchaguzi na k
uua waTanzania abaki madarakani kwa nguvu?



Kama akili yako ni ya kilevi namna hii, itanilazimu nami nikatafute kinywaji ili tuelewane vizuri.
 
Aisee kazi ipo kazini
bi chura leo kaongelea HAKI?
Kuna haki gani hapa nchini?
huyu akapimwe akili
watu wanatekwa na kuuwa ovyo hata mahakani hawafiki yeye anasema tz kuna haki za kibinadamu?!

Akapimwe ubongo!
 
Haki siyo jadi yako, polisi na jwtz wapo.
 
Huyu hakuwa chaguo sahihi kwa nchi yetu. Baadhi ya mambo anayo yaongelea hata haieleweki anako yatoa
 
Inasikitisha sana kuwa na mtu mwenye ufinyu wa upeo kama huyu kuwa hapo alipo.
Matatizo anayoyatengeneza mwenyewe, anatafuta mtu mwingine wa kumtupia lawama!

Na hata anavyojieleza hata yeye mwenyewe hajui anazungumzia jambo gani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…